Hila hakuna raha[emoji16][emoji16] kama kuchukulia kombe kwa cheltako.[emoji1787][emoji1787]Miaka 10 iliyopita siku kama ya leo, Chelsea ilibeba kombe la kwanza la UCL.
Sawa mama.Hila hakuna raha[emoji16][emoji16] kama kuchukulia kombe kwa cheltako.[emoji1787][emoji1787]View attachment 2230402
May be wanacheza open game, huku EPL game inakuwa tight and high pressingNa wasiwasi na ligi ya Bundesliga
Werner Na Sancho walikuwa moto wa kuotea mbali huko Bundesliga. EPL wanakula mshahara bure.
“We have an idea, but unfortunately, the guys don’t know that we have an idea, nor do the clubs. We have ideas, but we also need to find out what the ideas of the new owners are. This is also a key point, and from there, we go.”
“Normally, at this time of the season, you are contacting players, you are out, you get a feeling, a read, you have discussions, you have dialogue, you have feedback, you know who is committed, you find your targets, you sign your players, and you go from there to the next step. Because we didn’t have this step, this is where we are.”
Msimu ujao pa bin pu pale nyuma tunabakiwa na Malang Mamadou William Georges Sarr na hakuna mbadala, vipi hapo si bora tuanze kumzoea kisaikolojia na pia apewe muda wa kutosha unaweza shangaa akaja kuwa the next Rudiger!!Najua, huyo mtu sitaki hata apewe hiyo nafasi
Kwa chelsea bila creator hata aje nani atastruggle tu kule mbeleNa wasiwasi na ligi ya Bundesliga
Werner Na Sancho walikuwa moto wa kuotea mbali huko Bundesliga. EPL wanakula mshahara bure.
Si John Terry aliamua tu kuwazawadia kombe maanina zenu. Niliumia sana siku ileHila hakuna raha[emoji16][emoji16] kama kuchukulia kombe kwa cheltako.[emoji1787][emoji1787]View attachment 2230402
Hatoweza kuwa hivyo abadaniMsimu ujao pa bin pu pale nyuma tunabakiwa na Malang Mamadou William Georges Sarr na hakuna mbadala, vipi hapo si bora tuanze kumzoea kisaikolojia na pia apewe muda wa kutosha unaweza shangaa akaja kuwa the next Rudiger!!
Mkuu info zaidi zko kweny app ukijoin🙏Sema inahusu nn sio unaanza na taarabu za tusiwe wachoyo
Raphina??Dembele HAPANA.
Hatutaki kununua Ambulance nyingine.
Ambulance ya Pulisic inatosha.
This is another SCAM, wewe uache kuchapa kazi unakuja kucheza kamari wengine ndio wafaidiVijana hii ni real atakayetaka kuwekeza pm me now link hii Vue App ni uamuzi wako kukaa bila ajira au ujiajiri uku
View attachment 2230721
View attachment 2230722
View attachment 2230723