Acha masiala kwenye vitu seriousFor the first time shabiki la cheltako linamake sense.[emoji3]
Acha masiala kwenye vitu seriousFor the first time shabiki la cheltako linamake sense.[emoji3]
Kwenye hiyo list yako sijaona team yoyote kubwa iliosajili wachezaji 8 so unakuja kwenye point yanguUkibisha basi uwe na kumbukumbu ndugu
Msimu wa 2017 timu hizi zilisajili kama ifuatavyo
- Everton walisajili wachezaji 15
- Brighton and Hove Albion walisajili wachezaji 13
- Huddersfield Town walisajili wachezaji 12
- Watford walisajili wachezaji 11
- Swansea City walisajili wachezaji 11
- Leicester City walisajili wachezaji 8
- West Bromwich Albion walisajili wachezaji 8
- Stoke City walisajili wachezaji 8
- Newcastle United walisajili wachezaji 8
- Chelsea walisajili wachezaji 7
So sasa wewe ulikuwa unamaanisha big team au lengo lako ni ku avoid reality. Kwa historia ya any rebuild, usajili unafanyika mkubwaKwenye hiyo list yako sijaona team yoyote kubwa iliosajili wachezaji 8 so unakuja kwenye point yangu
Mwamba huyu apaTodd Boehly Consortium wanamaanisha kazi kweli kweli Chelsea na sasa kateuliwa mtaalamu wa uongozi na Bisahara kusimamia kuwa Chelsea inafanikiwa kibiashara kwa kuwahusisha mashabiki
Chelsea FC appoints President of Business
Chelsea Football Club has today appointed Tom Glick, a 30-year sports marketing and operations executive, as the Club’s new President of Business.
Glick will assume responsibility for day-to-day operations at Chelsea FC, including managing its global commercial strategy, driving revenue growth, enhancing fan engagement, and creating exceptional experiences for the Club’s fans.
Glick commented: ‘Chelsea FC is an iconic sports institution, known and admired all over the world. I have been very impressed with the vision and mission of Todd Boehly and Clearlake. They have the Chelsea community at the heart of everything they do. We have a huge opportunity here to enhance performance across the board, on behalf of everyone we serve.’
Todd Boehly, chairman and co-controlling owner, said: ‘Tom’s successful track record as a leader and innovator at several respected and winning sport organisations made him the obvious choice for this position. His skills and experience will be vital as we improve Chelsea FC’s key infrastructure, expand the Club’s products and reputation, and find exciting new ways for our loyal supporters to engage with their favourite players.’
Behdad Eghbali and José E. Feliciano, co-controlling owners, said: ‘Tom is a terrific addition to Chelsea FC and will advance our long-term plans for the Club. He has the experience and credentials to elevate our significant global standing and help lead our commitment to strengthen the Club through investments in squad additions, infrastructure, technology, the youth academy, and the Women’s Team.’
Glick, most recently, was President of the NFL’s Carolina Panthers franchise, where he managed extensive improvements to Bank of America Stadium. He also oversaw the creation of Major League Soccer’s Charlotte Football Club, which Chelsea FC will face on 21 July as part of the Club’s US tour of friendly fixtures.
Glick has also held positions as Chief Commercial Officer of City Football Group, where he was responsible for global business operations across the world, CEO of Derby County, and senior marketing positions with the New Jersey Nets and the NBA. In English football, he served on the Football League Board, the FA Council, and the Professional Game Board.
Sokoni sasa hivi utampata striker gani mkali? Si bora umchukue huyu huyu ambaye atleat anaonyesha uhaiHakuna kochq wa chelsea anayeweza promote 4-5 player kutoka academy
Halaf utake kushindana na city/liverpool
Makocha wako kwa ajili ya kushinda, matokeo yakiwa mabaya wanalaumiwa wao na si wachezaji
Ndio maana nasema kwa uhaba huo huyu dogo apewe hiyo nafasi anao uwezo kama ataaminiwaSoka limebadilika sana, nowdays wachezaji hatma zao zipo mikononi mwao + mawakala sio kwa club tena.
Pia soko la wachezaji limepanuka sana na wachezaji wazuri wamehadimika pia.
Kule Southampton aliandamwa na majeraha ndio maana hakua anapata muda mwingi wa kuchezaHuyo dogo bado sana kupewa nafasi 1st team, asepe tu. Kule southampton alikua anaruka ruka tu bado sana kupewa anachokitaka.
No. 9 anapewa Kai. Lakini sioni kama Kai kwenye hiyo nafasi ni bora zaidi ya Broja. Lakini pia hao madogo kimuhemuhe kimewajaa sana. Kwanini watake kuondoka badala ya kukaa kupigania nafasi zao kwa huu msimu ambao substitution 5 zinaruhusiwa? Watulie hata kama watacheza kama subs, waoneshe kuwa wanastahili kuanza.Ndio maana nasema kwa uhaba huo huyu dogo apewe hiyo nafasi anao uwezo kama ataaminiwa
Wanaomponda Jorginho me huwa siwaelewWatu wanaojua mpira wanafahamu ubora wa jorginho na nini ana offer kwenye team hiv umeona alivyoingia jorginho jana kipindi Cha pili nini kilitokea tofauti ukicompare na kipindi Cha kwanza ambapo alikuwa hayupo uwe unaangalia mpira general sio unajikita kwenye magoal na assist
Kwani wewe hicho kukosi cha Chelsea unakichukuliaje[emoji117] Mnafanya masihara kubeba ubingwa wa EPL mbele ya CITY na Liver.
[emoji117] Bado hatuna kikosi hicho cha ubora wa kutopoteza mechi chini ya 3 kwa msimu, hatuna kikosi cha kushinda mechi nyingi mfululizo EPL.
[emoji117] Pamoja na sajili tulizofanya za Sterling + Koulibaly + labda kimpembe
Bado:-
1. Tunahitaji kusajili kiungo mshambuliaji fundi haswa
2. Kiungo mkabaji kusaidiana na Kante
3. Beki wa kulia kusaidiana na James
4. Winga ya kulia wenye uwezo wa kufunga goal 10+ na Assist 10+ kwa msimu
5. Tunahitaji striker wa kufunga goal 15+ kwa msimu.
[emoji117] Kikosi tulichonacho kwa sasa hakina uwezo wa kubeba point 100 EPL, ukweli usemwe.
Na mnafagilia Jorgninho huwa siwaelewi kabisa kwa sababu benchmark mnafanyia Jo ni hapa hapa Chelsea pamoja na midtable teamsWanaomponda Jorginho me huwa siwaelew
Chelsea timu ya kipumbavu na Huu utamaduni WA kutozipa nafasi upcoming talents unaicost hii timu na itaendelea kuicost yaleyale ya kuuza talents kama KDB,Salah NK ni ujinga huuRafael Leao ni kama broja kwa ufungaji
AC Milan wanamuuza Euro mil 100
Kama tulivyomtoa Declan Rice sasa tunauziwa Mil 150 after 3 years tutamtaka Broja kwa mil 150
Sisi Broja wetu anauzwa Mil 30, hii ni laana au na Ulaya kuna mambumbumbuuu na mazukukukuuu
Wewe umjui jorginho vizuri ebu kaangalia stats zake vizuri hiv unajua key pass vizuri jamaa anazipiga Sana nitajie kiungo gani wa Liverpool au Man city ambaye amemzidi jorginho?Na mnafagilia Jorgninho huwa siwaelewi kabisa kwa sababu benchmark mnafanyia Jo ni hapa hapa Chelsea pamoja na midtable teams
Ukienda taratibu ukamchukua Jo kwa nafasi yake ukamlinganisha na viungo wenzake kwa most stats pamoja na general impact kwenye timu utakuta Jo ni just an average player
Nafikiri benchmark tunayomwekea jo ni kama kaingia timu ikatulia, that means tulikuwa na the worst CM uwanjani na sio kwamba jo ni mzuri.
shot passes za haraka haraka ndio positive aspect tu ya Jo, the other important aspects yuko chini ya wengine
Aspects kama
hizo aspects hawezi kuwakuata viungo wenzake wa city, liver, westham etc
- blocking
- interceptions
- recovery
- Tackling
- Aerial duels
- Chances creation
- Assists
- etc
Hapo ndo umemaliza kwenye key pass?Wewe umjui jorginho vizuri ebu kaangalia stats zake vizuri hiv unajua key pass vizuri jamaa anazipiga Sana nitajie kiungo gani wa Liverpool au Man city ambaye amemzidi jorginho?
Jorginho ni deep playmaker ungeweka kwa wale viungo wa chini ningekuelewaHapo ndo umemaliza kwenye key pass?
Hizo hapo takwimu za key passes za viungo msimu uliopita, where is Jo
Kwa viungo tu Jo ni wa 92 kati ya 124 wa EPL mwaka jana kwa kutoa Key passes
View attachment 2296222
View attachment 2296225
Ukiendelea kumtetea sana jo utapotea, hana takwimu za kumlinda huyo, mara key passes mara deep player maker, imeisaidia nini timu kushinda mechi na kubeba makombe, mechi nyingi kuanzia Lampard disaster inatupata because of Jo kuliko viungo wengine. wote wanafanya makosa ila jo hawezi kudefend hawezi kutengeneza nafasi. Only back and sidewqays passes ambazo ninyi ndo mnaita deep player maker, those are just branding tags ambazo hazina faida kwenye timu. Fab anakumbukwa kwa sababu alifanya timu ikawa inashindaJorginho ni deep playmaker ungeweka kwa wale viungo wa chini ningekuelewa