Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Line up ijayo baada ya usajili

F. 3-4-3

Sterling ---------- Ronaldo ----------- Gordon

Cucurella -------De Jong ----- Kante ---- James

------ Koulibaly --------- Silva --------Fofana

--------------------- Mendy --------------------

F. 3-4-3

Sterling ---------- Auba ----------- Gordon

Ronaldo wa nini?hatumtaki
 
De jong mtoe hapo
 
Sisi kukandwa tu kidogo kelele kibao wakati nanyie mlikandwa 4 zile zile tena darajani penu.

Nyie sisi kukandwa na Brentford bora mkae kimya tu nyie darajani tena timu ikiwa sawa kabisa.

Sisi kocha ndo anaanza kazi lakini venye mnakelele kama wamama wa vikoba vile.
Screenshot_20220402-190703.jpg
 
Sisi kukandwa tu kidogo kelele kibao wakati nanyie mlikandwa 4 zile zile tena darajani penu.

Nyie sisi kukandwa na Brentford bora mkae kimya tu nyie darajani tena timu ikiwa sawa kabisa.

Sisi kocha ndo anaanza kazi lakini venye mnakelele kama wamama wa vikoba vile.View attachment 2325552
Wewe ndg yangu unaumwa hujitambui, ukapimwe kwanza mkojo
 
lembu

Kuna madogo naona mnawasajiri ,Kuna huyu kutoka intermilan ,mnawachukua kwa Bei kubwa

Hata chukwuemeka mmemchukua Bei kubwa ,

Kuna Nini nyuma ya hizi sajiri ikiwa hamuwapi nafasi first eleven?

Vipi huyo dogo Ni mzuri?
 
Chelsea inawekeza sasa hivi kwenye viungo akina jo na kante hawatakuwepo misimu mwili hivi ijayo
Casadei ni kiungo mzuri na Carney Chukwuemeka ni viungo wazuri wanaandaliwa 2-3 yrs to come wawe parmanent repalcemnet ya akina Kante,ukiwasubiri wakue watauzwa mil 200
 
Ok, Ni Kama Jude Bellingham alikuwa anapatikana kwa €30m ,vilabu vya epl vikadharau ,now BVB wanamuuza £100m.

Chukwuemeka Arsenal tulimskauti toka mwaka Jana , tukamtaka January ,Astonvilla wakabana , na Sasa ilikuwa aende BVB ,gafla nimeona Chelsea mmemchukua kwa £20m .

Top clubs zilikuwa zinamtaka ,angeenda BVB , angerud EPL kwa £100m
 
Wewe Nani kakuambia hawatapewa nafasi?wamesajiliwa kwanini
Ndg yangu Chelsea ni timu kubwa mno. Hawa watoto wamesajiliwa Kwa ajili ya long term plan. Wakiweza kuleta immediate impact kama alivyoonyesha Mason Mount tangu miaka mitatu iliyopita atapewa nafasi ya kidumu. Akishindwa atabakia development team au atatolewa mkopo au kuuzwa au kuwa free agent. Football sio tu burudani ni biashara ya kununua na kuuza.
Angalia Chalobah aliingia kwenye first team mwaka Jana, msimu huu amerudishwa development squad, nasikia pia ataenda mkopo au kuuzwa kabisa. Odoi naye ni hivyo hivyo. Chelsea sio development squad ya kujaza academy hata kama hawafikii viwango vya ushindani wa EPL. Nilichosikia plan kubwa ya Todd Boehly ni kusajili wazoefu wa kuleta immediate impact na kuwasajili academy players wa long term impact kama 10+ yrs to come. Hii itasaidia kuleta mafanikio ya makombe na faida pia ya mshiko.

Hawa hata kama watapata namba ya first team lengo la kuwasajili ni kwa ajili ya Long terma plan
  1. Cesare Casadei 19yo - ni kiungo mfungaji mzuri sana, very angry and agresisve infront of a goal
  2. Carney Chukwuemeka 18yo - ball control yake iko supurb na naweza kuwa best replacement ya Fab na pia ni attacking midfielder mzuri kwa kweli
  3. Omari Hutchinson 18yo -anafanana na hapo juu pia
  4. Wesley Fofana - kama atasajiliwa
  5. Antony Gordon - kama atasajiliwa
Akiungana na wakwetu
  1. Armando Broja
  2. Levi Colwill
 
lembu

Kuna madogo naona mnawasajiri ,Kuna huyu kutoka intermilan ,mnawachukua kwa Bei kubwa

Hata chukwuemeka mmemchukua Bei kubwa ,

Kuna Nini nyuma ya hizi sajiri ikiwa hamuwapi nafasi first eleven?

Vipi huyo dogo Ni mzuri?
Dogo yupo vizuri Sana anacheza DM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom