verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,173
- 6,312
Hamna timu kenge nyie
Hata we ukija ntakuzaba moja.Wewe hata everton alikutoa ulimi nje
Hi Chelsea wanarukaruka Sana pass 100000 , output zero
Yule Rahim tunaweza kushuhudia akamaliza Ligi na goli 1 [emoji23][emoji23]
Sterling anahitaji nafas 20 apate goli 1
Ebu kuwa na heshima hiv spurs unaichukuliajeCheltako na nyumbu tofauti ni jezi tu
Kenge zimeshaanza kubleed kunako masikioni, muda sio mrefu zitaanza kusikia vizuri.Hamna timu kenge nyie
🤣🤣🤣🤣🤣Wadau chelsea vs spurs wanacheza lini
hivi tunacheza lini na nyinyi kenge?Kenge zimeshaanza kubleed kunako masikioni, muda sio mrefu zitaanza kusikia vizuri.
OllaChuga Oc timu lenu halina tofauti na Majimaji ya Songea.
We timu gani kwanzaHamna timu kenge nyie
Wewe unapigwa hadi na Brighton ujasiri wakuja humu unaupatia wapiKenge zimeshaanza kubleed kunako masikioni, muda sio mrefu zitaanza kusikia vizuri.
OllaChuga Oc timu lenu halina tofauti na Majimaji ya Songea.
Mm nitakupiga 4Hata we ukija ntakuzaba moja.
Game yenu Ni sare inajulikana , msimu wa ngapi sijui hupati matokeo kwa Nyumbu ,hivi tunacheza lini na nyinyi kenge?
Nyie hamna forward ,mech mngeimaliza first halfEbu kuwa na heshima hiv spurs unaichukuliaje
Hahaha Sasa wewe takataka Kama timu Hain tofauti na majimaji ya songea ..je wewe na manjestaa yako utakuwa na timu gan apa bongo? Hii manure Hain tofauti na hiz timu za ndondo cup..Kenge zimeshaanza kubleed kunako masikioni, muda sio mrefu zitaanza kusikia vizuri.
OllaChuga Oc timu lenu halina tofauti na Majimaji ya Songea.
Arse takataka na wamashibiki wake takataka, kila msimu mnajinafasi hivi hivi mkishaanza kutiwa mimba mnapoteana na kujifanya mko busy na ujenzi wa TaifaHamna timu ya kuingia top 4 this season Rubbish [emoji1005]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wakipewa wakakosa mtaanza auzwe auzwe. Mchezaji asiye na experience inabidi apewe kidogo kidogo, akitendea wema muda mdogo aliopewa anongezewa hadi anapewa kabisaZile nafasi za Kai na Sterling, Broja hawezi kukosa zote. Wamuamini.
Wakiendelea kumuingiza dakika hizo 3 za mwisho, atalazimisha kuondoka.
Ukiona hivyo ujue hana mguu wa kupandia kitandani, yoote ni ya kuchezea mpira. 😂Hivi KOULIBALY anatumia mguu upi sana? Naona anapiga yote sawa sawa.
Sawa boss. Siyo issue ya assumptions. Kama uliangalia game vizuri, uliona ni cross ngapi zimepigwa mahali ambapo alipaswa awepo namba 9? Kwanini Broja asiwepo kwenye position yake wakati ni sehemu anayopasa kuwepo? Jana tumepoteza point zile kwa kukosa namba 9, hata kama utabisha na haitaondoa huo ukweli.Tulia ww acha kuassume, una uhakika gani broja angekua ata kwny position ya kupata izi chance za kufunga. Uyo dogo km ana deserve kuanza inabd aonyeshe kwny mechi atakazopewa. Na atacheza mechi nyng tu msimu huu ni mrefu sana