Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Watu wanasahau Koulibaly ni short term plan sajili kamili ya beki inafanyika wakati ambao ligi zimeanza. Sasa hivi unaweza pigwa na kitu kizito

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana Chelsea wameachana na usajili wa Kounde na Matthijs De Light, too much price tag, akija unampa mkataba wa miaka mitano, akiflop imekula kwako

Koulibaly tayari ameonyesha consistency ya muda mrefu, hauzwi ghali, mkataba mfupi
Hadi miaka miwili au mitatu ifike, kama Colwill, Chalobah hawajauzwa tayari watakuwa wamekomaa na kujifunza kutoka kwa Silva na Koulibaly
 
Dili la Kou linaweza malizwa leo, hakuna ushindani, kwa hiyo Napoli hawana ujanja
 
Nasikia Chelsea wakimalizana na Ake na Koulibaly bado watamtaka mwingine wa tatu na nafikiri atakuwa Kimpembe (euro mil 50)
 
Chelsea watamlipa Koulibaly Euro 190,000/wiki au Paundi 160,000/wiki
Tayari Koulibally kakubali posa hiyo
 
TT ameshaonyesha dalili za mwanzo kwamba asingependa kufanya kazi na CR7
Tatizo la Ronaldo yuko overbranded
  1. Akija Chelsea atabehave kama mwalimu kuliko mchezaji
  2. Atahitaji namba yake na hivyo kuleta manung'uniko dressing room
  3. Atahitaji kuwa focal person dressing room na uwanjani, mipira yote ipelekwe kwake- hii itaondoa morale ya wachezaji wengine wa kule mbele
  4. Asipokuwa na hekima na leadership anaweza igawa dressing room
  5. Atakuja akilipwa mshahara mkubwa hata akishusha haiotakuwa chini ya Euro mil 500,000
  6. Atafunga magoli sawa ila kazi yake (workrate haitatofautiana sana na wengine kama akina Mount, nk kwa sababu hiyo anaweza akatengwa na wenzake kuanzia dressing room hadi uwanjani
  7. Yote hizi inaweza ifanye timu icollapse na kujiendee kihivyo hivyo to alimradi kama Manure ilivyokuwa tangu ujio wa Sanchez mshahara mkubwa huku workrate yake ikiwa sawa na wale wanaolipwa 100,000/wiki
Hii yote ndio inayomfanya TT amuogope na TT inavyoelekea hamtaki kabisa, kwa sababu kuna swali moja aliulizwa na mapaparazi kuhusu ujio wa Ronaldo aliwaangalia kama kapigwa shoti ya umeme kabla hajajibu

NB: Naona PSG nao wamekataa kumsajili Ronaldo baada ya kukutana na Jorge Mendes

Abaki tu Manure kwa sababu kama ni kuomba kazi Ronaldo yuko over qualified for any job vacancy
Kama ni elimu amefikia level ya Seniour Profesor
 
Angepewa offer ya miaka mi4 na offer ya kuextend mwaka mmoja
Mkataba wake ni miaka mitano
Screenshot_20220713-121230_Twitter.jpg
 
Huu usajili wa Kalidou Koulibaly ni kama utakamilika muda si mrefu na bila shaka atakuwa mchezaji wa Chelsea kuanzia msimu huu. Binafsi sikuwahi kumfuatulia ki undani zaidi ili kujua ubora wake, nimekuwa nikisia tu kwa watu kuwa ni beki mzuri.

Kama ningekuwa kwenye jopo la usajili basi ningefanya juu chini tukamsajili Lisandro Martinez badala ya Koulibaly. Lisandro anacheza katika klabu ya Ajax ni bonge la beki na anacheza zaidi ya nafasi 3 uwanjani. Nimesikia pia huyu beki tunamtaka, nitafarijika sana endapo tukimpata. Klabu ya NYUMBU na AseNANE nao pia wanamtaka.
 
TT ni kocha mzuri ila linapokuja suala la kuchagua wachezaji naona anapwaya sana na pengo la DOF linaonekana katika dirisha hili la usajili ni kama hatukujiandaa kusajili.pili scouts kama vile ipo usingizini tuna muda mrefu bila kuleta wachezaji wasioibwa sana ila wanapotential ya kuwa wachezaji wazuri. Anatakiwa apatikane DOF wenye ushawishi na vision kubwa otherwise tutajikuta kwenye situation kama ya Barcelona financially
 
Unapotaja top 3 best defenders duniani kwa sasa hiv jina la koulibaly haliwezi kukosekana Huyu jamaa amekuwa na consistency performance na uzoefu mkubwa Sana, pia kumbuka ni leadership material ni captain wa Napoli, ana tumia miguu yote, ana matumizi ya akili na nguvu ni beki kisiki kweli kweli ebu tutajie sifa za huyo beki wako kulinganisha na koulibaly
 
TT ni kocha mzuri ila linapokuja suala la kuchagua wachezaji naona anapwaya sana na pengo la DOF linaonekana katika dirisha hili la usajili ni kama hatukujiandaa kusajili.pili scouts kama vile ipo usingizini tuna muda mrefu bila kuleta wachezaji wasioibwa sana ila wanapotential ya kuwa wachezaji wazuri. Anatakiwa apatikane DOF wenye ushawishi na vision kubwa otherwise tutajikuta kwenye situation kama ya Barcelona financially
Michael Edwards ndie anafaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom