juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Ukisoma taarifa ya Di Marzio anasema mchezaj anataka cheza Premier leagueKila negosiationn ikifika mbali mchezaji anatukataa, tumelaaniwa nini?
Ukisoma taarifa ya Di Marzio anasema mchezaj anataka cheza Premier leagueKila negosiationn ikifika mbali mchezaji anatukataa, tumelaaniwa nini?
Abramovic karmaKila negosiationn ikifika mbali mchezaji anatukataa, tumelaaniwa nini?
Ndio maana hiyo hali inanifanya nisiwe na imani na huyu TajiriKila negosiationn ikifika mbali mchezaji anatukataa, tumelaaniwa nini?
Kuna tetesi kuwa muda wowote Michael Edwards ataajiriwa kwa kazi hiyo. Mimi naona anachelewaTodd anahitaji akaoge maji ya chumvi tena Coco pale. Siku za nyuma nilisema kwa nini Cech, Marina na Buck wanaondoka kwa pamoja tena haraka nikasema hii sio ishara nzuri ni kheri wange extend hata miezi mitatu mpaka sita ili tupite salama hiki kipindi.
Kinachoendelea huyu jamaa hana mvuto sokoni hajui ni kwa namna gani atawashawishi wachezaji lakini kama hii kazi ingefanywa na Marina tungesha sign hata mchezaji mmoja mpaka sasa.
Club yake inazingua Sana ndio inayoringa sio mchezaji mwenyewe itafika kipindi vilabu vyote vinavyomtaka vitamsusia huyo mchezajiBarcelona hawamtaki tena Kounde!
Barcelona make drastic Jules Kounde transfer U-turn
Hii ndio dawa yao asusiwe hadi kiwango na thamani yake sokoni ishuke watamuuza kwa timu za ovyo ovyoClub yake unazingua Sana ndio inayoringa sio mchezaji mwenyewe itafika kipindi vilabu vyote vinavyomtaka vitamsusia huyo mchezaji
Na asajiliwe tu. Maana naona mapicha pichaKuna tetesi kuwa muda wowote Michael Edwards ataajiriwa kwa kazi hiyo. Mimi naona anachelewa
Wallpaper hii
Wallpaper wapi wewe.? Kipinsi ya covid ilikua hamna mashabiki umesahau na hatukuchezea bernebau kama unakumbukaWallpaper hii
Kwa Christians Ronaldo kuja Chelsea sio raisi kabisa Manchester haiwezi kukubali jambo kama hilo fitna yao kwa the blues ni kubwa, hapo ni kujifariji tuCristiano Ronaldo hasara yake kubwa Chelsea ni mzigo anaouchukua kwa wiki, ila value alizo nazo ni nyingi sana
Karibu CR7 Chelsea na sisi tuingie kwenye rekodi ya kuwa na GOAT wa karne hii
- Not injury prone
- Technically mzuri kwa magoli ya aina zote, guu la kushoto, kulia, kichwa nk
- A good leader and motivator kule dressing room
- Uzoefu wa kutosha kwa young growing talents
- Brand kubwa kwenye soko la fans, mauzo nk
Namaanisha hiyo picha inaweza kutumika kama wallpaperWallpaper wapi wewe.? Kipinsi ya covid ilikua hamna mashabiki umesahau na hatukuchezea bernebau kama unakumbuka