Fundi Mgumu
Member
- May 7, 2022
- 92
- 54
Unaongea usichokijua na uhakika nenda playstore andika SME UTANIELEWAThis is another SCAM, wewe uache kuchapa kazi unakuja kucheza kamari wengine ndio wafaidi
Unaongea usichokijua na uhakika nenda playstore andika SME UTANIELEWAThis is another SCAM, wewe uache kuchapa kazi unakuja kucheza kamari wengine ndio wafaidi
Werner anampango WA kuondoka summer transfer ijayoMwanzoni nilikuwa simuamini sana Ousmane Dembele lakini baada ya kufuatilia kwa ukaribu style yake ya uchezaji na pace yake na speed yake na uwezo wake wa kupiga cross atasababisha sana Lukaku afunge magoli mengi, why, ni mchezaji mwenye mentality ya kushambulia. few back and sideways passes. Tukimpata huyu akacheza kama mshambuliaji wa upande wa kulia as a winger au kiungo mshabuliaji na acheze Werner katikati Mount.Usajili mwingi tuelekeze kwenye mabekiView attachment 2230595
Yaan penalty hatunaga bahati nazo aisee...tushapoteza chance ya makombe ma3 so far niliyoona Kwa kukosea kwenye penalty ikiwemo z carabao n FASi John Terry aliamua tu kuwazawadia kombe maanina zenu. Niliumia sana siku ile
Tutolee takataka zako humu.Unaongea usichokijua na uhakika nenda playstore andika SME UTANIELEWA
mropokaji hujaacha udalaliTutolee takataka zako humu.
Raphina mzuri sana a tunaweza kupata kwa bei nzuri Leeds wakishuka daraja@lembu
9Yaan penalty hatunaga bahati nazo aisee...tushapoteza chance ya makombe ma3 so far niliyoona Kwa kukosea kwenye penalty ikiwemo z carabao n FA
Penalties zilitupa Uefa ya kwanza kwa Munich sema makapten wetu na penalty aisee tabu tupu. Juzi wakwanza kukosa ni captenYaan penalty hatunaga bahati nazo aisee...tushapoteza chance ya makombe ma3 so far niliyoona Kwa kukosea kwenye penalty ikiwemo z carabao n FA
Tunashinda hii gameJames leo wamembana sana
Wa.empa mwanya tu kidogo akatoa krosi nzuri sana
Kwenye game muhimu jamaa anatudissapoint Sana sijui anatatizo gani na kufungaHuyu Captain Amerikano boya kweli
Ukiondoa kuja kwa klopp umetizidi nn kwenye EPL kwa miaka 10 tu. 🚮🚮🚮Timu ya mijusi london
Hivi wewe ni aseno au nyumbu au liverpuru..?Cheltako chelwowowo chelyatima
Huyo skriniar hata hajahusishwa. Mabeki wanaohusishwa NI kounde, kimpembe,Jose gimenez, josko gvardiol,koulibaly....hata neves naye hahusishwi ..Jana kuna habari nyingine ya kuitajika milinkovic savic ...--------- Werner --- Kai ----- Raphinha ------------
Chilwell --- Tchouameni --- Neves --- James
----- Kounde ----- Marquinhos ---Skriniar-----
Bora ulvyomchana analeta mambo ya kishirikina kwenye soka la scienceMawazo yako ni ya soka la bongo ya usimba na uyanga. Acha kushabikia soka la ulaya sio salama kwa afya yako.