passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,527
- 12,507
It is done deal
It is done deal
Nasikia pia tunamalizana na kijana wa kibrazilChelsea leo wako Italy kuanza mazungumzo ya kumsajili kiungo kinda wa miaka 18 machachari Cesare Casadei wa Intermilan. Ujio huo pia itatoa fursa kujadili mkataba na mchezaji. Arsenal wanamfukuzia pia kiungo huyo
Hakuna kitu kama, hizo ni deal tofauti,Barca kashafanya yake naanza kuamini
Ndio maana ornstein hajapost
| @gerardromero:
“If I say the name of the player's agent meeting with FC Barcelona, a tsunami will occur.”
![]()
Yeah wamekanusha coz wanataka wote waconfirm kwa wakat mmoja about wao kumchukua colwil huku sisi tukikchukua cucurelaNgoja had asubuhi Tuone
Ila Brighton wamekanusaha hawana makubaliano na mtu Kuhusu cocurela muda huu
Acha ubishi, kuna tofauti katika deal zote hizo,Wewe endelea kubisha
Hadi kesho utaelewa
Deal la RAPHINA ,Kounde wenzako walikuwa wabishi hivi hivi
Naona unacopy kutoka fake account za twitter| JUST IN: Barcelona have offered Brighton €50 million + add ons for Marc Cucurella
@gerardromero []
Wilfred Zaha amewahi cheza man u lini?Zaha nae si alikuwa flop man u au umesahau? depay sio winga halisi ni mchezaji ambaye anaweza akaplay as number 10 kwenye mechi hiyo hiyo yupo dnamic hatulii kwenye nafasi moja lakini zaha ni winga halisia anaecheza pembeni zaidi kutokana na mfumo wa TT uchezaji wa aina ya depay unafit unaruhusu flow of movement in attacking ukizingatia hatuchezi na striker halisia
Kweli Arsenyeto ni matakataka.Barca anataka abebe cocurela huko
| @gerardromero: “If I say the name of the player's agent meeting with FC Barcelona, a tsunami will occur.”
| Mateu Alemany & Joan Laporta are having dinner with a player's agent right now.
@gerardromero []
| @gerardromero: “Marc Cucurella's agents are by chance in Barcelona.”
Hakuna usajili nausubir kw hamu km wa De jong.Hiyo ni done deal tayari.subiri announce Alonso + azpilicueta wanaenda Barcelona huku Chelsea tukimchukua Dejong
Ni academy wa man u huyoWilfred Zaha amewahi cheza man u lini?
Man u ilimsajili Zaha kutoka Crystal Palace kwa ada ya pounds 10m mwaka 2013 chini ya utawala wa Alex ferguson akiwa ametoka wamoto akiwa na magoal 18 akaja man u akachemkaWilfred Zaha amewahi cheza man u lini?
Hapa nimeamini kweli tumemsajili