Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Joan Laporta has said that Leeds United winger Raphinha wants to join Barcelona, not Mikel Arteta’s Arsenal or Thomas Tuchel’s Chelsea, as quoted by Fabrizio Romano.

The well-known and well-respected journalist has relayed quotes from Barcelona president Laporta that the winger, linked with Arsenal and Chelsea, wants to move to Camp Nou in the summer transfer window.

Laporta has added that there are other clubs who are interested in the Brazil international, and that is what making a deal for the winger – described as “incredible” by former Leeds player Stephen Warnock on the Football Show on Sky Sports in May 2022 -complicated.
 
Hat hivyo mimi nazungumzia wachezaji waliopo sasa hivi wewe unarudi nyuma. Tunaposema 20+ maana yake kuna na forwards kama 3 (wingers na CAM) wanatakiwa kufunga na kuassists double digits. City wamefanya hivyop kwenye rare case na wangeendelea hivi wangepigwa kumbo
Nilisema mm

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Ronaldo akitoka Manure atakwenda wapi?

Odd hizi hapa

  1. Bayern Munich – 4/1
  2. Real Madrid – 5/1
  3. Chelsea – 6/1
  4. AS Roma – 12/1
  5. Juventus – 12/1
  6. Paris Saint-Germain – 14/1
  7. Sporting Lisbon – 20/1
  8. Manchester City – 25/1
  9. Arsenal – 25/1
  10. Liverpool – 25/1
  11. Tottenham Hotspur – 25/1
 
Kw Aaron Hickey, Brentford tu wamewatoa kwenye reli, mmebaki kulalamika hahahaha
Akili huna.
Huna akili.
JamiiForums-185454953.jpg

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka hii kauli ya kutaka kutoka imekuja baada ya Ronaldo kufanya mkutano na Boehly
Pia kumbuka kwamba Boehly anataka kuutangazia ulimwengu wa football kuwa yeye ndie mmiliki mpya wa Chelsea kwa kufanya usajili wenye kupeleka sauti mbali. Mkutano wake na Ronaldo sio zaidi ya wiki haijaisha na Ronaldo anasema anataka kusepa sio coincidence na haijaja kwa bahati mbaya, it is planned. Hongera Todd Boehly
Naona hata salah kumbe ilikua yupo tayari kurudi chelsea. Ndio maana fabrizio alisema behind the scine chelsea wana mipango mingi ya usajili. Sema Liverpool naona wamemuongezea salah mkataba mnono
 
Ronaldo anafaa , 343 ina defenders 2 & attackers 3 in possession, real output inategemea zaidi attackers watatu na kucombine inakuwa vigumu (3 vs 5/6) so mfumo unahitaji individual quality upfront. Chelsea inahitaji wachezaji wenye uwezo binafs pale mbele kuexcel ( Salah/ Ronaldo/ Nunez)

Mtu kama Raphinha is a squad player, not top. He suits Barca's system than Chelsea's
 
Huyu Raphinha akienda Barcelona ataenda kuwa tu kama akina
  1. Luuk De jong,
  2. Merphis,
  3. Adama Traore,
  4. Countinho
  5. na Co
Kwa hiyo tuwaache tu waingie mkenge
Hahahaaa yamekuwa hayo Tena
Sizitaki mbizi hizi

Unaombea dua la kuku🤣🤣🤣
 
Barcelona wakimnunua Raphinha hawataweza tena kumsajili Dembele wala Lewandowski wala Kounde
Kazi inabaki kwa Boehly

Chelsea walikusudia kumsajili Raphinha ili dau lake liwe juu na ndio maana Chelsea walikubali haraka Paundi mil 60 ili Barca wakiingia waingie kikenge kenge na wakakubali. Hii ni soka na inachezwa kama karata. Unaweza kuwa na garasha na bado ukashinda inategemea utachezaje tu

Chelsea sasa Dembele ni wetu, tukiweza kumthibiti aache tamaa ya mshahara mkubwa na pia majeruhi yake yakadhibitiwa anaweza kusaidia mbele.

Najua pamoja na Barca kutoweza kumsajili Lewandowski, hatakubali kuja Darajani Labda tusubiri
Aliyekuroga hakika amekufa

Dembele anakaribia kubaki Barca na mshahara anapunguza

🚨🎖️| All parties are now optimistic of agreeing to renew Ousmane Dembele’s contract for two years until 2024. The talks are progressing but is not yet 100% agreed. [@FabrizioRomano] #fcblive

🎖| Barcelona want Dembele and Raphinha. [@JacobsBen] #fcblive

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Yeah, Barca si wanazidi kuuza haki zao za TV kwa miaka 25 nafikiri sasa imefika 50%
Ila bado wanamtaka Raphinha kwa installment
 
Hahahaaa yamekuwa hayo Tena
Sizitaki mbizi hizi

Unaombea dua la kuku🤣🤣🤣
Walianza Manure kwenye ununuzi holela wa wachezaji sasa Manure imejifia
Chelsea nao wakafuata, ila nafikiri ujio wa mmiliki mpya itatuokoa tusiwe kama Manure
Sasa Barcelona wamefuata nyayo za Manure kununua kiholela, ndicho nilichomaanisha, hakuna Chemistry yeyote ni ku hijack tu na kuwanunua hata kwa mkopo.
Weka hii kumbukumbu, watalia na hali yao itaendelea kuwa kama ya Manure, afadhali yao wako Laliga ligi ya mbuzi yenye timu mbili tu
 
Yeah, Barca si wanazidi kuuza haki zao za TV kwa miaka 25 nafikiri sasa imefika 50%
Ila bado wanamtaka Raphinha kwa installment
Dili Kama hizi mwisho huwa anashinda mchezaji, ndio maana raphina yupo tayari kubak Leeds had hapo Barca watakapotengemaa , na wiki ijayo Barca anauza Tena haki zake ili asajiri kina Alonso, Lewa, Kounde na Raphina

Hawa wachezaji hawagusiki na timu Nyingine akili zao zipo Barca

Ndio maana nawashangaa Chelsea mnavyokomaa na Raphina ,

Arsenal kashajitoa kimya kimya ,

Wachezaji wa hivi hata ukiwapata wanakufanya step stone tu.

Hata halland pale city Ni mpitaji TU ,2024 release clause yake Ni £150m , Madrid anakuja ku trigger , Wala Hana haraka
 
Chelsea wana kitu wanachofanya wewe hujui. Sijui kama ulisha hudhuria minada. Tunampump tu anunue akishachoka atakuwa amenunua koroma, wachezaji wengi bila plan ya kuwatumia. Manure walifanya hivyo tangu enzi za Alexi Sanchez sasa hivi wako wapi hao mbolea
 
Walianza Manure kwenye ununuzi holela wa wachezaji sasa Manure imejifia
Chelsea nao wakafuata, ila nafikiri ujio wa mmiliki mpya itatuokoa tusiwe kama Manure
Sasa Barcelona wamefuata nyayo za Manure kununua kiholela, ndicho nilichomaanisha, hakuna Chemistry yeyote ni ku hijack tu na kuwanunua hata kwa mkopo.
Weka hii kumbukumbu, watalia na hali yao itaendelea kuwa kama ya Manure, afadhali yao wako Laliga ligi ya mbuzi yenye timu mbili tu
Kwasasa Kama wanabadilika wafatilie , wanaenda kupata wachezaji loyal

Kina Alonso hao wote akili zao Barca.

Lewando hagusiki na timu Nyingine anasubiria Barca tu,

Man u akili imewakaa sawa kwasasa wanasajiri kwa maelekezo ya mwalimu

Changamoto ya Chelsea Kuondoka kwa Marina na Cech Ni pengo ,hawa wanajua vurugu za usajiri

Tajiri wenu ninachoona kwenye usajiri atapigwa Bei kubwa , Mimi siamin De ligt Ni wa £60m , kosa jingine mmeshindwa kumuamin Werner wakati sokon kwasasa hakuna ma CF,

Kuna kila dalili Chelsea ikaanza Ligi bila CF , na Kama CR7 akaenda nje ya epl ,man u pia wataingia epl bila CF ,

Swali Man u watakubali kumuuza CR7 Kwa mpinzan hapo epl ?
 
Chelsea wana kitu wanachofanya wewe hujui. Sijui kama ulisha hudhuria minada. Tunampump tu anunue akishachoka atakuwa amenunua koroma, wachezaji wengi bila plan ya kuwatumia. Manure walifanya hivyo tangu enzi za Alexi Sanchez sasa hivi wako wapi hao mbolea
Ngoja Tuone , ila huyu Tajiri wenu Kuna vitu ana lack kwenye usajiri, angemvuta hata Michael edward,

Angesajiri hata kwa recruitment , ona walichofanya PSG wamemleta Luis Campos na Kocha anayeendana idea wanasajiri kwa matakwa ya mwalimu , hawasajiri majina Tena ili mradi .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom