Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

AsaniAli huyo asikupe shida kabisa.
Uingereza hamna fainali inayonoga zaidi ya Chelsea vs Liverpool.
Hizi timu 2 viwango vyao vinafanana hivyo wakikutana lazima nyasi zipate tabu mpaka dakika ya 120.
Ila Pulisic na Diaz leo wamekosa magoli mengi ya wazi.
Lukaku kuachwa acheze kwa dakika 80 ilikua ni matumizi mabaya ya forward, ilitakiwa mwanzo mwanzo tu wa kipindi cha pili atoke halafu aingie Warner.
Chelsea bado nasimama na nyinyi hili kombe ni lenu.
Kabisa kombe ni lao
 
Liverpool first eleven tulikuwa 11 ila Chelsea wamecheza pungufu 10 tu kwasababu ya lilukaku
 
Tupate tangazo la mdhamini au mnasemaje Cheltako fans
Screenshot_2022-05-14-23-49-43-1.jpg
 
Werner na Lukaku ni wazuri kwa penalti hawakuandaliwa. Tactically TT bado sana ukimlinganisha na Klopp na PEP
Mount hajawahi kuwa mzuri kwa penalti. Generally TT alijiandaa kwa ushindi wa uwanjani ila kwa penalti hajafanya maandalizi
Thomas Tuchel on Timo Werner:

"Timo was injured and uncomfortable during the warm-up and said he could not play."

[via @AdamNewson]
 
Alifanya sub ambazo hazina macho kabisa nilitegemea alivyotoka pulisic angeingia Werner
Werner aliumia wakati wa warm up, au mlitaka aingie hivyo hivyo na majeruhi, kwa jinsi liver walivyokuwa wanacheza werner angekuwa mzima angecheza tu kulikuwa hakuna option
 
Squad ya Chelsea ina quality ila imeshindwa kuadapt Tuchel's tactics, so timu inakosa balance & at times timu inalose form, Chelsea squad inafit vizuri wakicheza 433 kutokana na profile walizonazo but wanakosa DM (an orchestra) kama Declan Rice, taarifa zinaonesha chelsea wanamtrack Sangare.
433 ni nzuri n inamuhitaj dm mzuri sion kama declan rice ni mzuri kama dm naona kama ni box to box zaidi

2nd we need new cb, zitakazoweza chza kwenue back 4, tukichza na back 4 tunakuwa porous, based na wakat wa lamps + mara chache wakat huu wa thom imeonekana,

Rudiger ni mzuri akiwa katika back 3 hata wakat wa conte, ika kwnye back 4 huwez mtegemea
 
Ukweli mchungu sna
Chelsea yangu bora ni ile ambayo ilianza msimu na kuongoza ligi kabla JAMES na CHILWELL kuumia.

JAMES na CHILWELL waliongeza nguvu kubwa sana kwenye ushambuliaji, ndio maana wakati ule Chilwell, James na Azpi walifunga magoli mengi kuliko washambuliaji wetu kule mbele.

James na Chilwell walivyopata injuries + Corona + injuries za wachezaji wengine + uchovu, timu ilipitia wakati mgumu sana kiushindani, mwisho kitu kizito kikatua kichwani baada ya Roman kutangaza anauza timu + vikwazo

Pamoja na changamoto zote hizo tumejitahidi kufika fainali mbili mfulilizo (CARABAO + FA), tunapambana kumaliza TOP 4. HONGERENI SANA

Binafsi naamini safu ya USHAMBULIAJI + KIUNGO imetuangusha sana msimu huu. Safu ya ULINZI nitailaumu kwa mistake ndogo ndogo ambazo utaziona kwa kuwa tulishindwa kufunga magoli mengi.

Kama msimu ujao tutaenda na viungo na washambuliaji hawa hawa tusahau kuchukua kombe la EPL mbele ya LIVER na CITY. TUSAHAU KABISA.

Ili kuboresha viwango vya wachezaji waliopo ni kuingiza maingizo mapya yenye ubunifu/uwezo mkubwa, nguvu na kasi.

Pale mbele tukipata winga 1 yenye uwezo wa kuassists 10+ na kufunga magoli 10+ anaweza kuwaamsha usingizini Kai, Werner na Lukaku. Anaweza leta muunganiko flani ambao unakosekana kwa sasa.

Pale katikati tukipata kiungo mmoja mkabaji haswa, Kovacic na Kante wataoperate vizuri sana very comfortable. Jog, Saul & cheek watupishe.

Pale nyuma usajili wa mabeki sio chini ya watatu.

