Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,791
Cheltako mna mdomo sana mlitutukana sana mlivyoshinda vs EvertonMkuu mbona unatukana
Cheltako mna mdomo sana mlitutukana sana mlivyoshinda vs EvertonMkuu mbona unatukana
Sisi kukandwa tu kidogo kelele kibao wakati nanyie mlikandwa 4 zile zile tena darajani penu.
Nyie sisi kukandwa na Brentford bora mkae kimya tu nyie darajani tena timu ikiwa sawa kabisa.
Sisi kocha ndo anaanza kazi lakini venye mnakelele kama wamama wa vikoba vile.View attachment 2325552



kukandwa kama kukandwa kweli nimeamini mzinga wa nyuki haukumbatiwi. Ila ukiangalia Youtube anacheza attacking zaidi kuliko DM, mimi ndivyo nilivyo perceiveDogo yupo vizuri Sana anacheza DM
Huyo dogo uchezaji wake kama Ramirez unakuta kachezeshwa chini ila haimzuii kwenda kushambulia pale panapohitajika ndio maana wewe unaona kama vile ni attackingIla ukiangalia Youtube anacheza attacking zaidi kuliko DM, mimi ndivyo nilivyo perceive
Kuhusu Loftus Cheek sina uhakika kama ulitazama mechi vs Spurs au ile dhidi ya Madrid nusu fainaliGallagher huyu huyu anayepanda juu kushambulia na kusahau kurudi kukaba. Huyu huyu anayekata pumzi na kupotea uwanjani.
Cheek huyu huyu anayepoteza muda kwa kudrible mpira na akiupoteza anabaki ndugu mchezaji mtazamaji.
Nani wa kumbeba Jognho mgongoni.
Pale katikati patakuwa lango la walanguzi kwa kipindi chote Kante na Kovacic watakuwa nje.
Probably tutakuwa tunabadili formation from 343/352 na 4231Ina maana akisajiliwa De Jong, Auba, Fofana na hao madogo bado tutaendelea kucheza 343?
Sio kwamba usajili mpya ni kwa ajili ya mfumo mama wa TT 4231
Wamarekani washaona soko lilivyocharuka. So hao wachezaji ni for the future misimu 2 au zaidi ijayo. Wataofeli watapelewa kwa mkopo au kupigwa bei kwa faidalembu
Kuna madogo naona mnawasajiri ,Kuna huyu kutoka intermilan ,mnawachukua kwa Bei kubwa
Hata chukwuemeka mmemchukua Bei kubwa ,
Kuna Nini nyuma ya hizi sajiri ikiwa hamuwapi nafasi first eleven?
Vipi huyo dogo Ni mzuri?
Ndio maana hao madogo wamewasainishwa mikataba ya miaka sita sita na option ya mwaka mmoja zaidi.Wamarekani washaona soko lilivyocharuka. So hao wachezaji ni for the future misimu 2 au zaidi ijayo. Wataofeli watapelewa kwa mkopo au kupigwa bei kwa faida


kelele nyingi uwanjani kama lukaku tuMbona kama vile unatesekaMlivyo tulia sasa kama siyo nyie wenye vikombe 6 vya ligi cheltako banakelele nyingi uwanjani kama lukaku tu
Hajui makasiriko yanakondesha. Ukute sasa hivi amekuwa mdogoooMbona kama vile unateseka


Una nyege c bureMlivyo tulia sasa kama siyo nyie wenye vikombe 6 vya ligi cheltako banakelele nyingi uwanjani kama lukaku tu
Chukwuemeka - Central Midfielder
Hutchinson - Attacking Midfielder
Casadei - Central Midfielder
Tyler - Attacking Midfielder
Zak - Left Back
Slonina - Goalkeeper
TODDY BOEHLY ameamua kuunda nuclear weapon kwenye eneo la kiungo





