lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Siungi mkono Ake kuja lakini kila kocha ana vitu anaangalia kwa mchezaji kulingana na mfumno na style yake ya uchezaji. Ake anaweza kuwa 4th choice kwa PEP na akaja Chelsea akafanya vizuri kuliko madifenders wote wa Man cityHiv kweli tuchel kakosa mabeki mpaka ampambanie yule Ake, beki ambae ni choice namba 4 man city. Msimu ujao kuna dalili tutapata taabu sana
Kumbuka Rudiger alikuwa ni flop kwa Lampard lakini kwa Tuchel akawa the best defender
Serge Gnabry would not even consider a move to Chelsea due to his time at Arsenal. [@Plettigoal] #afc