Mzee baba nimeingia mtandaoni saa 5 Asubuhi break ya kwanza Jf Mara nakutana na comment ya OllaChuga OcChief mko dunia gani. Mbona Koulibaly ametangazwa masaa 3 yaliyopita. View attachment 2292677
Mzee baba nimeingia mtandaoni saa 5 Asubuhi break ya kwanza Jf Mara nakutana na comment ya OllaChuga OcChief mko dunia gani. Mbona Koulibaly ametangazwa masaa 3 yaliyopita. View attachment 2292677
Hahaa.. huyu mwamba nilimjulia kwenye the king of the kickboxers asee jamaa wanatembeza mkono kama hawakuwa binadamu. Daah mwamba unanikumbusha mbali sana.Hahaha kabisa chief halafu kuna lile dude la bil blacks la kuruka mateke mawili.

Hela unatoa wewe?Kimpembe kwa 50? Siku hiz upigaji imekuwa fasion
Broja hawezi kuuzwa huyu ni Lewandowski ajaye. Very soonChelsea manager rules out Nottingham Forest Armando Broja transfer after £30m West Ham bid
Nottingham Forest were not alone in their interest with Premier League rivals Everton, Newcastle United, Southampton and West Ham United all also interested in the Chelsea striker
Chelsea manager Thomas Tuchel has admitted that they have "no interest in selling" striker Armando Broja amid interest from Nottingham Forest.
View attachment 2292717
Natamani hata dogo beki 5 Colwill wasimuuze maana msimu ujao substitutions tano zitaruhusiwa, na dogo naona kama atapata nafasi ya kutengeneza nafasi ya kuwa starterBroja hawezi kuuzwa huyu ni Lewandowski ajaye. Very soon
Imekuingia hiyo. Haya nenda jikoni kwa kina mama toka kwenye kikome cha wanaume!Kila siku CL ,CL ifike hatua mjue CL ni kombe la kawaida na haliwezi kudetermine ubora wa mchezaji ....wachezaji kibao tu wamefanya makubwa wamestafu na Dunia inawaheshimu na hawana hio CL![]()
Yule mgonjwa akija kuanguka uwanjani Ni hasara zaidiEriksen alitaka timu kama Chelsea on free, wakapuuza hadi manure wakamchukua, so sad
Colwill amepata playing time ya kutosha Hudders anaweza kupata muda wa kucheza darajani na ukizingatia Silva kwa umri wake anytime anapata majeraha so hawa madogo lazima wawepo tu.Natamani hata dogo beki 5 Colwill wasimuuze maana msimu ujao substitutions tano zitaruhusiwa, na dogo naona kama atapata nafasi ya kutengeneza nafasi ya kuwa starter
Unajua si kila mchezaji aje Chelsea na anakuja kma anamipango na mwal kam hana ndio maana TT wala hajataka kuangaika na Erikisen elewa hiyoEriksen alitaka timu kama Chelsea on free, wakapuuza hadi manure wakamchukua, so sad
Amesajiliwa Manure, tumsubiri aangukeYule mgonjwa akija kuanguka uwanjani Ni hasara zaidi
Tangu enzi za Marina na sasa makosa bado kuoverlook mambo kisa kocha hana mpango naye ila akina Ake anampango naye. Makocha pia ni binadamu saa nyingine wanaona kengezaUnajua si kila mchezaji aje Chelsea na anakuja kma anamipango na mwal kam hana ndio maana TT wala hajataka kuangaika na Erikisen elewa hiyo
2022/23 nauona utakua msimu mzuri sana kwa Mason Mount zaidi ya msimu wa 21/22. 15+ goals maybe 15+ assistsFt,Chel 2-1 Club American
Goals
Werner
Mount
Reece James (O.g)
Yule Malang akija kutulia itakuja kukataa maneno yako chief ..yule apate uzoefu kwanza kwa Matumizi ya baadayeHasara gani mchezaji alikuwa bure sokoni. Bora bure ya Eriksen kuliko bure ya Malang Sarr (Afya tele lakini uwanjani anaruka ruka kwenye miti)