Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Huyu dogo kwani ataingia moja kwa moja senior timu?
Done Deal
Yeah anaingia senior team moja kwa mojaHuyu dogo kwani ataingia moja kwa moja senior timu?
Hahaa kukanusha ni njia tu ila deal limekamilika,Brighton wamekanusha huo usajili
Gerald Romero alipoandika deal done, Sevilla kwa Kounde si walikanusha kwa kusema kuwa hata bid Barcelona hawakusubmit wakati walikesha usiku mzima wakijadiliana tena terms ndogondogoHahaa kukanusha ni njia tu ila deal limekamilika,
January Rais wa Lyon alikanusha kumuuza Bruno Guimares kwenda Newcastle ila siku chache zijazo wakathibitisha kumuuza
Hao hao Brighton walikanusha kumuuza Ben White kwenda Arsenal, ila siku chache deal likatangazwa
Mbona brighton wamekanusha? Nahitaji ufafanuzi kwenye hiliDone Deal
Ni itifaki imezingatiwa kwa sababu bado makubaliano kamili (Official consesus) haijafikiwa. Kuna suala la Colwill nadhani ndio inachelewesha. Brighton hakubali kusaini hadi wawe na uhaklika wa replacement ya Cucurela na wanamuona Colwill kama ndie replacement au wakimkosa wampate mwingine kwanzaMbona brighton wamekanusha?
Atacheza kwenye nafasi ipi?
Ndio Boehly pamoja na TT wamethibitisha atacheza kwenye kikosi Cha wakubwaHuyu dogo kwani ataingia moja kwa moja senior timu?
Attacking midfielder.Atacheza kwenye nafasi ipi?
Kwahiyo nafasi anaweza kupata ila ingekuwa ni midfielder ya Kati nafasi hawezi kupata nafasiAttacking midfielder.
Kwa maana nyingine hapo gilmour atauzwa au kutolewa mkopoChelsea have confirmed their 2022/23 squad numbers hinting at the roles Carney Chukwuemeka, Conor Gallagher and Armando Broja will play this season.
- Chukwuemeka has been handed the no.30 shirt,
- Broja the no.18 jersey and
- Gallagher has been assigned the no.23 shirt.
- Raheem Sterling has been given the no.17 shirt whilst
- Kalidou Koulibaly has inherited club legend John Terry's famous no.26 shirt.
- Club captain Cesar Azpilicueta remains as no. 28
- Numbers not selected include no.2, no.4, no.15 and no.25 which could be taken by incoming new signings
Nafasi anaweza kupata hata kwenye CM kwa sababu ya rotation. Na pia naona watatumika zaidi kwenye mechi nyepesi za karabao, FA na baadhi ya mechi za ligiKwahiyo nafasi anaweza kupata ila ingekuwa ni midfielder ya Kati nafasi hawezi kupata nafasi
Nimesema hivyo kwasababu number yake ya mgongoni nimeona kavaa Conor GallagherNafasi anaweza kupata hata kwenye CM kwa sababu ya rotation. Na pia naoan watatumika zaidi kwenye mechi nyepesi za karabao, FA na baadhi ya mechi za ligi
Colwill ameenda kwa mkopo brighton kaangalia kwenye instagram ya Fabrizio Romano utaona hiyo taarifaChelsea wanajiandaa kupeleka ofa ya Paundi mil 70 kumsajili Wesley Fofana
Tomori tulimuuza mil 25
Colwill tutamuuza mil haitazidi paundi mil 25
Baada ya miaka miwili tutamtaka kwa paundi mil 70
Kwa sababu mimi namuona Fofana (21yrs) sio upgrade ya Colwill, kilichowatofautisha ni umri tu (2 yrs apart) na uzoefu kwenye ligi
Good newsColwill ameenda kwa mkopo brighton kaangalia kwenye instagram ya Fabrizio Romano utaona hiyo taarifa