Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi ukumbuki RLC chini ya sarri alifanya Nini alivyokuwa anacheza no 10?
Ni kweli alikuwa akiendelea vizuri hadi Sarri akawa anampanga kila mechi ila injury ilikuwa ndefu sana ikamtoa nje ya ubora wake. Amekuwa akistrugle kurudi, tatiso kasi ya ligi haimruhusu kocha kuwavumilia hao wanaorudi taratibu. Kumbuka Lampard alivyowavumilia hao flops na academy hadi akatimuliwa kwa aibu
 
Kiukweli mi sijawahi kumwona RLC akicheza viziri, namuona wa kaida sana. Hiyo mnayosema kipindi cha sarr sijui hata ni lini alichezaga viziri.
 
Anakuja na De Jong na hapo itakuwa mwisho wa Jorginho. Chilwell na Cucurella watakuwa wakirotate na au Koulibally na Cucurella watakuwa wakirotate. Kova na Dejong rotation, Kante na RLC rotation, Silva na Azpilicuta rotation. Auba na Broja rotation na Sterling na Havertz watafanya rotaion

Auba goli 20
Sterling 15 na assists 10
Mount 15 na assists 10
Jumla ya magoli 60+ kwa wachezaji watatu tu, si haba
Viungo wote magoli 10+
broja na forwards waliobaki goli 10+
wingbacks goli 10+
Jumla ya magoli 90+
msimu uliopita tulifunga magoli 76
Kwa point 90+ tutakuwa tumeziba gap ya ufungaji
Defense wakiweza kulinda hayo magoli yalete ushinda tutafikisha pts 90+
Bingwa ataamuliwa na margin ndogo ya pts, hata tusipobeba ubingwa hatutalalamika

--------------------Aubameyang---------------------

-------Sterling -------------------------- Mount------

Chilwell/Cucurella ---- De Jong/Kova ---- Kante/RLC ---- James

Cucurella/Koulibally -------- Silva ------Fofana

Mendy
Hii ni Ndoto ya Kila Mwana Chelsea. Ila ni ngumu sana Kuibadilisha Ndoto kuwa Uhalisia.

Tuwe wavumilivu kwa hali yoyote Tumeipenda Wenyewe
 
Yaan kuna watu wanatetea ujinga mpaka najihuliza wanaangalia mpira kweli au wanasoma mwanasport???
Nendeni hata Youtube mkamalizie aibu huko maana huku naona hamna mnalolijua. Hivi mmemsahau yule RLC aliyetengeneza combination nzuri na Hazard then akapata majeraha kabla ya fainali na Europa dhidi ya Arsenal?

Nyie mmeanza kuangalia mechi za Chelsea lini?
 
Hata mimi nawashangaa
 
RLC ni takataka tu, zama zake zimekwisha isha.
Nendeni hata Youtube mkamalizie aibu huko maana huku naona hamna mnalolijua. Hivi mmemsahau yule RLC aliyetengeneza combination nzuri na Hazard then akapata majeraha kabla ya fainali na Europa dhidi ya Arsenal?

Nyie mmeanza kuangalia mechi za Chelsea lini?
 
Anakuja na De Jong na hapo itakuwa mwisho wa Jorginho. Chilwell na Cucurella watakuwa wakirotate na au Koulibally na Cucurella watakuwa wakirotate. Kova na Dejong rotation, Kante na RLC rotation, Silva na Azpilicuta rotation. Auba na Broja rotation na Sterling na Havertz watafanya rotaion

Auba goli 20
Sterling 15 na assists 10
Mount 15 na assists 10
Jumla ya magoli 60+ kwa wachezaji watatu tu, si haba
Viungo wote magoli 10+
broja na forwards waliobaki goli 10+
wingbacks goli 10+
Jumla ya magoli 90+
msimu uliopita tulifunga magoli 76
Kwa point 90+ tutakuwa tumeziba gap ya ufungaji
Defense wakiweza kulinda hayo magoli yalete ushinda tutafikisha pts 90+
Bingwa ataamuliwa na margin ndogo ya pts, hata tusipobeba ubingwa hatutalalamika

--------------------Aubameyang---------------------

-------Sterling -------------------------- Mount------

Chilwell/Cucurella ---- De Jong/Kova ---- Kante/RLC ---- James

Cucurella/Koulibally -------- Silva ------Fofana

Mendy
😂😂
 
Wanadai zama zake zilikuwa za babu mifegi kipindi anacheza na Hazard.
Hivi nae alikuwa na zama [emoji23][emoji23][emoji23].

RLC anakera sana, sehemu ya kupiga pasi haraka sana anawaza kufanya dribbling zisizo za msingi.
 
Dili la kumsajili De Jong limefikia wapi?

Screenshot_20220811-234420_Twitter.jpg

Limefikia Here we go!
Naomba tukishamaliza tuuze Jorginho then tufunge usajili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom