Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,378
- 1,782
Ndio ukweli huo chelsea ina wachezaji wazuri ila ni aina ya makocha na mifumo yao ndio tatizo inayofanya wachezaji kuwa flopSikuamini yale mauzo ya akina Tomori kuwapeleka kwa mkopo akina Gilmour et al. Siamini kama tuna timu mbovu. Tuna wachezaji wazuri tu. Tunahitaji ku cover some gaps ili kuwawezesha hawa tulio nao waweze kuwika. Andrey Shevchenko aliwika Italy kwa sababu alikuwa na watu kama Andrea Pirlo. Akaja Chelsea akakosa watu kama Pirlo akaonekana ka flop.
Hawa wachezaji ambao leo wanapigwa madongo wanaweza kuwashangaza wengi msimu ujao kama gaps tulizo nazo zitakuwa covered.
Tusubiri tuone!

