Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Banitez adai Koulibaly ana tatizo la kukosa concetration na pia mzito kwenye kuruka

Koulibaly concerns raised​

Former Chelsea boss Rafael Benitez has raised concerns about new Blues defender Kalidou Koulibaly's chances of succeeding in the Premier League. Benitez, who managed Koulibaly at Napoli says Koulibaly will have to improve his concentration while hinting he may be "a little bit too nice" and that he also needs to improve his heading ability.
 
Huyu Mshabiki wa AC Milan aliyechora Tatuu ya Leao kwenye mguu wake kaandika Leao asiposaini mktaba ataukata mguu wake. Chelsea na Man city wanaifukuzia saini ya huyo forward aliyeiwezehsa AC Milan kubeba ubingwa wa Italy msimu uliopita baada ya kusubiri kwa miaka 11. Leao bado anamkataba hadi 2024 na kwa sasa ana miaka 23 tu. Amefunga magoli 11 na asists 8 kwenye mashindano ya ligi

If he doesn't renew Leão I cut my leg

Hakuna ubishi hapo, UEFA mwaka juzi tuliupata kwa hisani ya ulinzi imara
Ila kwa timu kubwa kama Chelsea tuimarishe kote kote, uwezo tunao, sababu tunayo na nia tunayo
Nyuma tukipata CB wawili au watatu wanatosha, kiungo wawili wanatosha, mbele striker mmoja na winga mmoja wanatosha

CBs
  1. Koulibaly - - Mpya (atahitaji rotation ili kupumzishwa)
  2. Silva - atahitaji rotation ili kupumzishwa
  3. Kimpembe - Mpya au Jules Kound - Mpya
  4. Chalobah - Backup
  5. Levi Colwill - Backup
RB/LB
  1. James
  2. Chilwell
  3. LB Mpya - Backup
  4. RB Mpya - Backup
DMs
  1. Kante - atahitaji rotation ili kupumzishwa
  2. DM Mpya - Backups
CMs
  1. Kovacic
  2. Jorginho
  3. Reuben Lostas Cheek
AMs
  1. Mason Mount
  2. Mpya - Kiungo mbunifu na mfungaji kama Mount au zaidi yake
Wingers
  1. Sterling - Mpya
  2. Werner
  3. Ziyech
  4. Havertz
  5. Mpya - Mfungaji
Striker
  1. Mpya - mfungaji wa 20+ goals
  2. Armando Broja - backup
Hayo mapendekezo imelenga 433 na itahitaji kusajili wapya 9 kama CB ni wawili au 10 kama CB watasajiliwa 3

Kwa 343 haitaji wingers only kuboresha viungo washambuliaji, so watakaoongezeka wanaweza wakawa CB 3, Wing-backs 2, DM 1 na Attacking Midfielder 1 na Striker mmoja jumla 8
Ni ngumu hao uliowapendekeza wakasajiliwa kwa dirisha Moja for me naona upande wa Benchilwell wasisajili tuna Alonso na Emerson eneo muhimu kusajili ni la James kwasababu huko hatuna mtu wakueleweka alzipilicueta umri umeenda, tuna hitaji two central backs wakusaidiana na Thia silva na Koulibaly nafasi Moja inayobaki waangalie Kati ya striker au winger kwa ujumla signing ni 4 ukijumlisha na Koulibaly na sterling zinakuwa 6.Mzee kwa muda uliobaki ni ngumu na haitawezekana kufanya signing 8
 
Hakuna ubishi hapo, UEFA mwaka juzi tuliupata kwa hisani ya ulinzi imara
Ila kwa timu kubwa kama Chelsea tuimarishe kote kote, uwezo tunao, sababu tunayo na nia tunayo
Nyuma tukipata CB wawili au watatu wanatosha, kiungo wawili wanatosha, mbele striker mmoja na winga mmoja wanatosha

CBs
  1. Koulibaly - - Mpya (atahitaji rotation ili kupumzishwa)
  2. Silva - atahitaji rotation ili kupumzishwa
  3. Kimpembe - Mpya au Jules Kound - Mpya
  4. Chalobah - Backup
  5. Levi Colwill - Backup
RB/LB
  1. James
  2. Chilwell
  3. LB Mpya - Backup
  4. RB Mpya - Backup
DMs
  1. Kante - atahitaji rotation ili kupumzishwa
  2. DM Mpya - Backups
CMs
  1. Kovacic
  2. Jorginho
  3. Reuben Lostas Cheek
AMs
  1. Mason Mount
  2. Mpya - Kiungo mbunifu na mfungaji kama Mount au zaidi yake
Wingers
  1. Sterling - Mpya
  2. Werner
  3. Ziyech
  4. Havertz
  5. Mpya - Mfungaji
Striker
  1. Mpya - mfungaji wa 20+ goals
  2. Armando Broja - backup
Hayo mapendekezo imelenga 433 na itahitaji kusajili wapya 9 kama CB ni wawili au 10 kama CB watasajiliwa 3

Kwa 343 haitaji wingers only kuboresha viungo washambuliaji, so watakaoongezeka wanaweza wakawa CB 3, Wing-backs 2, DM 1 na Attacking Midfielder 1 na Striker mmoja jumla 8
Ni ngumu hao uliowapendekeza wakasajiliwa kwa dirisha Moja for me naona upande wa Benchilwell wasisajili tuna Alonso na Emerson eneo muhimu kusajili ni la James kwasababu huko hatuna mtu wakueleweka alzipilicueta umri umeenda, tuna hitaji two central backs wakusaidiana na Thia silva na Koulibaly nafasi Moja inayobaki waangalie Kati ya striker au winger kwa ujumla signing ni 4 ukijumlisha na Koulibaly na sterling zinakuwa 6.Mzee kwa muda uliobaki ni ngumu na haitawe kufanya signing 8
 
Lazima tu offload kwanza baadhi ya wachezaji huku yukitafuta back up na budget ihio inaweza chukua madirsha mawilli mpk matatu kurefresh kikosi
 
Fahamu Billy Gilmour na Harvey Vale wameondoka kwenye Chelsea First team Squad na kuna uwezekano wa kujiunga na Dev Squad timu ya vijana chini ya miaka iliyopo huko Marekani kwa ajili ya pre season na Armando Broja ambaye aliumia nzoezini anatarajiwa kuondoka (kwa medical assesment na recover) wakati huohuo, yuko njiani kurejea Uingereza usiku wa leo kwa nyakati za U.S Klabu bado zinaendelea kushinikiza kumsajili.
Tino Anjorin naye akikamilisha uhamisho wa mkopo kutoka Chelsea. Coventry, Huddersfield, Norwich na QPR, wanavutiwa naye na vilabu kadhaa vya Ulaya.
 
Huyu Mshabiki wa AC Milan aliyechora Tatuu ya Leao kwenye mguu wake kaandika Leao asiposaini mktaba ataukata mguu wake. Chelsea na Man city wanaifukuzia saini ya huyo forward aliyeiwezehsa AC Milan kubeba ubingwa wa Italy msimu uliopita baada ya
Hana akili timamu huyu!
Ana mapepo, asaidiwe!
 
Wasipocheza katika vikombe vidogo vijana wa Academy, wanasema watapata dakika mwisho wa msimu. Hilo lisipofanyika, wanasema watapata fursa za maandalizi ya msimu mpya. Hilo lisipofanyika, hawako tayari au hakuna nafasi. Still Sad for Academy
 
Hebu fikiria kuwauza Zouma na Broja kwa €30m kila mmoja kisha tunapomtaka mmoja wa wachezaji wao wanaongeza bei yao mara tatu .. Chelsea - "Tunataka Rice" West Ham - " pay 150m" West Ham - "Tunataka Broja" Chelsea - " pay chochote unachotaka" Ffs
 
West Ham are now close to signing Armando Broja. Talks progressing with Chelsea, West Ham insist for permanent deal after official offer submitted but it’s up to Chelsea #WHUFC

Broja has agreed personal terms with West Ham - all parties are getting closer.

[Fabrizio Romano]
 
Huyu Broja anapaswa kubaki msimu huu lasivyo tutakuja kulia baadae
 
Huyu Broja anapaswa kubaki msimu huu lasivyo tutakuja kulia baadae
Dogo anataka kuondoka mwenyewe haoni nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza anataka apate nafasi ndio maana kaaamua kuondoka na dili linakamilika soon
 
Hawa madogo wanahisi watapata nafasi kiurahis never, u have to earn it,

Napenda jins Ampadu n Galagher wanavyojituma na hata kwenye interview zao ukiwaskia utakuta wanapigania nafasi zao

Ila Broja n Colwil kutaka gurantee ya regular 1st team start hicho kitu huwez kipata kwa top club,
Lazima upiganie nafasi yako, haijalishi kwenye loan ulifanyaje, stay n prov kama unastahil kuanza or kupata hizo dakika

Chalobah alibaki na kila nafas aliyokuwa akipata alikuwa anaonesha kama anataka nafasi,
Ila colwil n broja hata mechi 1 hawajacheza kwenye pre season hii tayari vichwa vishawajaa
 
Wewe chezaji mmepata hapa
1658139018710.jpg
 
Allegiant StadiumAttendance: Attendance47,223.

524.png
Chelsea2​

  • T Werner (55'55th minute)
  • M Mount (83'83rd minute)

2718.png
Club America1​

  • R James (60'60th minute ogown goal)

How Chelsea lined up:​

  • First Half: Arrizabalaga; Chalobah, Thiago Silva, Sarr; Kenedy, Barkley, Gallagher, Chilwell; Ziyech, Havertz, Hudson-Odoi
  • Second Half: Bettinelli; Azpilicueta, Ampadu, Emerson; James, Mount, Jorginho, Alonso; Pulisic, Batshuayi, Werner
 
Hawa madogo wanahisi watapata nafasi kiurahis never, u have to earn it,

Napenda jins Ampadu n Galagher wanavyojituma na hata kwenye interview zao ukiwaskia utakuta wanapigania nafasi zao

Ila Broja n Colwil kutaka gurantee ya regular 1st team start hicho kitu huwez kipata kwa top club,
Lazima upiganie nafasi yako, haijalishi kwenye loan ulifanyaje, stay n prov kama unastahil kuanza or kupata hizo dakika

Chalobah alibaki na kila nafas aliyokuwa akipata alikuwa anaonesha kama anataka nafasi,
Ila colwil n broja hata mechi 1 hawajacheza kwenye pre season hii tayari vichwa vishawajaa
Shida iliyokuwepo hatuna natural striker kule mbele ukitoa werner na sioni plan ya kusajiri namba 9 ni bora Broja abaki akipishana na werner

Ligi ni mbio ndefu kuna mechi zitahitaji uwe na namba 9 ili uweze kumaliza mechi huyu Kai ambaye anacheza force 9 kuna baadhi ya mechi zinamkataa
 
Na broja ndio hataki kubaki, bila kuhakikishiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom