Media ndio zinatuchanganya, upande wa Barcelona wakija na uongo wanauremba kweli kweli
Wapinzani wa Barcelona wakija wanaturemba kweli kweli na kutupa false hopes kibao
Leo tena kun a media wamekuja wakidai Barca wanataka kufanya hijack ya mwisho
Media zingine zinadai Sevilar wanataka kupata cash haraka ili wafanye replacement ya Kounde kabla hawajachelewa
Kounde anadai kaenda kujiunga na wenzake baada ya kuona dili linacheleweshwa na yeye asingeweza kufanya mazoezi spani peke yake. Kaona "that is not professional"
Gerard Romero leo kadai dili tayari imebaki paper works ili Kounde ahamie Camp Nou
View attachment 2301016