Kwasasa Kama wanabadilika wafatilie , wanaenda kupata wachezaji loyal
Kina Alonso hao wote akili zao Barca.
Lewando hagusiki na timu Nyingine anasubiria Barca tu,
Man u akili imewakaa sawa kwasasa wanasajiri kwa maelekezo ya mwalimu
Changamoto ya Chelsea Kuondoka kwa Marina na Cech Ni pengo ,hawa wanajua vurugu za usajiri
Tajiri wenu ninachoona kwenye usajiri atapigwa Bei kubwa , Mimi siamin De ligt Ni wa £60m , kosa jingine mmeshindwa kumuamin Werner wakati sokon kwasasa hakuna ma CF,
Kuna kila dalili Chelsea ikaanza Ligi bila CF , na Kama CR7 akaenda nje ya epl ,man u pia wataingia epl bila CF ,
Swali Man u watakubali kumuuza CR7 Kwa mpinzan hapo epl ?