Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi TT ameona nini kwa Nathan Ake?
Ndiomaana makocha sometimes wanasajiliwa si kila kocha anakuwa na chaguo sahihi au spotted kuona talented Rafa Benitez alianza kuiharibu Liverpool baada ya signing mbovu alizofanya hiv unadhani bila Abramovic Hazard au osca tungewafaidi?Maana hawa walisajiliwa boss na si kocha
 
Screenshot_20220628-170648.png

Mnatangaza ushoga instagram, kwel nyie ni rent boys
 
Chelsea now in talks with Raphinha over personal terms, which are not expected to be an issue.

- @Matt_Law_DT
 
What if (again just what if) Pter aliona kwenye suala la Lukaka kama amepokwa mamlaka yake? Kwa sababu hatujui mamlaka ya Pter kiasi gani yalipokwa kwenda kwa TT na Petr kuon kama hana haja ya kubakia? Nadhani kuna taarifa hatuna na bila hizo tutabaki na what ifs!
Ndicho ambacho mimi nasema. Nje ya sakata la Lukaku kuna jambo lingine linalowaondoa hawa watu
 
Juventus are demanding a €70 million (£60.3m) fee plus Timo Werner from Chelsea in exchange for Matthijs De Ligt, according to reports.
An offer of €40m (£34.4m) plus Timo Werner has been submitted by Chelsea but the bid has already been rejected by Juventus.

According to Sky Sport Italia, Juventus have told Chelsea to pay €70m (£60.3m) and include Werner as part of their deal for De Ligt.

Juventus are also prepared to sell De Ligt to Chelsea without including Werner in the deal but are looking for a fee in the region of €100m (£86.4m).

Chelsea, meanwhile, are understood to be confident that they will be able to conclude a deal for the Netherlands international this summer.

Juventus spent £67.5m on signing De Ligt from Ajax in 2019 and the defender still has two years remaining on his contract with the Italian club.

When asked about his future earlier this month, De Ligt said: ‘There are ongoing conversations between me and Juventus.
View attachment 2275326View attachment 2275329
Hao Juve watakua watakua wagonjwa wa akili sio bure
 
Huyo jamaa amenichekesha. Sijui amewaza nini
Sipingani na mawazo yenu kwa sababu tunatofautiana uwezo wa kureason ila napata ukakasi unaposhikiria sentensi moja badala kuangalia the whole general reason nilikua namaanisha nini.

All in all basi mnielewe ivyo mliamua nyie kunielewa.
 
Raphinha ni mchezaji mzuri na work rate yake uwanjani ni kubwa Sana lakini Chelsea wasifanye upuuzi wa kumuuza Ziyech.Man city imekuwa team Bora Sana kwasababu Wana depth squad yenye Quality mfano anaweza akatoka KDB anaingia Gondogan sasa sisi tunatakiwa tuwe hivi kwasababu tuna mashindano mengi kuna tatizo pia la injuries tutafanya ujinga kumuuza Ziyech kitu tunakiwa tuwe Na wote kwa pamoja Raphinha na Ziyech tutafute mtu upande wa james kwa upande wa Benchilwell kuna Alonso sio mbaya, mabeki wawili na kiungo mmoja biashara imeisha tutakuwa Bora sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom