Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Petr Cech naye huyo anasepa, sijui Boehly anaunda ufalme upi pale darajani
Hichi kilikuwa kinategemewa tu, kweny taasisi yeyote ile ujapoinunua lazima mabadiliko ya kiongozi yawepo
Cech n Marina walitaka Lukaku aendelee kuwepo msim ujao, Boehly akamfata Tuchel anavyotaka lukaku kuondolewa
Tho wote walipewa nafasi ya kubakia

Ni sawa sawa na na wakat Abramovich anainunua alileta watu wake wakina peter kenyon, or wakat sheikh mansour anainunua City alileta watu wake wakina txiki,soriano
 
Naona mnatapa tabu sana kuhusu suala la Lukaku.
Ishu ya Lukaku kubaki au kuondoka haikuwa kwenye matakwa ya mtu yeyote mwengine zaidi yake yeye mwenyewe, sio Tuchel wala Cech.

Lukaku wenyewe na ujinga wake ndio alitaka aondoke tangu akiwa bado yupo yule bosi wenu mihela.

Hili jambo mnalolileta sasa kwamba ni kwa sababu ya yeye kuondoka so is Cech ni kujichanganya tu, tafuteni sababu zengine.
 
Unaona jinsi man utd inavyo pwaya...? Ni.makosa ya kutompa kocha maamlaka ya kuchagua nani amsajili. Sasa boss ashasema anataka timu iwe kama Liverpool kwenye kusajili akiwa na maana kocha aliyepo ndio awe na maamuzi ya kuchagua wachezaji atakaoendana nao kulingana na mfumo wake.
Mkuu unaenda tofauti kabisa na ninachodhamiria au nachomaanisha. Unaamini swala la Lukaku pekee ndio limefa ya Marina na Cech waondoke?

Sipingi kocha kupewa mamlaka ya kununua mchezaji anayemtaka lakini bado siamini kama swala la Lukaku ndio limepelekea Cech na Uongozi wote kuachia mamlaka yao. Ipo sababu
 
Mkuu hii ni dalili ya kupoteza dira ya timu. Huyu jamaa nina uhakika anaendeshwa na serikali ya uingeeeza. Usikute kapewa maelekezo washirika wote wa Roman waondoke ili tupoteane tu. Kwanini waondoke wote hawa kwa haraka hivi huyo mbung'o nani anamuongoza?

Hata ile ari ya kuzungumzia usajili ishaanza kunitoka
Inabidi tusajil kwa akili na kwa matakwa ya kocha na sikusajili ilimradi
Boehly nimuumini wa falsafa za liverpool n city jins wanavyofanya sajil zao,
Sajil mchezaj anaendana na matakwa ya kocha na mfumo unaotumika if tunataka kuclose gap na liverpool n city,
Ndio maana unaona leo hii Michael Edward/Paul Mitchel wanahusishwa kwenye nafas ya DOF. Ambacho kwetu hakipo hicho kitu.

Tumpe kocha wachezaj anaowataka anaohisi watatimiza maelekezo yake kiurahis,
Liverpool n city washaset standard huenda ukafikisha point 90 na bado usiwe bingwa,

If tim ingeuzwa february nadhan kila kitu kingekuwa settled mapema,

Hata wewe leo hii ununue taasisi lazima utaifanyia mabadiliko ya kiuongozi

Issue ya marina,buck kuondoka ilikuwa inajulikana tangu hata tim haijauzwa ila wengi walitegemea watamaliza kipindi hichi cha usajil then ndio waondoke
 
Mkuu unaenda tofauti kabisa na ninachodhamiria au nachomaanisha. Unaamini swala la Lukaku pekee ndio limefa ya Marina na Cech waondoke?

Sipingi kocha kupewa mamlaka ya kununua mchezaji anayemtaka lakini bado siamini kama swala la Lukaku ndio limepelekea Cech na Uongozi wote kuachia mamlaka yao. Ipo sababu
Achana na hizo nadharia Mzee kwahyo unahisi katumwa na waingereza Mbona mashabiki mnahisi negatively tu....Juan David kaelezea vzuri kabisa hapo kuhusu ishu ya kina marina....Mbona jamaa ana mipango mizuri tu
 
Mkuu unaenda tofauti kabisa na ninachodhamiria au nachomaanisha. Unaamini swala la Lukaku pekee ndio limefa ya Marina na Cech waondoke?

Sipingi kocha kupewa mamlaka ya kununua mchezaji anayemtaka lakini bado siamini kama swala la Lukaku ndio limepelekea Cech na Uongozi wote kuachia mamlaka yao. Ipo sababu
Kila zama na falsafa zake. Huyu ni mmiliki mpya hivyo kwa wanao ondoka itakua hawawezi kwendana na falsafa zake au kaona hawatamfaa katika mipango yake. Lukaku aondoke tu aisee bonge la hasara lile.
 
Hichi kilikuwa kinategemewa tu, kweny taasisi yeyote ile ujapoinunua lazima mabadiliko ya kiongozi yawepo
Cech n Marina walitaka Lukaku aendelee kuwepo msim ujao, Boehly akamfata Tuchel anavyotaka lukaku kuondolewa
Tho wote walipewa nafasi ya kubakia

Ni sawa sawa na na wakat Abramovich anainunua alileta watu wake wakina peter kenyon, or wakat sheikh mansour anainunua City alileta watu wake wakina txiki,soriano
Huyo Peter Kenyon ni mtu na nusu
 
Mkuu hii ni dalili ya kupoteza dira ya timu. Huyu jamaa nina uhakika anaendeshwa na serikali ya uingeeeza. Usikute kapewa maelekezo washirika wote wa Roman waondoke ili tupoteane tu. Kwanini waondoke wote hawa kwa haraka hivi huyo mbung'o nani anamuongoza?

Hata ile ari ya kuzungumzia usajili ishaanza kunitoka
Hahahaa! Hata Urais ukibadilika shakeup ni lazima.
Kila mtu huweka watu watakaoendana nao. Kwa Marina comment yako inaweza ku make sense kwa sababu ya uraia wake wa Urusi na ukaribu na Roman, anaweza kuwa kapigwa pini. Ila Petr sidhani kama issue ni hiyo.

Hata hivyo isikupe shida, hata kama Chelsea haitakuwa better. Furahia mpira then fanya maisha.
Mpira furaha, na sio pressure!
 
Sipingi kocha kupewa mamlaka ya kununua mchezaji anayemtaka lakini bado siamini kama swala la Lukaku ndio limepelekea Cech na Uongozi wote kuachia mamlaka yao. Ipo sababu
What if (again just what if) Pter aliona kwenye suala la Lukaka kama amepokwa mamlaka yake? Kwa sababu hatujui mamlaka ya Pter kiasi gani yalipokwa kwenda kwa TT na Petr kuon kama hana haja ya kubakia? Nadhani kuna taarifa hatuna na bila hizo tutabaki na what ifs!
 
Chelsea owner Boehly is exploring options for the new director to replace Marina. One of many candidates is former fullback Maxwell - was already assistant sporting director at PSG. CFC

Boehly has 3/4 options in the list, including Michael Edwards. No decision yet.

[via Fabrizio Romano]
Simuelewi boehly

Ngoja tuone
 
Hichi kilikuwa kinategemewa tu, kweny taasisi yeyote ile ujapoinunua lazima mabadiliko ya kiongozi yawepo
Cech n Marina walitaka Lukaku aendelee kuwepo msim ujao, Boehly akamfata Tuchel anavyotaka lukaku kuondolewa
Tho wote walipewa nafasi ya kubakia

Ni sawa sawa na na wakat Abramovich anainunua alileta watu wake wakina peter kenyon, or wakat sheikh mansour anainunua City alileta watu wake wakina txiki,soriano
Uko sawa, Boehly anayo vision yake na falsafa yake na yuko strick kwenye hilo. Ameshasema anapenda jinsi liver wanavyosajili na sasa atahitaji timu itakayoendana na hiyo, lazima wameshatofautiana kwenye hatua za mwanzo na ndio maana ikawa ni busara kuondoka ili safu mpya inayoendana na falsafa na maono ya mmiliki mpya iwe rahisi kutekelezeka
 
Kwa haya mabadiliko kuna mawili wala sio matatu yatatokea
  1. Timu kuwa worse zaidi
  2. Timu kuwa nzuri zaidi
  3. No neutral
 
Chelsea wamefanya U-turn kwa dembele kwa sababu ya mshahara anaoutaka ni mkubwa sana
Dembele anataka zaidi ya Euro 380,000 kwa wiki
Raheem Sterling Euro 350,000 au Paundi 300,000 kwa wiki
 
Juventus are demanding a €70 million (£60.3m) fee plus Timo Werner from Chelsea in exchange for Matthijs De Ligt, according to reports.
An offer of €40m (£34.4m) plus Timo Werner has been submitted by Chelsea but the bid has already been rejected by Juventus.

According to Sky Sport Italia, Juventus have told Chelsea to pay €70m (£60.3m) and include Werner as part of their deal for De Ligt.

Juventus are also prepared to sell De Ligt to Chelsea without including Werner in the deal but are looking for a fee in the region of €100m (£86.4m).

Chelsea, meanwhile, are understood to be confident that they will be able to conclude a deal for the Netherlands international this summer.

Juventus spent £67.5m on signing De Ligt from Ajax in 2019 and the defender still has two years remaining on his contract with the Italian club.

When asked about his future earlier this month, De Ligt said: ‘There are ongoing conversations between me and Juventus.
1656409834508.png
1656409916738.png
 
What if (again just what if) Pter aliona kwenye suala la Lukaka kama amepokwa mamlaka yake? Kwa sababu hatujui mamlaka ya Pter kiasi gani yalipokwa kwenda kwa TT na Petr kuon kama hana haja ya kubakia? Nadhani kuna taarifa hatuna na bila hizo tutabaki na what ifs!
Cech alikuwa kama link kati ya tt na board

N Boehly anampango wa kutafuta sporting director, so nafas ya cech kama ikawa inaonekana haipo tena,

Lets wait n see
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom