Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea are in direct contact with Kalidou Koulibaly's agent.

- @FabrizioRomano
Na tunalipa ada yote inayotakiwa ya £34m
Na taarifa zinasema Koulibaly hayuko tayari kuwa betray mashabiki wa Napoli kwa kujiunga na Juve ambao ni rival wao
Tushindwe wenyewe

Namba moja Mendy, Na. 2 Koilibaly, chemistry imekubali hata kabla ya kucheza
 
Uko sawa kwa Serge bado tuko kwenye stage ia "INTERESTED" hadi tufike kwenye bid submited, bid rejected na medical inaweza chukua siku sio chini ya 30. Chelsea ya mwaka huu iko very slow. Sijui hao wachezaji sita tutawasajili madirisha m,awili?
🚨 Serge Gnabry would not even consider a move to Chelsea due to his time at Arsenal. [@Plettigoal] #afc
 
Attachments

  • IMG_20220712_110352.jpg
    IMG_20220712_110352.jpg
    96.7 KB · Views: 12
🚨 Serge Gnabry would not even consider a move to Chelsea due to his time at Arsenal. [@Plettigoal] #afc
Na wewe unayaamini hayo mawazo ya huyo mwandishi. Yeye Serge anataka kuja Chelsea. Hapo vipi
 
Bayern Munic yaongeza dau la Lewandowski kutoka Euro mil 50 kwenda mil 70
Lembu upo nyuma ya wakati , Lewandowisk wiki ijayo atakuwa mchezaji wa Barca pamoja na Raphina

Barca ameshaandaa proposal mbili kwa lewa na Raphina na zote zitakubaliwa
Anachosubiria Barca Ni second lever iwe activated wiki hii apate €200m ambayo wamesema wanapeleka yote kwenye usajiri wa Lewa, Raphina, na Kounde,plus Cesar na Alonso.

Kwa lewa €50m+ add ons kwa Raphina €72-75m

Refference

🚨🎖️| Barça believe that Bayern Munich will ACCEPT their new offer for Lewandowski and the player will be able to join the club later this week. [@SkySportDE] #fcblive

🚨🚨🎖| Barcelona are expected to make their FINAL offer of €50M + bonuses to Bayern for Lewandowski in the next few hours. Bayern is willing to sell him for €50-55M. Lewandowski's transfer to Barça is looking more and more LIKELY this week. [@Plettigoal] #fcblive

🚨🚨✅| Raphinha to FC Barcelona is imminent & only one man is to thank for that: Deco, he single-handedly stopped everything with Chelsea to fulfill the player's dream.
@joaquimpiera [🎖️]

🚨🚨✅| FC Barcelona believe that Bayern Munich will ACCEPT their next offer & Robert Lewandowski will join later this week.
@SkySportDE [🎖️]

🚨| FC Barcelona will spend €200M on signings this summer. sport
 
Mimi sijasema hachukuliwi, nimesema dau la Lewa limepanda tena
 
Na wewe unayaamini hayo mawazo ya huyo mwandishi. Yeye Serge anataka kuja Chelsea. Hapo vipi
Huyo MWANDISHI Ni wa ujeruman Sky sport na plettgol Ni wa uhakika kwa habari za Baryen ,

Labda niletee chanzo Cha kuaminika Gnabry anaitaka Chelsea ,

Kama hujui Gnabry mara nyingi alishasema anataman kurudi Tena Arsenal, na amekuwajapo hajifichi amekuwa anavaa jez za arsenal ingawa Ni mchezaji wa Bayern . Arsenal wamekanusha kupitia Fabrizio kuwa hayupo kwenye Target zao,

Florian Ni muandishi wa kuamnika sawa na Christian Falk linapokuja swala la habari za bayern
 
Hata kama anaaminika, yale ni mawazo yake wala hakumuuliza Serge kwamba haji Chelsea kwa vile ni rival wa Arsenal???
 
Mimi sijasema hachukuliwi, nimesema dau la Lewa limepanda tena
Wala halijapanda ,vyanzo vya ujeruman vinasema Bayern watapokea €50-55m .

Hivo ofa ya Barca anayotarajia kuipeleka Ni €50+5 add ons

Ndio maana Barca wanaamini wiki ijayo atakuwa mchezaji wao
 
Hata kama anaaminika, yale ni mawazo yake wala hakumuuliza Serge kwamba haji Chelsea kwa vile ni rival wa Arsenal???
Mbona Tores aligoma kwenda man u akaenda Chelsea Sababu ya man u Ni rival wa Liverpool

Ngoja Tuone ila Gnabry Kuna asilimia kubwa akabaki Bayern au akaenda city , Sababu Kuondoka kwa Rahim ,Kuna tetes city atamfatilia Gnabry
 
Huyo MWANDISHI Ni wa ujeruman Sky sport na plettgol Ni wa uhakika kwa habari za Baryen ,

Labda niletee chanzo Cha kuaminika Gnabry anaitaka Chelsea ,

Kama hujui Gnabry mara nyingi alishasema anataman kurudi Tena Arsenal, na amekuwajapo hajifichi amekuwa anavaa jez za arsenal ingawa Ni mchezaji wa Bayern . Arsenal wamekanusha kupitia Fabrizio kuwa hayupo kwenye Target zao,

Florian Ni muandishi wa kuamnika sawa na Christian Falk linapokuja swala la habari za bayern
Kwani Serge ni legend wa Arsenal, who care akija Chelsea
Akina Ashley cole, Fabregas na wengineo walikuwa ni legend wa Arsenal lakini walikuja Chelsea na maisha yakaendelea
 
Tusilogwe tu tukawauza hawa academy
  1. Armando Broja
  2. Levi Colwill
  3. Harvey Vale
  4. Lewis Hall
 
Hiv kweli tuchel kakosa mabeki mpaka ampambanie yule Ake, beki ambae ni choice namba 4 man city. Msimu ujao kuna dalili tutapata taabu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom