Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

My prediction, Chelsea mtaishia kuwapata Nathan Ake na De ligt wote hawa Ni mabench warmer

Tutarajie kuona vituko kwenye backline ya Chelsea msimu huu, mlimaliza kwa beki yeenu kuvuja sana , tutarajie kuendelea pale mlipoishia
Beki yetu inavuja sawa. Vipi kile kikundi chenu cha watoto wa Sunday school. Kilikua cha ngapi.? Na next season mtaishia wa 8 au 10 huko
 
Tajiri wa Chelsea hakujipanga kila deal anaparamia , Kwa Richarlson kashindwa, Jesus kashindwa, Kwa Raphina Hadi Sasa kawachunia licha ya kufika Bei kwa Leeds

Now Raphina close to join Barcelona

By Gerard Romero Tier 1 for Barcelona news

Watu wanamsubirri ROMANO aachie bomu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]
Jesus hakuna offer yoyote iliyopelekwa zaidi ya Agent wake kuwauliza chelsea kama watamuhitaj

Raphinha issue ilibaki kwa Deco n Raphinha mwenyewe, tangu january walikuwa washakubaliana

Richarlison, chelsea walipeleka offer ndogo tofaut na ile ya spurs, maana chelsea walikuwa wameofa pesa + mchezaj
 
Mkifanikiwa kumchukua ikiwa Barca watazingua tarajien upuuz kutoka kwa huyo mchezaji,

Yale Yale ya Lukaku, ikitokea akachelewa ku click basi atawasumbuen akitaka kwenda Barca hata kwa mkopo

Chelsea ya Roman isingehangaika na huyu mchezaji, Bosi wenu anaparamia TU kila mchezaji ,atafutee DOF haraka ,ataoigwa za uso, Ukweli Raphina hiyo Bei Ni kubwa , hata Barca Hawatafika hiyo Bei , wataishia €50m plus add ons na KULIPA kwa installments
Huwez ajiri dof now na wakat huu huu aanze kazi never,
Ndio maana plan ni baada ya dirisha kufungwa dof atakuwa amepatikana, so hapo tegemea kuanza kusajili ni january or summer 2023

Watu wanaotupiwa chapuo ni
Michael Edward
Paul Mitchel
Maxwell
 
Nyie mnaokataa kuwa City hawauzi ili wabalance mahesabu ebu someni hiyo hapo
View attachment 2278681
Uzuri wa city wachezaj wao bado wanasoko, sisi tuliendelea kuwakomalia wakina Barkley,Bakayoko,Baba Rahman,Kennedy, tukitegemea tutapata ofa kubwa kwa hizi takataka

Mwishi wa siku yanabakia palepale tunangangania kuyatoa kwa mkopo
 
Hivi Barkley ilikuwaje akatoka Aston villa. Kwamba hawakumtaka au Chelsea ndo haikutaka abaki Villa le
 
Mm nangojea beki Ake na De light mabench warmer [emoji1787][emoji1787] hampo serious nyie

Halafu Sterling ndio mnataka awe no.9 au?

Nangojea vituko zaidi
Ass.anal mkimaliza hata nafasi ya nne tu niite umbwa, niko pale!
 
Chelsea interested in signing Fiston mayele talks now are progressing. [Fabrizio romano] tier 1[emoji1628]
 
My prediction, Chelsea mtaishia kuwapata Nathan Ake na De ligt wote hawa Ni mabench warmer

Tutarajie kuona vituko kwenye backline ya Chelsea msimu huu, mlimaliza kwa beki yeenu kuvuja sana , tutarajie kuendelea pale mlipoishia
Dua la kuku hili pambana na timu Yako arsenyeto
 
Beki yetu inavuja sawa. Vipi kile kikundi chenu cha watoto wa Sunday school. Kilikua cha ngapi.? Na next season mtaishia wa 8 au 10 huko
Next season
  1. Man city
  2. Liverpool
  3. Chelsea
  4. Tottenham
  5. Newcastle
  6. Manure
  7. Westham
  8. Leicester city
  9. Arse8
 
Sasa Barcelona wamempa Dembele ofa ya kumsajili kama free agent na watamlipa 60% ya mshahara wake wa zamani wa Euro 230,000/week. Yaani wako tayari kumlipa Euro 140,000/week tu
 
Jesus hakuna offer yoyote iliyopelekwa zaidi ya Agent wake kuwauliza chelsea kama watamuhitaj

Raphinha issue ilibaki kwa Deco n Raphinha mwenyewe, tangu january walikuwa washakubaliana

Richarlison, chelsea walipeleka offer ndogo tofaut na ile ya spurs, maana chelsea walikuwa wameofa pesa + mchezaj
Kiufupi chelsea wanakurupuka sana ,issue ya jesus oia walimtaka wakaoigwa za uso....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Sasa Barcelona wamempa Dembele ofa ya kumsajili kama free agent na watamlipa 60% ya mshahara wake wa zamani wa Euro 230,000/week. Yaani wako tayari kumlipa Euro 140,000/week tu
Kinachotufanya kufocus na Raphinha kuliko Dembele ni uwezo wa kutrack back kuja kukaba, Dembele ni lazy kwenye kukaba kama zyech sasa mnapokaliwa kooni timu inakuwa man down.lakini kwenye kushambulia hawana tofauti sana
 
🚨🚨| JUST IN: Raphinha to FC Barcelona is 95% DONE.
@gerardromero [🎖️]

❗️He continues to say what he did yesterday, ‘only one small detail is missing for the operation to be closed’. #Transfers 🇧🇷
 
(🌕) Chelsea are NO longer the favorites to sign Raphinha, as Barcelona are now trying to finalize a deal with Leeds for the player. @NizaarKinsella #Transfers 🇧🇷

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom