G bznes
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 1,429
- 2,966
Na atakuja Free
Na atakuja Free
Chelsea walitoa Paundi mil 56 sawa na Euro mil 65, kama wamelinganisha na Chelsea inatakiwa iwe hapo na wamesema watatoa kwa installement 3, tena baada ya kuza 10% ya hakimiliki ya TV ya Laliga kwa miaka 25. Wachezaji hao wakiflop hiyo timu itajifia tu🚨 RAC1 next up reporting on the Raphinha scene — saying Barcelona have indeed made a better proposal for Raphinha worth €50M + bonuses, club wants to close the deal in the coming week. Barça not ruling out a Dembele renewal either. #Transfers 🇧🇷☎️
Anza kujitambulisha wewe nani unashabikia timu gani ndio upate confidence ya kumwaga pumba hukuMy prediction, Chelsea mtaishia kuwapata Nathan Ake na De ligt wote hawa Ni mabench warmer
Tutarajie kuona vituko kwenye backline ya Chelsea msimu huu, mlimaliza kwa beki yeenu kuvuja sana , tutarajie kuendelea pale mlipoishia
Mkifanikiwa kumchukua ikiwa Barca watazingua tarajien upuuz kutoka kwa huyo mchezaji,Chelsea walitoa Paundi mil 56 sawa na Euro mil 65, kama wamelinganisha na Chelsea inatakiwa iwe hapo na wamesema watatoa kwa installement 3, tena baada ya kuza 10% ya hakimiliki ya TV ya Laliga kwa miaka 25. Wachezaji hao wakiflop hiyo timu itajifia tu
Sisi twende na Dembele tutanegotiate asidfai mshahara mkubwa ili tusipigwe faini na FFP
Nukuu kutoka Reuter:
June 30 (Reuters) - Barcelona have agreed to sell a 10% stake in their LaLiga TV rights for the next 25 years to US private equity group Sixth Street for 207.5 million euros ($215.84 million) as they look to improve their financial situation, the club announced on Thursday.
"We are activating economic levers and executing on our patient, sustainable, and efficient strategy to strengthen the club's financial footing," Barcelona president Joan Laporta said in a statement.
Una hatimiliki ya jf?Anza kujitambulisha wewe nani unashabikia timu gani ndio upate confidence ya kumwaga pumba huku
Chelsea walimpa mshara wa paundi 115,000 sawa na paundi mil 6 au Euro mil 7 kwa mwaka, hizo figure zako unazitoa kwenye magazeti ya udaku ya Kariakoo ehh!🚨🎖| Barça offered Raphinha a salary of €6M per season, which is HIGHER than Chelsea's offer of €5M per season. [@gerardromero] #fcblive
Hii haitofanya Arsenal ibebe uefa. Idiot.Let’s all laugh at Chelsea![]()
Hauchezi Uefa.My prediction, Chelsea mtaishia kuwapata Nathan Ake na De ligt wote hawa Ni mabench warmer
Tutarajie kuona vituko kwenye backline ya Chelsea msimu huu, mlimaliza kwa beki yeenu kuvuja sana , tutarajie kuendelea pale mlipoishia
Kenge la Arsenal hilo hata usipate shida.Anza kujitambulisha wewe nani unashabikia timu gani ndio upate confidence ya kumwaga pumba huku
Huyo raphina haitaki chelsea. Hivyo hauwezi kumlazomisha acha aende anapotakaMsimu unaisha leo Chelsea hakuna walichofanya
Wenzao wamekuwa bussy here and there ila wao ni bla blaa tu mwisho wa siku Raphina tunamkoa, Sterling tunamkosa tutabakiwa na akina Bakayoko, Batchuayi na Barkley!!