Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dau la Anthony Gordon inasemekana ni 25M, ukijumlisha na add ons zitapeleka kuwa 42M, ila dau kamili ni 25
20220815_145054.jpg
 
  1. Hakukuwa na haja ya kumnunua Romelu Lukaku kwa £97.7m (kutoka Inter, 2021)
  2. Hakukuwa na haja ya kumnunua Kai Havertz kwa £72m (kutoka Leverkusen, 2020)
  3. Hakukuwa na haja ya kumnunua Kepa Arrizabalaga kwa £71m (kutoka Athletic Bilbao, 2018)
  4. Hakukuwa na haja ya kumnunua Alvaro Morata kwa £60m (kutoka Real Madrid, 2017)
  5. Hakukuwa na haja ya kumnunua Christian Pulisic kwa £57m (kutoka Dortmund, 2019)
 
50M kwa Gordon, hapa hapana,, kuna wachezaj wazur wanaostahil hiyo hela ila si Gordon

Bettee hiyo hela uiweke kwa CB,Mid n Forward
Antony Gordon is a forward, anacheza Winger na tumemuona akicheza, anajuhudi sio kama hawa w a kwetu wa kuremba remab wasipopewa muda wanatishia kuondoka
 
50M kwa Gordon, hapa hapana,, kuna wachezaj wazur wanaostahil hiyo hela ila si Gordon

Bettee hiyo hela uiweke kwa CB,Mid n Forward
Chelsea willing to pay £50m for Everton forward, Anthony Gordon after having £40m transfer bid rejected by Everton
 
  1. Hakukuwa na haja ya kumnunua Romelu Lukaku kwa £97.7m (kutoka Inter, 2021)
  2. Hakukuwa na haja ya kumnunua Kai Havertz kwa £72m (kutoka Leverkusen, 2020)
  3. Hakukuwa na haja ya kumnunua Kepa Arrizabalaga kwa £71m (kutoka Athletic Bilbao, 2018)
  4. Hakukuwa na haja ya kumnunua Alvaro Morata kwa £60m (kutoka Real Madrid, 2017)
  5. Hakukuwa na haja ya kumnunua Christian Pulisic kwa £57m (kutoka Dortmund, 2019)
Kulikuwa na haja hiyo ila matarajio ya mnunuzi ndio hayakutimia. They had that value for money during the time.
 
Kulikuwa na haja hiyo ila matarajio ya mnunuzi ndio hayakutimia. They had that value for money during the time.
Umemjibu vizuri Sana kepa tulazimika kutoa hiyo hela kea sababu Courtois alisema kwenye wakati tunamwitaji na ligi ndio ilikuwa inakaribia kuanza kutokana na hayo mazingira tukajikuta tunatoa hiyo hela
 
Hakukuwa na hiyo value, kukurupuka tu, Aidha scouting team hawakufanya kazi yao vizuri au hawakusikilizwa, Option zilikuwa nyingi sana ila wakaenda kwa kipa mfupi kama Kepa. Mbona safari hii Kounde kaachwa kwa sababu ya ufupi
Hakukuwa na haja kama ambavyo wanataka kufanya kwa Fofana, overpriced players ni kuwaacha kama options zipo
 
League inahitaji wanaume Kama Hawa ,sio lojo lojo kina ETH View attachment 2323990
Alichofanya Tuchel sio uanaume, kamletea umende mwenzie mpaka Conte akaona hii sasa dharau liwalo na liwe.
Haiwezekani Conte ampe mkono halafu yeye amtie kidole katikati ya kiganja chake.
Chelsea mpira umeshawashinda mmeamua kuleta ubasha kwenye Epl kenge nyie.
 
Hakukuwa na hiyo value, kukurupuka tu, Aidha scouting team hawakufanya kazi yao vizuri au hawakusikilizwa, Option zilikuwa nyingi sana ila wakaenda kwa kipa mfupi kama Kepa. Mbona safari hii Kounde kaachwa kwa sababu ya ufupi
Hakukuwa na haja kama ambavyo wanataka kufanya kwa Fofana, overpriced players ni kuwaacha kama options zipo
Madai ya ufupi wa Kounde ni maneno tu ya mkosaji.
 
Value value value inatuhusu nini wazee?

Kwani kuna yoyote hapa anachangia pesa ya kusajili wachezaji? Au alishalipishwa hasara aliyopata tajiri sokoni?

Iache kuwauma wenye biashara Roman Abramovich na Toddy Boehly ituume sisi aisee?

Binafsi hata tajiri TODDY akitoa €200M kwa fofana fresh tuu, yeye ameona inamlipa kiuwekezaji ndio maana anatoa hiyo.

Mimi kama shabiki kazi yangu mbili tuu kushangilia na kukosoa wachezaji uwanjani.
Kwani inatuhusu nini kushabikia basi mkuu, yeyote tunayoongea hapa ni ukerekwa wa kishabiki tu
Naona unakujaga na prposal za line up mara usajili angesajiliwa huyu au yule ndie anatufaa
Mara wengine wanaanzaisha strike, kocha aondolewe, wamiliki OUT zote hizo ni ukerekweta wa ushabiki na kila shabiki kwa muda wake kwa hisia zake anatoa maoni haya na yale hata kama hasikilizwi lakini ya moyoni mwake yameshatoka. Wewe mwenyewe uko mstari wa mbele kwenye haya sasa leo ukisema hayatuhusu basi tumwage manyanga na ushabiki tuachane nao pia kwa vile hautuhusu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom