Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

CHELSEA FC MSIMU 21/22

Nafasi ya 3 - EPL

Fainali - CARABAO

Fainali - FA

Robo Fainali - UCL

Mafanikio makubwa ya timu kwa msimu yanapimwa kwa makombe, kwa hatua tulizofikia msimu huu zimeakisi tofauti kidogo ya ubora wa kikosi chetu vs CITY na LIVER.

TT amesema kwenye dirisha la usajili THE BLUES tuna rebuild kikosi na sio kuimprove kikosi.

Kwa sababu wachezaji wetu wengi wanaondoka hivyo tunajenga kikosi na sio kuboresha kikosi kuongeza mchezaji 1 au 2 kama wanavyofanya LIVER na CITY

Swali:- Ingizo la wachezaji wengi kikosini kutaongeza kasi ya kucover gap la ubora kati yetu na CITY na LIVER?

Au kutapunguza kasi ya kuwafikia wakati TT anajenga mifumo mpya, style za uchezaji na pia wachezaji wapya kuzoeana kwanza?

Rudger - OUT
Alonso - OUT
Christensen - OUT
Azplicueta - OUT
Jognho - OUT
Werner - OUT
Pulisic - OUT
Barkely - OUT
Drinking Water - OUT
Sarr - Mkopo
Cheek - Mkopo

---------------------------------------------------------

WANAOBAKI

Thiago - Mbadala/ Umri
Kante - Mbadala/Umri/Uchovu
Sisi huwa tunapenda kutolea mifano Liver na Man City jinsi wanavyo dominate soka la EPL na Europe lakini tunasahau iliwachukua muda gani kufika pale. Kikosi alicho anza nacho Klopp kwa zaidi ya asilimia 95 hawakuwepo baada ya miaka 3 baada yahapo ikaja kazi ya kujenga timu ndio ikaja hatua ya makombe na dominance sasa wakati wote ilihitaji Time, Money, Patience(uvumilivu kwa kocha na wachezaji)

Imani yangu ni kubwa kwa TT naamini atatufikusha mbali kama na sisi tutampa muda kuijenga timu kama alivyosema. Hakuna kitu kinaharibu timu kama key players kuondoka (Rudiger, Cesar, Christensen) halafu hapo ulikua unapanga uanze kurekebisha maeneo mengine inabidi kuweka nguvu tena kwenye usajili wa backline.

Muhimu tuendelee kula mtoru nyama zipo chini.
 
Mkuu City 3yrs na Liver 4 yrs sisi tuko mwaka wa 5 bado tunajenga timu huku tumebadilisha makocha watatu, Sarri, Lampard na sasa Tuchel. Lazima twende kwa kasi. Tulipotea pale tulipoacha kumwamini kocha na kuanza kuwachagulia matakataka yasiyoendana na mfumo wake. Mfano kuwaleta wachezaji kama akina Drinkwater, Bakayoko, Malang Sarr ili kocha aje kuwatumia na kubeba vikombe
So sad, Natumaini mmiliki mpya atakuwa bega kwa bega na kocha katika kuijenga squad
 
Hapo nimeshasema hao City na Liver walikua wavumilivu ndio wanapata hayo matokeo. Sisi uvumilivu hatuna ndio maana ni miaka mitano tunajenga timu kama Tuchel akaachwa ajenge kwa kupewa anavyovihitaji tunaweza kuwa kwenye mwendo mzuri. Huwezi kujenga timu kwa kubadili makocha kila msimu
 
Huyu kocha kazi anaiweza ila utashangaa inafika mwezi Nov hatupati matokeo anatimuliwa. Sasa hapo utajenga vipi timu?

Kwa kocha kama Lampard mi nadhani tulikua tunajitafuta na sio kwamba tungeweza kufanya makubwa chini yake. Ila mtu kama Sarri au Tuchel hao ndio wanaonyesha wanaweza kujenga timu
Screenshot_20220520-124856_1653040724066.jpg
 
Ukiondoa kuja kwa klopp umetizidi nn kwenye EPL kwa miaka 10 tu. 🚮🚮🚮
Klopp kaja Oct 2015, nimeweka mafanikio yake vs Chelsea kwa muda huo wa misimu 7
Wana UEFA moja na sisi tunayo
Walichotuzidi tu ni kuwa juu yetu kwenye EPL position mara nyingi
Kwa makombe tuko droo
1653041440296.png
 
Huyu kocha kazi anaiweza ila utashangaa inafika mwezi Nov hatupati matokeo anatimuliwa. Sasa hapo utajenga vipi timu?

Kwa kocha kama Lampard mi nadhani tulikua tunajitafuta na sio kwamba tungeweza kufanya makubwa chini yake. Ila mtu kama Sarri au Tuchel hao ndio wanaonyesha wanaweza kujenga timuView attachment 2231604
Abramovich hayupo tena tuwape wamiliki wapya nafasi tutaona mabadiliko
 
Hapo nimeshasema hao City na Liver walikua wavumilivu ndio wanapata hayo matokeo. Sisi uvumilivu hatuna ndio maana ni miaka mitano tunajenga timu kama Tuchel akaachwa ajenge kwa kupewa anavyovihitaji tunaweza kuwa kwenye mwendo mzuri. Huwezi kujenga timu kwa kubadili makocha kila msimu
Ila pia ujue kuwa sio kila kocha ukimuacha ataleta mafanikio hata ndani ya 10 yrs, kutovumilia ndiko ilikotuletea makombe, mfano UCL tungeisikia redioni tu kama asingefukuzwa Lampard
 
