Acha wagain fitness, hasa hasa chilwel,
Son aliwafanya mkala umeme last time. Hamna kilichobadilika. Arsenal ni Arsenal na watoto ni walewale.Akipona Sana 4
Kama wewe umemshindwa subiri aje Emirates ,
Kama anapaki bas kwa Chelsea hii ,![]()
Tutakubonda humu ndani hutokaa ukanyage.Sisi kaugonjwa ketu hua kanaponea kwenu, msimu ulioisha tuliboronga ila baada ya kucheza na kenge za darajani timu yetu ikaanza kuamka toka usingizini.
Kweli kabisa. Itabidi azibezibe viraka January maana hadi tufike huko tutakuwa na wakati mgumu sana kama hatutaweza kusajili kabla ya dirisha kufungwa.Bila KANTE safu ya kiungo ni toothless.
Bado THE BLUES tunayo madhaifu mengi sana kwenye kikosi chetu (sio kipana kwa quality).
Itamchukua TODDY misimu miwili kujenga timu ya kubeba EPL.
Tusubir tuoneKatikati tutakuwa wepesi sana kama Kante na Kova wapo sidelined. Italazimu Gallagher to step in. Will he deliver the goods?
Chelsea have started contract talks with a view of giving Thomas Tuchel 2 more years on top of what he already hasKante atakuwa majeruhi kwa wiki 3 hadi 4. Tuseme mwezi mzima wa tisa atakuwa bado hajakaa sawa. Kufa kufaana. Gallagher akaze, aoneshe kuwa anaweza.Tusubir tuone
Huyu ni DMMidfielder mwingine huyu hapaView attachment 2325097
Waboronge sasa hao wapuuzi, mimi sikupendezwa na display bya Galagher kwenye preseason, aidha over confidence au madoido yasiotakiwa, hayuko serious kama mwenzake MountKante atakuwa majeruhi kwa wiki 3 hadi 4. Tuseme mwezi mzima wa tisa atakuwa bado hajakaa sawa. Kufa kufaana. Gallagher akaze, aoneshe kuwa anaweza.
Nadhani baadhi ya mabeki itabidi wacheze DM mfano James anaweza hapo au bila kusahau Cucurela anaweza kucheza MF au DM. Kwa hiyo kumsajili CB mwingine ni muhimu na haraka sana.Gallagher huyu huyu anayepanda juu kushambulia na kusahau kurudi kukaba. Huyu huyu anayekata pumzi na kupotea uwanjani.
Cheek huyu huyu anayepoteza muda kwa kudrible mpira na akiupoteza anabaki ndugu mchezaji mtazamaji.
Nani wa kumbeba Jognho mgongoni.
Pale katikati patakuwa lango la walanguzi kwa kipindi chote Kante na Kovacic watakuwa nje.