Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1660112847733.png
 
Kiukweli Chelsea ya Todd siielewi kabisa... ivi unamuuzaje Timo kwa bei ya mbuzi ivyoo? Bora wangebadilishana kupata beki au umuuze Ziyech sio Timo, Lukaku nae kaondoka iv wanafikiria nn hawa? Bora uwe na replacement yake..et huna.. mabeki wameondoka bure wanashindwa kuwaongezea hela sasa wanahaha tu sokoni..mm kwa timo naamini bado alihitaji muda hata Lukaku maadam hatukutoka top four sioni 7bu ya hii panic za hawa mabwana
 
Kuondoka kwa Timo ilipaswa iwe hivyo kwa sababu kuu mbili
  1. Timo mwenyewe alianza kumlalamikia kocha na kocha naye akaendekeza malumbano naye na kwa hiyo hata angebaki asingekuwa na manufaa tena kwa sababu ya msuguano wake na kocha
  2. Timo alikuwa analipwa mshara mkubwa 275m sawa na paundi 14,400,000 kwa mwaka. Huu mshara sasa unaweza ukawalipa wachezaji wazuri na wazoefu wawili kwa mwaka mzima ukiongeza na Euro mil 20-30 za kumuuza itawalipa wengine wawili jumla wanne.
 
Matakataka OUT
  1. Romelu Lukaku to Inter ✔️
  2. Timo Werner to Leipzig✔️
  3. Marcos Alonso to Barca❓
  4. Ross Barkley on sale hakuna timu inamtaka, hata Everton wamemkataa ❗
  5. Jorginho anakumbatiwa na TT❗
  6. Christian Pulisic amedai atapambania nafasi ❗
  7. Reuben Loftas Cheek on Swap dela for Fofana❗ kagoma kuondoka Chelsea
  8. Malang Sarr to Monaco ✔️
  9. Hakim Ziyech to Man U or AC Milan❓
  10. Keppa anabaki, dili la Napoli limefeli, Napoli wanamtaka Keyla Navas❓
  11. Michy Batshuayi to Everton❓
  12. Ampadu to Empoli❓
  13. Babarahma on sale❓
  14. Billy Gilmour on loan to Everton❓
  15. Emerson to Lazio❓
  16. Kenedy on sale❓
  17. Xavier Mbuyamba on sale❓
  18. Matt Miazga to FC Cincinnati✔️
✔️Ameondoka
❓ Ataondoka
❗ Haijulikani
 
[emoji599][emoji599]| FC Barcelona & Chelsea are very close to reaching an agreement for Frenkie De Jong's transfer for more than €80M. sport
Media nyingi zimeuza taarifa za hili saga, uongo uliouzunguka hili suala la De Jong umewafanya watu hata wasitamani kusoma tena nikiwepo mimi. Nasubiri tu siku nikisikia yupo London anapimwa mkojo ndipo nitakapoamini
 
Msomeni TT alafu muwe na adabu mnapokuja kule jukwaani la wanaume THE GUNNERS

Thomas Tuchel:

"When I said that Arsenal seemed more ready [after our pre-season friendly], I speak with my words – they were more ready. They played in pre-season with more or less the same starting 11."

"They had one or two signings to complete their group and they had a clear idea of what they want. From there, they had a team to build and of course also an atmosphere and attitude."

"We suffered against them but there were reasons we were not at this point, which we have to accept."
 
Hao makocha wamesoma na wanajua kufanya siasa za mpira
 
Matakataka OUT
  1. Romelu Lukaku to Inter ✔️
  2. Timo Werner to Leipzig✔️
  3. Marcos Alonso to Barca❓
  4. Ross Barkley on sale hakuna timu inamtaka, hata Everton wamemkataa ❗
  5. Jorginho anakumbatiwa na TT❗
  6. Christian Pulisic amedai atapambania nafasi ❗
  7. Reuben Loftas Cheek on Swap dela for Fofana❗ kagoma kuondoka Chelsea
  8. Malang Sarr to Monaco ✔️
  9. Hakim Ziyech to Man U or AC Milan❓
  10. Keppa anabaki, dili la Napoli limefeli, Napoli wanamtaka Keyla Navas❓
  11. Michy Batshuayi to Everton❓
  12. Ampadu to Empoli❓
  13. Babarahma on sale❓
  14. Billy Gilmour on loan to Everton❓
  15. Emerson to Lazio❓
  16. Kenedy on sale❓
  17. Xavier Mbuyamba on sale❓
  18. Matt Miazga to FC Cincinnati✔️
✔️Ameondoka
❓ Ataondoka
❗ Haijulikani
RLC sio takatakata ni mchezaji nzuri ambaye TT anatakiwa amuamini japo anachezeshwa number sio yake lakini anakichafua angalia game dhidi ya Madrid kule spain na mechi nyingi tu kacheza vizuri
 