Mm ni Brentford unanikumbuka lkn cheltako nilichokufanya
Jiandae msimu ujao kurudi ulikotoka, umeingia choo cha kike
Leeds wameonyesha mfano, walikuja akina Bonamouth wakatuchachafya wako wapi
Walikuja akina Sheffield United wako wapi
Mnatuletea nguvu za soda hapa mjini bana, utapotezwa kwenye mataa aisee
 
Ila pia ujue kuwa sio kila kocha ukimuacha ataleta mafanikio hata ndani ya 10 yrs, kutovumilia ndiko ilikotuletea makombe, mfano UCL tungeisikia redioni tu kama asingefukuzwa Lampard
Yeah ndio maana nikasema kwa mtu kamLampard tulikua tunajitafuta tu. Huyu Tuchel kazi anaiweza kabisa
 
Mkuu City 3yrs na Liver 4 yrs sisi tuko mwaka wa 5 bado tunajenga timu huku tumebadilisha makocha watatu, Sarri, Lampard na sasa Tuchel. Lazima twende kwa kasi. Tulipotea pale tulipoacha kumwamini kocha na kuanza kuwachagulia matakataka yasiyoendana na mfumo wake. Mfano kuwaleta wachezaji kama akina Drinkwater, Bakayoko, Malang Sarr ili kocha aje kuwatumia na kubeba vikombe
So sad, Natumaini mmiliki mpya atakuwa bega kwa bega na kocha katika kuijenga squad
Kuna conte hapo aliyekuja, msim wake wa pili tukamletea wakina bakayoko,morata nk,
Huwez jenga tim na makocha tofauti,

City n liverpool rebuild waliofanya ilikuwa kusafisha waliopo huku ukiongeza wanaoendana na falsafa, sisi ndio kwanza bado tunademand pesa kubwa kwa kina barkley,bakayoko,drinkwater nk
 
----------------------------------------------------------------------
GHARAMA YA USAJILI VS MAKOMBE EPL

A:- MANCHESTER CITY (Miaka 5 iliyopita)

TOTAL BUDGET USAJILI - €862.41M

EPL Makombe 3

-----------------------------------------------------------------

B:- CHELSEA FC (Miaka 5 iliyopita)

TOTAL BUDGET USAJILI - €879.5M

EPL kombe 0

C:- LIVERPOOL FC (Miaka 5 iliyopita)

TOTAL BUDGET USAJILI - €539.13M

EPL KOMBE 1

Ukiangalia Miaka 5 iliyopita THE BLUES tumetumia pesa nyingi ya usajili kuliko CITY na LIVER lakini miaka hiyo 5 tumeshindwa kumaliza angalau TOP 2 - EPL

Sababu 1:- Inawezekana ni timua timua ya makocha, hawakupata muda wa kujenga vikosi vyao.

Sababu 2:- Inawezekana miaka 5 iliyopita hatukufanya sajili nzuri, za kimkakati, sajili zilikuwa kachumbari kwa maana mahitaji ya makocha tofauti tofauti ambao hawakudumu.
Conte angeendelea kupata mda angeepata epl nyingin
Kwa misim miwil aliyokaa katupa 1epl n 1 fa cup,

Kuna makocha huwa wanahitaji uvumilivu, anaweza akayumba msim mmoja ila msim unaofata akawa vizuri
 
----------------------------------------------------------------------
GHARAMA YA USAJILI VS MAKOMBE EPL
----------------------------------------------------------------------

A:- MANCHESTER CITY (Miaka 5 iliyopita)

TOTAL BUDGET USAJILI - €862.41M

EPL Makombe 3

-----------------------------------------------------------------

B:- CHELSEA FC (Miaka 5 iliyopita)

TOTAL BUDGET USAJILI - €879.5M

EPL kombe 0

-----------------------------------------------------------------

C:- LIVERPOOL FC (Miaka 5 iliyopita)

TOTAL BUDGET USAJILI - €539.13M

EPL KOMBE 1
-----------------------------------------------------------------

Ukiangalia Miaka 5 iliyopita THE BLUES tumetumia pesa nyingi ya usajili kuliko CITY na LIVER lakini miaka hiyo 5 tumeshindwa kumaliza angalau TOP 2 - EPL

Sababu 1:- Inawezekana ni timua timua ya makocha, hawakupata muda wa kujenga vikosi vyao.

Sababu 2:- Inawezekana miaka 5 iliyopita hatukufanya sajili nzuri, za kimkakati, sajili zilikuwa kachumbari kwa maana mahitaji ya makocha tofauti tofauti ambao hawakudumu.
Tunasahau pia kuwa usajili wa kocha ni muhimu. katika miaka mitano kutopata kombe sababu kuu sio timua timua ya makocha, ila usajili wa kocha haukuwa mzuri kama ilivyokuwa kwa wachezaji. City na Liver walisha sajili wachezaji wazuri na kocha walichofanya next five years ni kuziba viraka tu
Tukumbuke pia kuwa timua timua ya makocha ndio iliyotupa vikombe vingi ndani ya 17yrs
  1. Mounrinho 2005/2006/2007, 2015 katupa EPL 3, FA, Karabao 3
  2. Hiddink 2009 katupa FA
  3. Anceloti 2009/2011 katupa EPL na FA
  4. Dimateo 2012 katupa UCL
  5. Banitez 2013 katupa Europa
  6. Conte 2018 katupa EPL na FA
  7. Sarri 2019 katupa Europa
  8. Tuchel 2021 katupa UCL, UEFA Supper cup na FIFA Club World Cup
Jumla ya makombe 18 kwa sababu ya hiyo hiyo timua timua, tungebaki na kocha mmoja hata kama angakuwa mzuri sijui kama tungefikia hayo makombe 18?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom