Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Klopp kaja Oct 2015, nimeweka mafanikio yake vs Chelsea kwa muda huo wa misimu 7
Wana UEFA moja na sisi tunayo
Walichotuzidi tu ni kuwa juu yetu kwenye EPL position mara nyingi
Kwa makombe tuko droo
View attachment 2231622
Safi saana mm.nimemwambia atupe mafanikio ya miaka 10. Yaani toka 2012 huko mpaka leo
 
Jiandae msimu ujao kurudi ulikotoka, umeingia choo cha kike
Leeds wameonyesha mfano, walikuja akina Bonamouth wakatuchachafya wako wapi
Walikuja akina Sheffield United wako wapi
Mnatuletea nguvu za soda hapa mjini bana, utapotezwa kwenye mataa aisee
Duh Mzee serious unaamini huyo n Brentford kirahisi hvyo
 
ACHA UJUAJI NAKUONA SANA KILA COMMENT KIMBELEMBELE ,IPO SIKU YAKO MPU.Z
Biashara hizo za kiwizi wizi. mimi sio size yako, nimefanya kazi ya mitandao for more than 30yrs na uzoefu wa biashara hizo ninazo za kutosha, kazi kuwahadaa vijana wasifanye kazi wakapoteze muda kwenye biashara za kikamari kamari huku zikiwa na ahadi kubwa kuliko za Mungu aliyetuumba.
Mimi kazi yeyote yenye too much promise ni BIG SCAM AND HOAX na lazima tuseme ili tuwavumbue vijana macho, ukichukia meza wembe tena mkali au meza pilipili mbuzi
 
Mambo mawili Tuchel na bodi wanatakiwa kufanyia kazi ili Chelsea mwakani ishindanie makombe kiwelikweli
  1. Kutengenza squad ambayo itahimili injuries na rotation. wachezaji muhimu wasainiwe ili kutimiza hili lengo
  2. Kutengeneza squad inayoendana na falsafa/filosofia ya kocha. Kocha ashirikishwe kwenye usajili asilimia 100 ili waweze kucheza kwenye kiwango cha juu kabisa
Kwa points zote mbili usajili wa kimkakati ufanyike na uwe shirikishi hasa kwa kocha
  • Wachezaji wa kipaumbele ni MABEKI FB na CB
  • Kiungo mkabaji na mchezeshaji hasa mwenye uwezo wa kutoa through balls za uhakika
 
Tammy Abraham anaweza kuwapita Pulisic, Werner na Havertz kwenye ufungaji ila uchezaji wake ni tofauti kabisa
Tammy anafunga magoli kwa kujenga kwenye makosa wanayofanya mabeki
Jana nilicheki mwanzo mwisho kwenye mechi kati ya AS Roma na Torino
Mistakes mbili walizofanya Torino ilimpa Tammy fursa ya kufunga bila makosa
Tammy pia anahangaika kutafuta magoli tofauti na Pulisic na Havertz hata na Lukaku
Labda kwa vile yeye ni natural striker while Pulisic na Havertz na Werner sio natural no. 9
Tammy sio agressive kama Lukaku
Lukaku ni agressive ila anakuwa static golini ndio maana hafungi
Tammy Abraham anaangaika sana golini kutafuta spaces ili afunge ila hana stamina ya kufight kwenye mipira kwenye tight environemnets
SO baada ya kusema hayo bado Abraham hatufai, anaweza akafaa kwa midtable teams na ndio maana timu zinazomzungumzia Abrahama huwezi kuta City, Liverpool wanamzungumzia badala yake Arsenal, Atalanta, Manure
 
Cheki hii ng'ombe nyingine nani aifukuzie takataka Abraham iyo.
 
Kikosi cha mechi ya mwisho ya kumaliza msimu 21/22.

Wana BLUES Hongereni kwa kumaliza msimu salama.

Poleni kwa uchovu wa safari + Corona + injuries + kuangukiwa na kitu kizito kichwani (timu kuuzwa).

#Pride of London
#London is Blue
#Blue Forever

View attachment 2234511
Mkuu vipi naweza kupata live streaming ya mechi yetu maana naona vibanda umiza vingi havioneshi
 
Ushindi wa leo ni kulinda heshima Todd Boehly na wadau wote wa Chelsea
Todd ameudhuria mechi zote tangu atangazwe mshindi pendekezwa wa kuinunia Chelsea
 
Kenedy katoka kaingia Sarr. Nadhani ni farewell hatutakuwa naye tena msimu ujao. Muda wake Chelsea haukuwa mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom