Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

View attachment 2318073

Okay huenda nimechanganya formation.

Lakini hii approach iliyotumika kwenye hii match, kwanini tunashindwa kuitumia kwenye match zingine.

Hii match hakukuwa na mambo ya pasi fupifupi.

Hii match pamoja na second leg ya robo final uefa against real madrid, ni match ambazo tulipiga mpira mwingi sana.

Mimi nafikiri TT hawachezeshe wachezaji kwenye right position zao.

Wing right wapo left right wapo. Kai na polisic ni wazuri sana wakicheza no 10.

Then no 9 asimame proja au Kai kama false no 9 wabadilishane. Hapo tutaona ushindani kweli kweli. Mimi huwa sifurahishwi na kai kuchezeshwa left au right wing
 
Wewe unachanganya vitu viwili kuna aina ya uchezaji na kuna mfumo shida yetu sisi sio mfumo ndio unatatizo la hasha tatizo lipo kwenye uchezaji na team inacheza soka zuri pale anapokuwa kovacic na kante pale Kati ila anapocheza jorginho team inakuwa slow
Asante kaka kwa kuona nachokionaga mimi. TT sijui huwaga haoni? Huwa namshangaa anavyomkumbatia jog.
 
Mimi nafikiri TT hawachezeshe wachezaji kwenye right position zao.

Wing right wapo left right wapo. Kai na polisic ni wazuri sana wakicheza no 10.

Then no 9 asimame proja au Kai kama false no 9 wabadilishane. Hapo tutaona ushindani kweli kweli. Mimi huwa sifurahishwi na kai kuchezeshwa left au right wing
Havertz mnamtetea tu ila kwa ulegevu ule ligi haiwezi, zaid ya kufunga kwnye champions legue sijaona kitu anafanyaga uwanjani hata achezeshwe wapi, ni takataka.
 
Havertz mnamtetea tu ila kwa ulegevu ule ligi haiwezi, zaid ya kufunga kwnye champions legue sijaona kitu anafanyaga uwanjani hata achezeshwe wapi, ni takataka.
Hana ulegevu kama unavyosema labda unazungumzia kai wa msimu wa kwanza sema sema mechi iliyopita alichezeshwa nje ya position
 
Jorginho kaingia kwenye kundi la matakataka, Italia pamoja na kuchukua ubingwa wa michuano ya Euro ila wamekosa kuingia katika michuano ya kombe la dunia kwa upumbavu wa Jorginho.

Jorginho inabidi apigwe bei hafai kuwa Chelsea, kwa nguvu zote tumchukue mwamba Sergej Milinkovic Savic. Huyo mwamba ndio atatufaa pale kati akisaidiana na Kante, Kovacic pamoja na Gallagher. Uzuri mchezaji mwenyewe ana lazimisha kuondoka.
Asante kaka kwa kuona nachokionaga mimi. TT sijui huwaga haoni? Huwa namshangaa anavyomkumbatia jog.
 
Kuna watu wanasema kocha apewe wachezaji wanaoendana na mfumo wake, mbona Conte 2017 aliwakuta wacheza wa Mou mbaazi, mamahargwe dagaa na magimbi pamoja akachukua nao ubingwa? Wala hakuja na mchezaji wake?
Je tunaviungo na wachezaj wale wale ambao wanaweza tupa hata nusu aliyokuwa anatupa Costa,Hazard,Willian,Matic,Fabregas

Nyuma pako sawa atleast, Luiz+Cahill+Azp
Na wing back hazina shida hizi idara zingine

Je kuanzia mid mpk mbele kuna mtu anaweza toa performance kama za hao hata nusu katika game 10 mfululizo??

Conte alicheza 14 games bila kupoteza, kwa kikos cha sasa unahis kinaweza cheza hata game 10 bila kupoteza??
 
Katika wachezaji nilitamani tuwasajili misimu miwili nyuma kutoka hapo epl ni James Tarkowski na Ruben Neves. Ruben Neves ni mwamba kweli ila kwa Sergej Milinkovic Savic ana subiri, uzuri wa Savic anafunga na kutoa Assist kwa wingi.

Sergej Milinkovic Savic yuko vizuri kwenye direct free kicks, high pressing na aerial duels. Anacheza katika nafasi mbili kwa ufasaha zaidi attacking midfield na midfield center.

Ruben Neves sijampinga no mchezaji mzuri tu kama tukishidwa kwa Savic tuhamie kwa huyo mwamba. Uzuri Neves ni mwenyeji wa ligi, umri pia bei yake itakuwa ndogo. Ila kwanza tupambane kupata saini ya Savic, hatari sana huyo mwamba.
Je huyu mwamba Ruben NevesView attachment 2318392
 
Je tunaviungo na wachezaj wale wale ambao wanaweza tupa hata nusu aliyokuwa anatupa Costa,Hazard,Willian,Matic,Fabregas

Nyuma pako sawa atleast, Luiz+Cahill+Azp
Na wing back hazina shida hizi idara zingine

Je kuanzia mid mpk mbele kuna mtu anaweza toa performance kama za hao hata nusu katika game 10 mfululizo??

Conte alicheza 14 games bila kupoteza, kwa kikos cha sasa unahis kinaweza cheza hata game 10 bila kupoteza??
Kiongozi acha kulemba mwandiko kwa kumtetea kocha ni muoga kuattack hilo liko wazi game ya mwisho tuliocheza kwa kushambulia kama nyuki ilikuwa game na juventus na wachezaji walikuwa hawahawa. Kwenye suala la kucrete chances no sign of improvement na tunataka kutoa £80mil kwa beki ilihali viungo wachezeshaji hatuna na wala simuoni akiwaza kuwatafuta. Tunawaweka mabeki underpressure kwa kuto create chances na kutofunga magoli ya kutosha. Inshort kocha nae awe dynamic kwenye game approach yake sio kulaumu wachezaji tu
 
Havertz mnamtetea tu ila kwa ulegevu ule ligi haiwezi, zaid ya kufunga kwnye champions legue sijaona kitu anafanyaga uwanjani hata achezeshwe wapi, ni takataka.
Havertz sio kama mbaya kivile, kuna game kwa sehemu kubwa alikuwa strong msimu uliopita na hadi akawa anafunga mfululizo, uchezaji wetu ukiimprove Havertz anaweza akafunga magoli 10+ na bado umri wake unampa fursa ya kuimprove. Advantage ya Havertz hana panic akiwa na mpira sio kama Werner. Pia Havertz anacreate mobility kwenye final third na hivyo yeye, sterling na Mount wanaweza kuleta manufaa makubwa endapo hatutampata striker au winger bora zaidi
 
Matakataka OUT
  1. Romelu Lukaku to Inter ❌
  2. Timo Werner to Leipzig❌
  3. Marcos Alonso to Barca
  4. Ross Barkley on sale hakuna timu inamtaka, hata Everton wamemkataa
  5. Jorginho anakumbatiwa na TT
  6. Christian Pulisic amedai atapambania nafasi ✔️
  7. Reuben Loftas Cheek on Swap dela for Fofana
  8. Malang Sarr to Monaco ❌
  9. Hakim Ziyech to Man U or AC Milan
  10. Keppa anabaki, dili la Napoli limefeli, Napoli wanamtaka Keyla Navas
  11. Michy Batshuayi to Everton
  12. Ampadu to Spezia
  13. Babarahma on sale
  14. Billy Gilmour on loan to Everton
  15. Emerson to Lazio
  16. Kenedy on sale
  17. Xavier Mbuyamba on sale
  18. Matt Miazga to FC Cincinnati❌
 
Jorginho anaweza kuondoka.
Screenshot_20220808-225821_OneFootball.jpg
 
  1. Defense imara inaweza kulinda magoli yaliyofungwa hata kama ni kamoja (Mfano juzi vs Everton 1-0)
  2. Defense imara inaweza kutupa point moja hata kama washambuliaji wetu wako kwenye mgomo wa kufunga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom