Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nioneshe CL japo moja ya city nikupe kiwanja Roliondo
Kila siku CL ,CL ifike hatua mjue CL ni kombe la kawaida na haliwezi kudetermine ubora wa mchezaji ....wachezaji kibao tu wamefanya makubwa wamestafu na Dunia inawaheshimu na hawana hio CL [emoji23]
 
Kila siku CL ,CL ifike hatua mjue CL ni kombe la kawaida na haliwezi kudetermine ubora wa mchezaji ....wachezaji kibao tu wamefanya makubwa wamestafu na Dunia inawaheshimu na hawana hio CL [emoji23]
N la kawaida sana kiasi kwamba manshit hawezi afford
 
Raphina alikuwa hasikiliz mtu🤣🤣


IMG_20220716_100007.jpg
 
TT kumbe hana mpango wa kusajili kiungo yeyote msimu huu
Kama ni hivyo maana yake niniu?

RLC, Mount, Conor, Barkley, watabadilishana kwenye attack
Bill Bilmour , Kovacic, Kante, Jorgninho watabadilishana kwente CM
 
Chelsea manager rules out Nottingham Forest Armando Broja transfer after £30m West Ham bid

Nottingham Forest were not alone in their interest with Premier League rivals Everton, Newcastle United, Southampton and West Ham United all also interested in the Chelsea striker

Chelsea manager Thomas Tuchel has admitted that they have "no interest in selling" striker Armando Broja amid interest from Nottingham Forest.
1657963133066.png
 
RLC, Mount, Conor, Barkley,

[emoji117] Wote hawa sio viungo wabunifu kama caliber ya Fabrigas, Eriksen, Bruno, KDB

[emoji117] Tangu Fabrigas aondoke THE BLUES mpaka sasa bado hatujapata kiungo mbunifu.
Eriksen alitaka timu kama Chelsea on free, wakapuuza hadi manure wakamchukua, so sad
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom