John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,040
Duh hv unawezaje kuua vipaji vya wachezaji w timu Yako Kwa kutokununua wachezaji wa viwango[emoji23]....acheni nadharia wazeeSio kwamba wachezaji hao hapendi Chelsea sababu nikwamba hamuamini mliki mpya anaweza akauua vipaji vyao kwa kutonunua wachezaji wa viwango wengine vyakwao vikafa bure, Chelsea ikawa average team kama Arsenal au Tottenham