RLC sio takatakata ni mchezaji nzuri ambaye TT anatakiwa amuamini japo anachezeshwa number sio yake lakini anakichafua angalia game dhidi ya Madrid kule spain na mechi nyingi tu kacheza vizuri
Ni takataka uwezo wake cyo wa chelsea akacheze Ipswich na fulham huko ndo level ya uwezo wake hastahili hata kidogo kuvaa jezi ya chelsea
Anabebwa kisa muingereza ila uwezo wake ni mdogo
 
RLC sio takatakata ni mchezaji nzuri ambaye TT anatakiwa amuamini japo anachezeshwa number sio yake lakini anakichafua angalia game dhidi ya Madrid kule spain na mechi nyingi tu kacheza vizuri
Kwa kikosi tulichonacho sasa RLC ni mzuri. je atakidhi vigezo vya viungo wanaotakiwa na Chelsea? Je atakuwa na consistency ya kumfanya afikie viwango vya ubora unaotakiwa au ndio mechi hii anacheza vizuri, mechi inayofuata anapotea?
 
Sasa huyu AUBA akitua THE BLUES si atafeli vibaya sana.

Timu haichezi counter attacks, haiwezi kupiga pass ndefu na penetration pass kwenda mbele, timu inashambulia slow motion na kwenda kujazana kwenye lango la opponent (piga nikupige).

Aina ya uchezaji wa AUBA katika kushambulia ni tofauti na style ya uchezaji THE BLUES.
Analysis nzuri sana. Sisi kumiliki mpira ndio tunaona dili. Ball possession 70% halafu unatoa draw ya 0-0, au 1-1. Kona 12 hakuna goli linalotokana na hizo kona.
 
Kwa kikosi tulichonacho sasa RLC ni mzuri. je atakidhi vigezo vya viungo wanaotakiwa na Chelsea? Je atakuwa na consistency ya kumfanya afikie viwango vya ubora unaotakiwa au ndio mechi hii anacheza vizuri, mechi inayofuata anapotea?
Hivi ukumbuki RLC chini ya sarri alifanya Nini alivyokuwa anacheza no 10?
 
Kwa kikosi tulichonacho sasa RLC ni mzuri. je atakidhi vigezo vya viungo wanaotakiwa na Chelsea? Je atakuwa na consistency ya kumfanya afikie viwango vya ubora unaotakiwa au ndio mechi hii anacheza vizuri, mechi inayofuata anapotea?
Consistency ya performance ya mchezaji is directly proportional to the consistency of his selection by the gaffer. Leo mchezaji anacheza anaperform, zinapita siku 7 hajacheza tena. Siku akichaguliwa tena kucheza, anacontrol mpira kwa ugoko. Kocha anaona tena hafai. Anamuacha.
 
Sasa huyu AUBA akitua THE BLUES si atafeli vibaya sana.

Timu haichezi counter attacks, haiwezi kupiga pass ndefu na penetration pass kwenda mbele, side ways/back pass milion 1, timu inashambulia slow motion na kwenda kujazana kwenye lango la opponent (piga nikupige).

Aina ya uchezaji wa AUBA katika kushambulia ni tofauti na style ya uchezaji THE BLUES.
Anakuja na De Jong na hapo itakuwa mwisho wa Jorginho. Chilwell na Cucurella watakuwa wakirotate na au Koulibally na Cucurella watakuwa wakirotate. Kova na Dejong rotation, Kante na RLC rotation, Silva na Azpilicuta rotation. Auba na Broja rotation na Sterling na Havertz watafanya rotaion

Auba goli 20
Sterling 15 na assists 10
Mount 15 na assists 10
Jumla ya magoli 60+ kwa wachezaji watatu tu, si haba
Viungo wote magoli 10+
broja na forwards waliobaki goli 10+
wingbacks goli 10+
Jumla ya magoli 90+
msimu uliopita tulifunga magoli 76
Kwa point 90+ tutakuwa tumeziba gap ya ufungaji
Defense wakiweza kulinda hayo magoli yalete ushinda tutafikisha pts 90+
Bingwa ataamuliwa na margin ndogo ya pts, hata tusipobeba ubingwa hatutalalamika

--------------------Aubameyang---------------------

-------Sterling -------------------------- Mount------

Chilwell/Cucurella ---- De Jong/Kova ---- Kante/RLC ---- James

Cucurella/Koulibally -------- Silva ------Fofana

Mendy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom