Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shabiki moja wa Chelsea kashauri baada ya dili la Kounde kumalizika, itakuwa vyema UEFA wakazipanga Barcelona na Chelsea group moja ili tumalizane bifu mapema

1658431142413.png
 
Shabiki moja wa Chelsea kashauri baada ya dili la Kounde kumalizika, itakuwa vyema UEFA wakazipanga Barcelona na Chelsea group moja ili tumalizane bifu mapema

View attachment 2299216
Hili dili Kounde kuna kila dalili likafeli kama la Raphinha maana Sevilla wana chelewesha makusudi kumuuza mpaka waone dau la Barca halafu mchezaji afanye maamuzi yake
 
Issue ya Kounde
Ni sisi wenyewe na marina ndio inabidi tujilaumu,
Last season tuliagree hadi personal term ila tukafail kukubaliana na sevilla
January hatukafanya jitihada zozote

Summer tulifaa Kounde ndio awe moja ya wachezaj watakaowahi kusajil ila tukajikuta tunaspend mda mwingi kwa de ligt,ake, na kumfanya kounde awe si priority

Barce wamemfanya kounde kama Priority kwenye eneo lao la ulinzi
 
Pamoja na mbwembwe za hao wachovu, (Wanatembelea jina la zamani tu) sisi Chelsea tumeshamsajili Kounde
Taarifa za karibu zinasema kuwa Kounde ameshabook nyumba aliyokuwa anaishi Lukaku. Na taratibu zote za kuhamia London imeshakamilika
Pia ameshawaaga wapenzi wake na wakamsihi asihamie klabu yeyote ya spain. Sidhani kama Kounde atawaangusha wapenzi wake
 
Hawezi kuja apo darajani,,,[emoji16][emoji16]
 
Pamoja na mbwembwe za hao wachovu, (Wanatembelea jina la zamani tu) sisi Chelsea tumeshamsajili Kounde
Taarifa za karibu zinasema kuwa Kounde ameshabook nyumba aliyokuwa anaishi Lukaku. Na taratibu zote za kuhamia London imeshakamilika
Pia ameshawaaga wapenzi wake na wakamsihi asihamie klabu yeyote ya spain. Sidhani kama Kounde atawaangusha wapenzi wake
Usajili wa Kounde bado una maruweruwe. Upepo unaelekea kule kule kama wa Raphinha. Barca wanatufanyia mambo ya kishenzi sana kurubuni rubuni wachezaji. Xavi ana usongo na Chelsea kwa kitu tuliwafanya 2012.
Screenshot_20220722-051324_Chrome.jpg
Screenshot_20220722-051809_Chrome.jpg
Screenshot_20220722-052011_Chrome.jpg
Screenshot_20220722-052208_Chrome.jpg
 
Usajili wa Kounde bado una maruweruwe. Upepo unaelekea kule kule kama wa Raphinha. Barca wanatufanyia mambo ya kishenzi sana kurubuni rubuni wachezaji. Xavi ana usongo na Chelsea kwa kitu tuliwafanya 2012.View attachment 2299342View attachment 2299343View attachment 2299344View attachment 2299345
Todd Boehly alikuwa anakandia style ya Abramovich kwenye usajili lakini soon or later atakuja kuiga style hiyo maana hizi blow anazopigwa sasa sio ya kuvumilia, ni aibu tupu
 
Wanaume sisi ni box to box performers (single task performers)
Wanawake ni suppergate performers (multitask performers)

Hii ndio tofauti ya Marina na Boehly
Boehly anafanya usajili mmoja ukiisha unafuata mwingine -Too slow
Marina alikuwa akipeleka sajili zote zinazotakiwa kwa pamoja

Tungekuwa na Marina hapa biashara ingeisha asubuhi

Tutaanza ligi tukiwa tumepigwa bao na Arsenal na Spurs
 
Man U wametoa Euro 65m plus 20m addons na wamekubaliwa, hii ya mil 100 umeitoa wapi?
Hata Chelsea wakilipa pungufu kidogo ya Euro 65m, Barca watakubali kwa sababu ni Barca ndio wanaotaka kumfanyia Offloading De Jong

De Jong hataki kwenda Man U kwa sababu hawako UCL
De Jong anapenda kubaki Barca kwa sababu ndio dream team yake
Barca wamempa masharti akubali kupunguziwa mshahara ili aendelee kubaki kitu ambacho kambi ya De Jong hawaliungi mkono

De Jong kasema kama ni kutoka Barca basi iwe ni timu kama Chelsea ambayo project yake iko structured na inaendana na yeye anavyotaka

Chelsea wakipeleka Bid ya Euro 60m plus some addons Barca watamuachia De Jong

Kwa taarifa yako Barcelona wameshaishawishi Chelsea na PSG wamchukue De Jong kwa sababu ni hizi timu zenye sifa anazotaka De Jong

Barca sasa hivi kwa sababu ya matatizo yao ya kifedha wanahitaji wachezaji wa mshara mdogo na ndio maana hata Lewandowski kakubali kupunguziwa mshara wake hadi ikawa below 200,000/week wakati Bayern alikuwa anapokea karibia 400,000/week

TRUST MY WORDS
Ni kwamba De Jong hataki kwenda Utd au Barca ndo hawapo tayari kumlipa anachowadai ili deal to Utd likamilike?
 
Ni kwamba De Jong hataki kwenda Utd au Barca ndo hawapo tayari kumlipa anachowadai ili deal to Utd likamilike?
De Jong hataki kwenda United kwa sababu za statu quo
Interest yake ya kwanza ni kubaki Barca
Barca wanataka kumuuza ili wabalance mahesabu yao wasipigwe penalti na Laliga Fair Play
Aking'ang'ania kubaki basi Barca wamempa masharti akubali kupunguza mshahara wake kitu ambachop De Joing na kambi yake hawataki
Kama De Jong ni lazima aihame Barca basi aende kwenye timu inayoshiriki makombe makubwa sio United ya Europa
 
Wanaume sisi ni box to box performers (single task performers)
Wanawake ni suppergate performers (multitask performers)

Hii ndio tofauti ya Marina na Boehly
Boehly anafanya usajili mmoja ukiisha unafuata mwingine -Too slow
Marina alikuwa akipeleka sajili zote zinazotakiwa kwa pamoja

Tungekuwa na Marina hapa biashara ingeisha asubuhi

Tutaanza ligi tukiwa tumepigwa bao na Arsenal na Spurs
Mkuu hapo kwa marina sio yeye aliyespend dirisha lote la msim uliopita kwa Lukaku

Yani mpk deal la saul likawa nisiku ya mwisho tena sekunde za mwisho kabisa, huku ukiwa unategemea mchezaj flan asain kwanza atl madrid we ndio umpate saul tena siku ya deadline day
 
Pamoja na mbwembwe za hao wachovu, (Wanatembelea jina la zamani tu) sisi Chelsea tumeshamsajili Kounde
Taarifa za karibu zinasema kuwa Kounde ameshabook nyumba aliyokuwa anaishi Lukaku. Na taratibu zote za kuhamia London imeshakamilika
Pia ameshawaaga wapenzi wake na wakamsihi asihamie klabu yeyote ya spain. Sidhani kama Kounde atawaangusha wapenzi wake
😂😂😂😂😂

Make kwanza nicheke

Barca wamemwambia kounde afanye km raphinha😂
 
SWALI:- Je RAHIM STERLING peke yake ataweza kuibeba mgongoni THE BLUES EPL msimu 22/23?

Nauliza hivi kwa sababu Werner, Ziyech, Odoi, Kai, Pulisic, uwezo wao wa kufunga magoli mengi EPL ni mdogo.
Kama usajili wa maana wa zaidi ya Sterling na Koulibaly hautafanyika, hata top 4 tumepigwa bao kwa sababu Arsenal na Spurs wao wameshafanya sajili makocha wao walivyotaka. Kwa hiyo hakuna cha Sterling wala Koulibaly hapa

Kama Alonso na Azpilicueta watabaki angalau tusajili CB mmoja, Kiungo mmoja na winga mmoja sifa tulishatoa huko nyuma. Kwa hao wachezaji watatu tutakuwa na uhakika wa kubaki top 4 na sio kuondoa gap na city au liverpool

Tukiweza kusajili zaidi ya hapo hadi watano zaidi kwa maana ya kuimarisha RB, Striker tutaweza kupunguza gap sana au ahta kuondoa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom