Mkuuu kila mchejazi unamtaka aje Chelsea tuAllan Saint-Maximin akija darajani anaweza kufungua ngome nyingi za timu pinzani na hivyo kuongeza ufungaji wa magoli kwa fowards wetu
An uwezo wa kukaa na mpira, kukimbia, kufanya dribling, kufunga nk
Huu ni urafiii Sasa ,ifike hatua mjue aina ya wachezaji wanaoweza kuja kucheza ChelseaAllan Saint-Maximin akija darajani anaweza kufungua ngome nyingi za timu pinzani na hivyo kuongeza ufungaji wa magoli kwa fowards wetu
An uwezo wa kukaa na mpira, kukimbia, kufanya dribling, kufunga nk



mwisho wa siku mtasema kagere anaweza kuja kucheza hapo darajan kudadekiiiHizo tetesi sijui kama zina ukweliTaarifa za Athletic zinasema Chelsea wameulizia kama Allan Saint-Maximin atauzwa
View attachment 2299994
Ni habari za kuokoteza hizoHuu ni urafiii Sasa ,ifike hatua mjue aina ya wachezaji wanaoweza kuja kucheza Chelseamwisho wa siku mtasema kagere anaweza kuja kucheza hapo darajan kudadekiii
The Athletic ni moja ya reliable source za true rumoursHizo tetesi sijui kama zina ukweli
Media za ulaya ni hatari sana. Zinafahamika kwa mambo makubwa mawili: misleading and bullying. Wakiamua kupotosha utaamini. Wakiamua kunyanyapaa utaona afadhali ufe. Kwa mfano, flopping ya wachezaji wakubwa wanaouzwa ka madau makubwa zinasababishwa na media. Wanawajengea hofu wachezaji kwa price tag zao. Akikosea kidogo tu kwenye mechi moja, kama hana roho ngumu hachezi tena. Fikiria yaliyotokea kwa Fernando Torres alipotoka Liver kuja Chelsea, Lukaku Man U na Chelsea second spell.Changamoto ni kwamba msimu huu media zimejidhihirisha zinasemea upande wao. haijulikani kama hayo yaliyoandikwa ni kweli. Kounde sio muongeaji kama Raphinha. So labda tu ni kambi ya Barc elona wameamua kutunga na kulinganisha na matukio kwa vile Kounde karudi preseason na wenzake. OR may be waliolazimisha ni Sevilla wakitaka dau kubwa kutoka kwa Barcelona ndio wakamlazimisha asubiri? mwanzoni Kounde alishasema yuko tayri kwenda popote kati ya Chelsea na Barca
Kimpembe naona anazingua. Thiago Silva na N'Golo Kante wamezungumza naye lakini amewaambia anataka kubaki PSGTT anamtaka Benjamin Pavard kuja kuwa backup ya James, hii move inaanza baada ya dili la Kounde na Kimpembe kumalizika. Pavard ni RB mwenye miaka 26 anayechezea klabu ya Bayern na taifa la Ufaransa
Twende kwa yule mdogo wake na Kovacic wa RB Leipzig anaitwa Josko Gvardiol, ni mdogo ana miaka 20 tu na ameshajijenga kwenye kuzuiaKimpembe naona anazingua. Thiago Silva na N'Golo Kante wamezungumza naye lakini amewaambia anataka kubaki PSG
Kuna tofauti kubwa kati ya Raphina na Kounde.Swali Kounde anaitaka THE BLUES?
Au tunalazimisha vitu ambavyo havipo.
Haiwezekani offer imekubaliwa na Sevilla hapo hapo wanasubiria kauli ya mwisho ya Barcelona.
Yale ya Raphina yanaweza kujirudia tena
Na kwanini tunalazimisha kusajili wachezaji ambao hawatutaki?
Huyo waachane nae,mchezaji gani ana jina la kiswahili.Kimpembe naona anazingua. Thiago Silva na N'Golo Kante wamezungumza naye lakini amewaambia anataka kubaki PSG
TT anataka CB watatu wapyaBaada ya deal la KOUNDE kukamilika, sidhani kama tutasajili tena wachezaji wa caliber kubwa, muda umekwisha.
Labda tusajili mbarara za bei ndogo za kufungia dirisha.
Ni Dola, euro au pound Kwa sababu sources zingine zinataja pound 106k Kwa wikiDeal la Kounde liko katika hatua za mwisho
Mkataba wa miaka 5 huku akipokea 160K kwa wiki