Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukikurupuka utajikjta unanunua kwa bei kubwa mchezaj wa kawaida, hasa hasa mabeki

Tuwe ma subira dirisha linafungwa 1/9/2022, ligi inaanza mwez wa 8 tareh 5 hiv,
Bado tunamda wakusaji, na aamini mpk wiki ijayo inaisha hizi deal za De ligt,Sterling ,Ake zitakuwa zishakamalika ,
Kimpembe naye naona anatajwa sana
 
View attachment 2279237

There were several reports coming out of Spain on Friday night that suggested Barcelona had matched Chelsea's £60m fee and it was only a matter of time before the winger signed for the Spanish giants.

However, a new update from Ben Jacobs of CBS Sports suggests this is not the case and the Blues are very much still in the race. Tweeting on Saturday morning, Jacobs stated that Leeds have still not accepted any offer from Barca but advanced talks have continued.

The La Liga club want to pay any in instalment however, Leeds want a higher guaranteed fee because of this. Barca's offer is still currently below Chelsea's £60m fee.
N ripoti zinasema Kiufupi raphina amewaweka Barca as his first priority na kama wakishindwa kukamilisha usajili wake yupo tiyari kujiunga Chelsea....Ila Bora aende Tu huko Barca...sisi tunataka players ambao wapo tiyari kufight for the badge
 
Mwakani ubingwa hakuna tena kabisa kwa sababu kuu tano hapa chini
  1. Msimu wa kwanza kwa Uongozi mpya
  2. Wataalamu wameachia ngazi
  3. Wachezaji muhimu wamehama
  4. Overhauling ndio inafanywa kwa sasa, tusajili wachezaji wengi wapya waje kuzea mfumo na mazingira sio leo. tujfunze kwa akina Werner, Ziyech, Havertz, Lukaku nk
  5. Usajili unaenda taratibu hata tukisajili wazuri sio cream, hao wameshachukuliwa na wengine kwenye timu zao wameshapewa mikataba minono, Lewandowski ndie kabakia pekee na haitaki Chelsea
Niambie hapo tutatoboa kweli
Mimi naamini kuitetea nafasi ya tatu huo uwezo tunao ila kupanda juu kuwafikia Liver na Man city labda msimu mwingine sio huu
Yeah man Labda tujipange Kwa michuano ya short marathon km kina FA, carabao n uefa
 
View attachment 2279237

There were several reports coming out of Spain on Friday night that suggested Barcelona had matched Chelsea's £60m fee and it was only a matter of time before the winger signed for the Spanish giants.

However, a new update from Ben Jacobs of CBS Sports suggests this is not the case and the Blues are very much still in the race. Tweeting on Saturday morning, Jacobs stated that Leeds have still not accepted any offer from Barca but advanced talks have continued.

The La Liga club want to pay any in instalment however, Leeds want a higher guaranteed fee because of this. Barca's offer is still currently below Chelsea's £60m fee.
Barce wanatumia media hasa hasa zile media zao kupush ili chelsea wajitoe,
Hembu jiulize why deco bado hajawajibu chelsea kama hawataki,

Hizi media zinatumika kupush tu na kufanya watu wajitoe, if ingekuwa kweli deco angekuwa ashasema

Why hizi taarifa sijui 95% ni done deal, wakina Fabrizio,Matt law,Ornstein etc hawajatoa.

We all know Deco n Raphinha waliagree personal term january, Hizi media wanawapush leeds na wakat huo huo kuwaogopesha na kuwatoa wengine kwenye race
 
Nyie Arse88 nani kawaroga, mbn kama mnalazimisha chelsea walimtakaga jesus? Kweli chelsea wamtake akatae aende Ass anal. akacheze carabao. Mchezaji akija arsenal jua hakuna timu kubwa iliyomtaka. Man u tu ikiingiza pua tu kwnye usajili wenu kijasho cha nyoro kinawatoka, sembuse chelsea.
Huna akili
Akili huna.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Barce wanatumia media hasa hasa zile media zao kupush ili chelsea wajitoe,
Hembu jiulize why deco bado hajawajibu chelsea kama hawataki,

Hizi media zinatumika kupush tu na kufanya watu wajitoe, if ingekuwa kweli deco angekuwa ashasema

Why hizi taarifa sijui 95% ni done deal, wakina Fabrizio,Matt law,Ornstein etc hawajatoa.

We all know Deco n Raphinha waliagree personal term january, Hizi media wanawapush leeds na wakat huo huo kuwaogopesha na kuwatoa wengine kwenye race
Kikubwa wanachotaka Leeds ni mzigo wote na wao Barca hawataki kutoa pesa zote hata kama wakifikia dau la Chelsea na mimi nawaunga Leeds United mkono kitimu kenyewe tudogo, pesa za Raphinha ndizo zingewasaidia kuziba pengo na kuimarisha timu halafu wapewe kwa installment, hii haikubaliki kabisa
 
Barce wanatumia media hasa hasa zile media zao kupush ili chelsea wajitoe,
Hembu jiulize why deco bado hajawajibu chelsea kama hawataki,

Hizi media zinatumika kupush tu na kufanya watu wajitoe, if ingekuwa kweli deco angekuwa ashasema

Why hizi taarifa sijui 95% ni done deal, wakina Fabrizio,Matt law,Ornstein etc hawajatoa.

We all know Deco n Raphinha waliagree personal term january, Hizi media wanawapush leeds na wakat huo huo kuwaogopesha na kuwatoa wengine kwenye race
Kingine Barca wameingiwa na tamaa za mzee fisi, wanmataka Lewa, Kounde, Raphinha, Dembele na kila anayetakiwa na Chelsea na wao watamtaka
 
Baada ya kuhusishwa na Chelsea Cristiano Ronaldo amesema anataka kuondoka Manure msimu huu kwa sababu haioni Manure ikifanya usajili wa maana utakaifanya ishindanie makombe mwakani

Njoo Chelsea tunashida ya pale mbele, najua bado una uwezo wa kufunga magoli 20+

Source: SkySport
 
Aje tu. Naona beki zikiwa vzr na viungo wakiwa vzr aisee zile nafasi zote zilizokosa mfungaji. Si.jamaa atapiga goli 30+ kwa msimu
Kumbuka hii kauli ya kutaka kutoka imekuja baada ya Ronaldo kufanya mkutano na Boehly
Pia kumbuka kwamba Boehly anataka kuutangazia ulimwengu wa football kuwa yeye ndie mmiliki mpya wa Chelsea kwa kufanya usajili wenye kupeleka sauti mbali. Mkutano wake na Ronaldo sio zaidi ya wiki haijaisha na Ronaldo anasema anataka kusepa sio coincidence na haijaja kwa bahati mbaya, it is planned. Hongera Todd Boehly
 
Itapendeza sana
  1. City wakiwa na Haaland
  2. Liverpool Salah
  3. Spurs na Kane
  4. Chelsea na Ronaldo au Lewandowski
Hakuna wa kugusa top 4 kwa sababu wachezaji wote hao wana uwezo wa kufunga goli 20+

City kachukua ubingwa hana mchezaji aliyefikisha bao 18 alafu timu yenye mchezaji mwemye goli 18 yupo kwa kashuka daraja uko Nyumbu
 
Raphinha sale
Chelsea's bid still remains on the table. The Blues are apparently offering €60million in straight-up cash, whilst Barcelona have offered €50million + €10million in add-ons all in 3 installmenets payment.
 
City kachukua ubingwa hana mchezaji aliyefikisha bao 18 alafu timu yenye mchezaji mwemye goli 18 yupo kwa kashuka daraja uko Nyumbu
Hat hivyo mimi nazungumzia wachezaji waliopo sasa hivi wewe unarudi nyuma. Tunaposema 20+ maana yake kuna na forwards kama 3 (wingers na CAM) wanatakiwa kufunga na kuassists double digits. City wamefanya hivyop kwenye rare case na wangeendelea hivi wangepigwa kumbo
 
Ripoti mpya, Raphinha kasema ni bora abaki Leeds united akiisubiri Barcelona mwakani kuliko kujiunga na Chelsea au Arsenal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom