Chelsea akicheza mashabiki wake wanavaa blauz na bikinikisha wanashindana ku twerk.
Pale Chelsea wamepata believe mzuri.Hivi KOULIBALY anatumia mguu upi sana? Naona anapiga yote sawa sawa.


Wote wamekula umemeTT amehakikisha CONTE amekula umeme
Hatukuwa tunacheza na Crystal palace mzee.
Nyie kenge naona sasa hivi mnashindana na nyumbu kukata mauno uwanjani.
Tuchel na kale ka mwili kake atakandwa na Conte shauri yake.
Wewe hata everton alikutoa ulimi njeHatukuwa tunacheza na Crystal palace mzee.
Kila siku nasema hapa Jorginho na Havertz ni matakataka tu
hiyo sio sababu za kushindwa kuscore pale mbele wanapiga pas ndani ya box zisizo na faidaMkuu issue ya kuscore ni shida ila kwenye game ambazo huwa yuko Anthony Tylor + Mike dean huwa tunaonewa sana kwenye maamuzi.
Yani sababu ipi iliyofanya ile foul ya Bentacur to havertz isiwe foul
How about foul ya Romero to Cucurella na VAR inaangalia kabisa unasema sio foul how, unahis pale angekuwa mcheza wetu amefanya vile unahis asingepewa red card
Wewe utakuta ni shabiki wa arsenalCheltako na nyumbu tofauti ni jezi tu
Huo ndio ugonjwa wetu mount kai hata sterling sio clinicalhiyo sio sababu za kushindwa kuscore pale mbele wanapiga pas ndani ya box zisizo na faida
Zile nafasi za Kai na Sterling, Broja hawezi kukosa zote. Wamuamini.Huo ndio ugonjwa wetu mount kai hata sterling sio clinical
Strikee mzuri hakuachi
Tulia ww acha kuassume, una uhakika gani broja angekua ata kwny position ya kupata izi chance za kufunga. Uyo dogo km ana deserve kuanza inabd aonyeshe kwny mechi atakazopewa. Na atacheza mechi nyng tu msimu huu ni mrefu sanaZile nafasi za Kai na Sterling, Broja hawezi kukosa zote. Wamuamini.
Wakiendelea kumuingiza dakika hizo 3 za mwisho, atalazimisha kuondoka.