Kuna blanket la kocha TT tumejifunika hatuoni nje, tunaona kwamba kwa sasa tunao wachezaji wazuri sana ila hawajitumi au viwango vimeshuka.

TUNAJIDANGANYA SANA, WACHEZAJI WETU WENGI WANA VIWANGO VYA KAWAIDA SANA.

Jiulize swali ni wachezaji wangapi wa THE BLUES wanapata namba kikosi cha CITY au LIVER?

Ile safu yetu ya ushambuliaji kule mbele hakuna mchezaji hata mmoja mwenye uwezo wa kuingia kwenye kikosi cha CITY au LIVER achilia mbali viungo na mabeki.

#Pride of London
 
Chelsea yangu bora ni ile ambayo ilianza msimu na kuongoza ligi kabla JAMES na CHILWELL kuumia.

JAMES na CHILWELL waliongeza nguvu kubwa sana kwenye ushambuliaji, ndio maana wakati ule Chilwell, James na Azpi walifunga magoli mengi kuliko washambuliaji wetu kule mbele.

James na Chilwell walivyopata injuries + Corona + injuries za wachezaji wengine + uchovu, timu ilipitia wakati mgumu sana kiushindani, mwisho kitu kizito kikatua kichwani baada ya Roman kutangaza anauza timu + vikwazo

Pamoja na changamoto zote hizo tumejitahidi kufika fainali mbili mfulilizo (CARABAO + FA), tunapambana kumaliza TOP 4. HONGERENI SANA

Binafsi naamini safu ya USHAMBULIAJI + KIUNGO imetuangusha sana msimu huu. Safu ya ULINZI nitailaumu kwa mistake ndogo ndogo ambazo utaziona kwa kuwa tulishindwa kufunga magoli mengi.

Kama msimu ujao tutaenda na viungo na washambuliaji hawa hawa tusahau kuchukua kombe la EPL mbele ya LIVER na CITY. TUSAHAU KABISA.

Ili kuboresha viwango vya wachezaji waliopo ni kuingiza maingizo mapya yenye ubunifu/uwezo mkubwa, nguvu na kasi.

Pale mbele tukipata winga 1 yenye uwezo wa kuassists 10+ na kufunga magoli 10+ anaweza kuwaamsha usingizini Kai, Werner na Lukaku. Winga mpya anaweza leta muunganiko flani ambao unakosekana kwa sasa.

Pale katikati tukipata kiungo mmoja mkabaji haswa, Kovacic na Kante wataoperate vizuri sana very comfortable. Jog, Saul & cheek watupishe.

Pale nyuma usajili wa mabeki sio chini ya watatu.

Kuna blanket la kocha TT tumejifunika nalo hatuoni nje, tunaona kwamba kwa sasa tunao wachezaji wazuri sana ila hawajitumi au viwango vimeshuka.

TUNAJIDANGANYA SANA, WACHEZAJI WETU WENGI WANA VIWANGO VYA KAWAIDA SANA.

Jiulize swali ni wachezaji wangapi wa THE BLUES wanapata namba kikosi cha CITY au LIVER?

Ile safu yetu ya ushambuliaji kule mbele hakuna mchezaji hata mmoja mwenye uwezo wa kuingia kwenye kikosi cha CITY au LIVER achilia mbali viungo na mabeki.

TUJENGENI TIMU YETU

#Pride of London
Chelsea sio kwamba ina wachezaji wabaya hilo nakataa ila ni mfumo wa kocha ndio kikwazo cha baadhi ya wachezaji kuonekana wabovu

Kama chelsea inamuhitaji zaidi Tuchel basi impe wachezaji watakaoendana na mfumo wake ambapo wakishindwa kupaform lawama ziwe juu yake

Hawa wachezaji walio Chelsea ambao mnaona wabovu wakienda timu nyingine watakuwa bora zaidi ya hapa nafikiri mifano mnayo Abraham aliyekuwa chelsea mbovu Roma kule ana goli zaidi ya 25

Hata kama tunataka kusajiri viungo lakini mjue jorginho bado atabaki kuwa kiungo bora umuhimu wake ni mkubwa tofauti na kante pamoja na kova ambao hamna msaada mkubwa waliotupa msimu huu
 
Hata wakat wa lamps wachezaj wengi hawana consistenc katika performanc zao wanaweza chez 3-4 vizur ila baada ha mda wakapotea mazima

Wachezaj waliopo bar 2 wamesajiliwa na makocha 4 waliopita,

Wachezaj wetu wa mbele wote hawana consistenc kwenye performanc zao, na hiyo ndio shida.

Tim yetu inakosa balance, ukisema ufavour upande mmoja basi pande nyingine inakuangusha,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom