Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu ya mchongo[emoji16][emoji16]
20220502_223726.jpg
 
Wachezaj wamejitahidi ila shida ni moja tu kwenye matumizi ya nafasi tunazopata, huwa tunawacontrol liverpool vizuri tu ila tunashindwa maliza nafasi tunazopata.

Fainal ya 3 mfulilizo tunapoteza kwenye FA Cup, huku tukiwa na nafas nying za kufunga.

Tujiandae kwa msim ujao
 
AsaniAli huyo asikupe shida kabisa.
Uingereza hamna fainali inayonoga zaidi ya Chelsea vs Liverpool.
Hizi timu 2 viwango vyao vinafanana hivyo wakikutana lazima nyasi zipate tabu mpaka dakika ya 120.
Ila Pulisic na Diaz leo wamekosa magoli mengi ya wazi.
Lukaku kuachwa acheze kwa dakika 80 ilikua ni matumizi mabaya ya forward, ilitakiwa mwanzo mwanzo tu wa kipindi cha pili atoke halafu aingie Warner.
Chelsea bado nasimama na nyinyi hili kombe ni lenu.
Nyumbu umewaletea balaa Chelsea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom