Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie hamna forward ,mech mngeimaliza first half

Leo nilitegemea Spurs apaki bas asubiri miujiza ,na kweli imekuwa hivo

Spurs akikutana na timu inayofanya buildup anapaki basi

Everton vs Chelsea ilikuwa mech Ngumu kuliko hii ya spurs vs Chelsea ilikuwa mech nyepes kwa Chelsea

Goli alilokosa kai Lile mngekuwa hata na Auba ile kamba

Spurs hata kwa timu ndogo anapaki bas ,anakuja kuwafunga kwa kaunta
Hiyo sentensi ya kwanza inatosha kabisa. Na ndio tatizo lililopo hata wakatae.
 
Sawa boss. Siyo issue ya assumptions. Kama uliangalia game vizuri, uliona ni cross ngapi zimepigwa mahali ambapo alipaswa awepo namba 9? Kwanini Broja asiwepo kwenye position yake wakati ni sehemu anayopasa kuwepo? Jana tumepoteza point zile kwa kukosa namba 9, hata kama utabisha na haitaondoa huo ukweli.
Wanakubishiaga Sana Lakin unasema ukweli,

Jana mngekuwa na no.9 mechi ingeisha kipind Cha kwanza,

Lakin kukosa CF ,Spurs walijua utafika muda watapata goli tu, acha wazuie TU.

Spurs Ni timu inayosubiri miujiza ya kaunta na papatu ,

Everton alitoa game haswa kwa Chelsea

Spurs alikuwa urojo ,halafu Kuna kenge zinakwambia Spurs atagombea ubingwa😂😂
 
Wakipewa wakakosa mtaanza auzwe auzwe. Mchezaji asiye na experience inabidi apewe kidogo kidogo, akitendea wema muda mdogo aliopewa anongezewa hadi anapewa kabisa
Kocha anapokupa dakika 6 kila dakika moja unavyocheza na mpira au bila mpira anarekodi. uchezaji wako ukiridhisha anaongeza muda au unaanza kabisa. Compusure ya Broja na Galagher sio ya kurudhisha kwa hizo dakika chache wanazopewa. EPL sio Development league au mazoezi ya pale Cobham. Ligi ya wanaume hii ukifanya majaribio ya wachezaji kama preseason unafanyiziwa ile mbaya
TT ameahidi atawapa muda lakini sio kama zawadi, they must fight for it
Wakati Chalobah anpopewa muda alicheza vizuri akawa anapewa zaidi. Pale alipoanza kucheza sarakasi badala ya mpira akazimishwa OUT, yuko wapi sasa hivi. Hizi academy wa chini ya 22 ninyi hamuwajui tu. Hata kiakili bado havijakomaa, unaona Galagher ile penalti alivyopiga dhidi ya Charlortte FC? hata game za pre season Galagher hakucheza kama alivyokuwa anacheza Palace hadi wengine tukaanza kumlinganisha na Mount. Kwa maoni yangu Broja na Galagher bado sana kwenye first squad, watatupotezea muda. Kama wana haraka wasepe, kama wanaipenda timu wafuate utaratibu wa kocha na ushauri wake. KOcha na wasaidizi wake wa ufundi wanawafahamu hao vijana kuliko sisi
Kwahiyo hapewi nafasi kwasababu wanaogopa watu wasiseme auzwe?

Experience inapatikana kwa kucheza. Kama hachezi atapataje Experience? Apewe nafasi madhaifu yake yaonekane asaidiwe kurekebisha, akishindwa aoneshwe mlango wa kutokea kuliko kukaa na mchezaji ambaye hujui atakufaa au la. Waste of space.
 
Sawa boss. Siyo issue ya assumptions. Kama uliangalia game vizuri, uliona ni cross ngapi zimepigwa mahali ambapo alipaswa awepo namba 9? Kwanini Broja asiwepo kwenye position yake wakati ni sehemu anayopasa kuwepo? Jana tumepoteza point zile kwa kukosa namba 9, hata kama utabisha na haitaondoa huo ukweli.
Mkuu huenda ukawa na namba 9, ila asiendane na movement za wenzake,

Uchezaj wetu hautaki mtu ambae anakaa sehem moja tu, unahitaj mtu ambae anao uwezo wa kudrop na kuchukua mipira, or aende pemben huku wenzake wa kioccupy space iliyoacha
Ivan Toney namuona kabisa akiendana na uchezaj wetu,

Broja bado anasafar ila sio wa kumpa 100% majukum ya kuscore, tho anastahil chance kama anayopata kai,
 
Nyie hamna forward ,mech mngeimaliza first half

Leo nilitegemea Spurs apaki bas asubiri miujiza ,na kweli imekuwa hivo

Spurs akikutana na timu inayofanya buildup anapaki basi

Everton vs Chelsea ilikuwa mech Ngumu kuliko hii ya spurs vs Chelsea ilikuwa mech nyepes kwa Chelsea

Goli alilokosa kai Lile mngekuwa hata na Auba ile kamba

Spurs hata kwa timu ndogo anapaki bas ,anakuja kuwafunga kwa kaunta
Hapa umeongea kama mshabiki wa mpira unayejua mpira
 
Kovacic injury
Kante injury

Kiungo tumebakia na Jorginho n RLC

Ni mda wa Galagher kuonesha uwezo sasa,

Next games tuko na Leeds,
Kiungo huenda kikawa kati ya Jorginho n Galagher/RLC
 
Kaka kwa bongo hapa ni washabiki wachache sana wenye akili ya mpira,Kazi anayoifanya jorginho Chelsea na ukisikia Comment za washabiki uchwara humu unaweza hisi Luna jorginho mwingine anayezungumziwa,

Hata ukiangalia tu kwenye simba na yanga bado washabiki wanakariri hvyo hvyo
 
Mkuu huenda ukawa na namba 9, ila asiendane na movement za wenzake,

Uchezaj wetu hautaki mtu ambae anakaa sehem moja tu, unahitaj mtu ambae anao uwezo wa kudrop na kuchukua mipira, or aende pemben huku wenzake wa kioccupy space iliyoacha
Ivan Toney namuona kabisa akiendana na uchezaj wetu,

Broja bado anasafar ila sio wa kumpa 100% majukum ya kuscore, tho anastahil chance kama anayopata kai,
Nashukuru Juan. Mimi nimewaza kuwa na namba 9 kwasababu ya zile cross zilizokuwa zinapigwa jana ndani ya box. Zile zingekuwa zinamkuta natural striker game ingeisha mapema sana jana. In and out striker ambaye siyo mvivu anajua kabisa wakati gani awe wapi. Angalia uchezaji wa Costa akiwa Chelsea na Jesus huyu ambaye yuko Arsenal sasa hivi. Siyo target men lakini ni namba 9 ambao ni lethal kabisa. Wanashuka kutafuta mipira lakini anajua atapokelea mpira eneo gani kwa ajili ya kufunga. Angalia pia magoli ambayo amefunga akiwa timu ya taifa na magoli aliyowafunga Man U, Tottenham na Brighton ndio utajua kuwa dogo ni fundi sana.

Chelsea ni team kubwa sana ndiyo, lakini nadhani tunapandisha mabega mno na hata talents kubwa tunaziona average lakini wakienda kwingineko wanakuwa hatari na hawaachagi kutufunga. Kwa mtazamo wangu binafsi sioni kama Havertz ni mzuri zaidi kuliko Broja.
 
Wanakubishiaga Sana Lakin unasema ukweli,

Jana mngekuwa na no.9 mechi ingeisha kipind Cha kwanza,

Lakin kukosa CF ,Spurs walijua utafika muda watapata goli tu, acha wazuie TU.

Spurs Ni timu inayosubiri miujiza ya kaunta na papatu ,

Everton alitoa game haswa kwa Chelsea

Spurs alikuwa urojo ,halafu Kuna kenge zinakwambia Spurs atagombea ubingwa😂😂
Tunza hii itakusaidia conte na Spurs yake ndio team pekee kwa Sasa inayoweza kuifunga çity na Liverpool bila stress .Umri umesogea siongei sana.
 
Nashukuru Juan. Mimi nimewaza kuwa na namba 9 kwasababu ya zile cross zilizokuwa zinapigwa jana ndani ya box. Zile zingekuwa zinamkuta natural striker game ingeisha mapema sana jana. In and out striker ambaye siyo mvivu anajua kabisa wakati gani awe wapi. Angalia uchezaji wa Costa akiwa Chelsea na Jesus huyu ambaye yuko Arsenal sasa hivi. Siyo target men lakini ni namba 9 ambao ni lethal kabisa. Wanashuka kutafuta mipira lakini anajua atapokelea mpira eneo gani kwa ajili ya kufunga. Angalia pia magoli ambayo amefunga akiwa timu ya taifa na magoli aliyowafunga Man U, Tottenham na Brighton ndio utajua kuwa dogo ni fundi sana.

Chelsea ni team kubwa sana ndiyo, lakini nadhani tunapandisha mabega mno na hata talents kubwa tunaziona average lakini wakienda kwingineko wanakuwa hatari na hawaachagi kutufunga. Kwa mtazamo wangu binafsi sioni kama Havertz ni mzuri zaidi kuliko Broja.
Jesus ni mtu sahihi kwa mfumo wetu, ni moja ya mchezaj ambae nilitaman tungemsajil, kwa jins tunavyocheza angefunga sana
 
Mkuu huenda ukawa na namba 9, ila asiendane na movement za wenzake,

Uchezaj wetu hautaki mtu ambae anakaa sehem moja tu, unahitaj mtu ambae anao uwezo wa kudrop na kuchukua mipira, or aende pemben huku wenzake wa kioccupy space iliyoacha
Ivan Toney namuona kabisa akiendana na uchezaj wetu,

Broja bado anasafar ila sio wa kumpa 100% majukum ya kuscore, tho anastahil chance kama anayopata kai,
Tammy Abraham ndo mtu sahihi
 
EXCL: Michael Edwards has turned down Chelsea sporting director opportunity. Edwards recently told #CFC he’s taking time out. Search ongoing - most candidates in work so appointment still likely after window
Broja in new contract talks @TheAthleticUK
 
Perfectly timed photo
IMG_20220815_111615.jpg
 
Nyie hamna forward ,mech mngeimaliza first half

Leo nilitegemea Spurs apaki bas asubiri miujiza ,na kweli imekuwa hivo

Spurs akikutana na timu inayofanya buildup anapaki basi

Everton vs Chelsea ilikuwa mech Ngumu kuliko hii ya spurs vs Chelsea ilikuwa mech nyepes kwa Chelsea

Goli alilokosa kai Lile mngekuwa hata na Auba ile kamba

Spurs hata kwa timu ndogo anapaki bas ,anakuja kuwafunga kwa kaunta

Ukishinda kwa spurs hii, niitwe mbwa niko pale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom