Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wasipouzwa tunao mwakani kwa sababu za sheria za FIFA inazitaka timu zipeleke wachezaji 8 tu kwenye mkopo kila msimu
  1. Xavier Mbuyamba
  2. Matt Miazga
  3. Baba Rahman
Chelsea imewaweka sokoni kuuzwa
 
Conor Gallagher itabidi aonyeshe level ya juu aliyoonyesha kule Palace. Kwenye mechi na Arsenal Conor alikuwa anaremba sana akipata mpira hadi ananyang'anywa. Ile penalti aliyopiga ni kuonyesha jinsi ambavyo wakati mwingine hayuko serious kama mwenzake Mount.
 
Conor Gallagher itabidi aonyeshe level ya juu aliyoonyesha kule Palace. Kwenye mechi na Arsenal Conor alikuwa anaremba sana akipata mpira hadi ananyang'anywa. Ile penalti aliyopiga ni kuonyesha jinsi ambavyo wakati mwingine hayuko serious kama mwenzake Mount.
Huyo conor mi naona ni bora tumuuze tu sio level ya kucheza chelsea tuna kante tuna jorginho tuna kovacic tuongeze namba 8 ambayo iko vzr zaidi yenye quality ya juu zaidi kama alivokuwa fabregas
 
Conor Gallagher itabidi aonyeshe level ya juu aliyoonyesha kule Palace. Kwenye mechi na Arsenal Conor alikuwa anaremba sana akipata mpira hadi ananyang'anywa. Ile penalti aliyopiga ni kuonyesha jinsi ambavyo wakati mwingine hayuko serious kama mwenzake Mount.
Siku hiyo Gallagher hakucheza nafasi aliyokuwa akicheza Palace. Palace alikuwa akicheza kama AMF. Juzi mi sikuelewa alicheza namba gani, maana nilikuwa namuona kama alicheza nyuma kushoto
 
🈂️Maoni: Chelsea iachane na goal ya kupunguza gap na City+Liver ili iondokane na presure ya usajili ambaop unaleta tu discouragements nyingi. Badala yake Chelsea ijikite kwenye kujenga timu kwa kuwapa nafasi hao promising talents wa academy kwa msimu mmoja au miwili tu. Msimu wa pili au wa tatu akina Boehly na timu ya usajili itakayoundwa itakuwa imezoea mazingira ya Chelsea na European football environments.
Wachezaji wa kupewa nafasi ya first team ni
1️⃣ Armando Broja
2️⃣ Levi Colwill
3️⃣ Conor Gallagher
Kwa hiyo wasajiliwe hawa wachezaji watatu (3) tu tena wa maana
  1. CB 1 wa Euro 50m
  2. RB 1 wa Euro 50m
  3. DM 1 wa Euro 50m
👉Tuachane na striker Broja na Havertz watatosha hapo
👉Tuachane na winger Mount, Sterling, Pulisic na Werner watatosha
👉Viungo ni Kante, Kovacic, Conor Gallagher na RLC + DM mpya
👉Mabeki ni Koulobaly, Silva, Levi, Sarr na Chalobah + CB Mpya
👉RB Azpi na James
👉LB ni Chilwell, Alonso na Emerson

Pia tutumie misimu hii miwili kuhakikisha takataka zote zimeondolewa darajani1️⃣
 
Chelsea haikufungwa na Arsenal 4-0 Kwa sababu ya defense mbovu Wala haikushindwa Kufungua Kwa sababu ya forward mbovu. Sehemu kubwa ni approach ya game haikuwa serious. Waliichikulia Ile mechi kama mazoezi wakati wenzao wameichukulia kama fainali za UEFA, kidding

Agressiveness haikuwepo kabisa kuanzia nyuma katikati Hadi mbele. Hata kipa msenyewe hakuwa serious na Ile game
 

Attachments

  • IMG_20220723_193238.jpg
    IMG_20220723_193238.jpg
    141.3 KB · Views: 15
Maoni: Chelsea iachane na goal ya kupunguza gap na City+Liver ili iondokane na presure ya usajili ambaop unaleta tu discouragements nyingi. Badala yake Chelsea ijikite kwenye kujenga timu kwa kuwapa nafasi hao promising talents wa academy kwa msimu mmoja au miwili tu. Msimu wa pili au wa tatu akina Boehly na timu ya usajili itakayoundwa itakuwa imezoea mazingira ya Chelsea na European football environments.
Wachezaji wa kupewa nafasi ya first team ni
Armando Broja
Levi Colwill
Conor Gallagher
Kwa hiyo wasajiliwe hawa wachezaji watatu (3) tu tena wa maana
  1. CB 1 wa Euro 50m
  2. RB 1 wa Euro 50m
  3. DM 1 wa Euro 50m
Tuachane na striker Broja na Havertz watatosha hapo
Tuachane na winger Mount, Sterling, Pulisic na Werner watatosha
Viungo ni Kante, Kovacic, Conor Gallagher na RLC + DM mpya
Mabeki ni Koulobaly, Silva, Levi, Sarr na Chalobah + CB Mpya
RB Azpi na James
LB ni Chilwell, Alonso na Emerson

Pia tutumie misimu hii miwili kuhakikisha takataka zote zimeondolewa darajani
Good thinking
 
Chelsea sasa wamepeleka hasira yao kwa huyu jamaa
Name: Denzel Dumfries
Club: Intermilan
Position: Right Back
Age: 26yrs
Height: 1.83m
Weight: 80kg
Goal involment: 9; Goals: 5; Assists: 4
 
Wachezaji kila wakisikia jina la tajiri wa Chelsea TODDY BAHILI (BOEHLY) nafsi zao zinaingia wasiwasi kua watadhulumiwa mishahara yao, istoshe walivyosikia kua hata club yenyewe imenunuliwa kwa mkopo ndio kabisaaaaa wanapata uhakika kua boss ni dhulumati
Hawataki yawafike kama yanayomfika De jong Barcelona.
Nimecheka Sana eti TODDY BAHILI (BOEHLY)
 
Intermilan wameongenza dau la Skriniar baada ya kushindwa kumsajili Bhrema
Bei yake Sasa Paundi mil 59
 
Kenedy, Michy Batshuayi and Ross Barkley are still in the squad, despite clearly having no future at the club under Tuchel. There is also frustration in the academy that Billy Gilmour, Harvey Vale and Tino Anjorin were sent home from the tour to play with the Under-23s.
Tuko 2022,ila cha ajabu batshuay,kennedy bado niwachezaj wetu,

Tulikumbatia sana haya madeadwood, hivi wakat ule Barkley yuko Villa je alikosa soko au ndio tulidemand hela kubwa,
 
Tuko 2022,ila cha ajabu batshuay,kennedy bado niwachezaj wetu,

Tulikumbatia sana haya madeadwood, hivi wakat ule Barkley yuko Villa je alikosa soko au ndio tulidemand hela kubwa,
Aston Villa hawakumtaka kama kumbukumbu zangu ziko correct
 
Chelsea wako interested na Harry Kane
Spurs wakimuuza Kane (Of course over Conte dead body) Conte atakatiza mkataba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom