Hahahah....huku pamepwaya sana! Naona baada ya hili goli la kusawazisha wataibuka! Still 1-1
Chelsea manager Jose Mourinho's press conference ahead of tomorrow game said: "I liked the way Juan Mata played against Swindon. His attitude is very good and his effort was good. When in a player makes an effort to come in my direction then I go to him as well. I can imagine from now him working into my way of thinking and I think the natural tendency will for him to be in the team."
Pia wakaja ongezeka yale mabaki ya arsenal na liverpool baada ya kukosa subra(washabiki maandazi) hawa watapungua ikifika nusu ya msimu kama Nzi anavyotaka kurudi Arsenal kwani Moyes anatoa jambajamba kule UTD..
kwani msimu huu chelsick haifiki big4
Refa jinga kabisa
Acha kujifanya unanijua arifu...siwezi kuwa mshabiki wa Goons hata katika dunia ijayo!
Mimi na United na United na mimi daima.
Jamani mwenye remote aongeze font ya maandishi hatuoni matokeo
![]()
Kweli kwa kadi ya pili ya Torres, refa alichemsha kabisa. Ila goli la Terry, ni kama Terry alikuwa some inches offside!!
Ni ukwel kuwa mata ame-prove kuwa mourinho is wrong.