Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Andreas Christansene anataka kurudi Chelsea as free agent baada ya Barcelona kushindwa kuwasajili La Liga. Kaweka jumamosi kuwa ndio mwisho kwa Barcelona kuwasajili ili wawe na uhakika wa kucheza msimu ujao. Kwenye mktaba wao waliweka kipengele cha kuvunja mkataba na kuwa free agent kabla msimu haujaisha Tareeh 1 Septemba 2022. Wandugu mtampokea au?

Andreas Christensen drops shock U-turn Chelsea transfer hint amid fresh £80m Wesley Fofana bid
 
Aje tu ingawa aliniuzi namna alivyoondoka ondoka kama kwa dharau fulani hivi nimesema aje kwasababu sokoni kuwa kugumu kupata beki na ukizingatia kama Thiago akiumia au koulibaly hakuna mchezaji mwingine wakucheza nafasi Hiyo na pia tunahitaji sometimes kuwapa mapumziko koulibaly na Thiago silva kutokana na umri wao lakini kama hatutapata beki mwingine itamlazimu kocha kuwachezesha koulibaly na Thiago silva mechi nyingi kitu ambacho ni very dangerous
 
Nje
Nendeni hata Youtube mkamalizie aibu huko maana huku naona hamna mnalolijua. Hivi mmemsahau yule RLC aliyetengeneza combination nzuri na Hazard then akapata majeraha kabla ya fainali na Europa dhidi ya Arsenal?

Nyie mmeanza kuangalia mechi za Chelsea lini?

Savic mwenyewe hakuna tetesi yoyote inayomuhusu na club yoyote inamtaka.

Kuna wachezaji ni untouchable, kumtaka ni kupoteza muda. Hakuna meza ya mazungumzo.
Na kibaya zaid jana kasinya contract extension na Lazio
 
Home Boy naona ameyashika mfululizo. Hii ndo Raha ya Kuondoka Blues kwa Amani
Screenshot_20220812-105854_Instagram.jpg
 
Kwa maelezo haya ni kama tumejikatia tamaa mapema mno
Timu iliyomfunga Spurs mwaka jana mechi nne zote ni hiii hii na mimi naona replacement ya akina Rudiger imefanyika vizuri
Only worry naona form ya akina Chilwell na James bado sio ya kuridhisha
Hawajielewi hao,Mashabiki maandazi..Waambie watoe sababu za kufungwa hiyo jpili,
 
[emoji117] Vs Spurs twende na ulinzi shirikishi 3-4-3

---- STERLING -- HARVETZ --- MOUNT -----

CUCU --- KANTE ---- JOGNHO ---- JAMES

-------- KOULIBALY -- THIAGO -- AZIP---------

[emoji117] Je tutaweza kuzuia counter attacks za spurs?

[emoji117] Je tutaweza kuifungua safu ya ulinzi ya Spurs?

Kilalaheri THE BLUES.
Mimi nataka asimame broja pale Kati sio harvert
 
[emoji117] Vs Spurs twende na ulinzi shirikishi 3-4-3

---- STERLING -- HARVETZ --- MOUNT -----

CUCU --- KANTE ---- JOGNHO ---- JAMES

-------- KOULIBALY -- THIAGO -- AZIP---------

[emoji117] Je tutaweza kuzuia counter attacks za spurs?

[emoji117] Je tutaweza kuifungua safu ya ulinzi ya Spurs?

Kilalaheri THE BLUES.
Lakini mi ningetamani Broja aanze badala ya Harvetz. Broja ni strike kuliko Harvetz ambaye hajui anacheza namba ngapi.
 
TT ni muoga. Mfano huu mfumo wa 343 ulinzi shirikishi ni kichaka chake cha kujificha, style ya uchezaji ya kiuwoga woga kujilinda zaidi kuliko kushambulia.
Ndio maana wachezaji wanaflop sana Chelsea tangu kipindi cha Mourinho. Sielewi wanatishiwaga nini hadi kuwekeza kwenye ulinzi. Hawajui kwamba ukiwa na mkuki wenye ncha kali hata kama sehemu ya nyuma ni butu utatisha. Team kama Liver na Mancs siyo kuwa wanashinda kwasababu wana mabeki wakali, hapana, ni kwasababu safu yao ya ushambuliaji iko imara, inatisha kwa mabeki wa timu yoyote. Sisi tunang'ang'ana kupaki makontena tu na hata washambuliaji wanajazana nyuma kulinda badala ya kushambulia. Mpira ukiwa unachezewa kwako (kwenye half yako) lazima utafungwa tu.
 
Havertz na Jorginho hizi takataka mbili hazipaswi kuanza, Broja na Kovacic ama Gallagher ndio wanapaswa kuanza.

Alafu huyu TT akianza kutupangia kikosi cha kipumbavu wakati watu anao tutaanza kumkataa.
[emoji117] Vs Spurs twende na ulinzi shirikishi 3-4-3

---- STERLING -- HARVETZ --- MOUNT -----

CUCU --- KANTE ---- JOGNHO ---- JAMES

-------- KOULIBALY -- THIAGO -- AZIP---------

[emoji117] Je tutaweza kuzuia counter attacks za spurs?

[emoji117] Je tutaweza kuifungua safu ya ulinzi ya Spurs?

Kilalaheri THE BLUES.
 
Andreas Christansene anataka kurudi Chelsea as free agent baada ya Barcelona kushindwa kuwasajili La Liga. Kaweka jumamosi kuwa ndio mwisho kwa Barcelona kuwasajili ili wawe na uhakika wa kucheza msimu ujao. Kwenye mktaba wao waliweka kipengele cha kuvunja mkataba na kuwa free agent kabla msimu haujaisha Tareeh 1 Septemba 2022. Wandugu mtampokea au?

Andreas Christensen drops shock U-turn Chelsea transfer hint amid fresh £80m Wesley Fofana bid
Hahahaha huyu takataka abaki huko huko alitunanga aisee abaki huko huko.
 
TT huu msimu akivurunda sijui ataficha wapi sura yake na sababu zote za kiduanzi kashazimaliza.

Watu wanataka kuona akishinda ligi

UCL tu haitoshelezi

Akina do Mateo walishinda UCL ila bado Hana mzizi mrefu kwa mashabiki.

Akina conte na Mourinho hadi kesho wanaimbwa na mashabiki.

UCL kombe kubwa but still anahitaji kufanya kitu tofauti.
 
TT kasema Leo nafasi muhimu Kwa Sasa ni striker na CB
Hapa anamaanisha Auba na Fofana
Inavyoelekea nguvu kubwa itaaekwa Kwa hao wawili, De Jong akileta za kuleta atabaki na hiyo broke team
 
Barca wanataka Euro 25m kwa Auba
Chelsea wanajiandaa kutoa Euro 12.5m
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom