Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Werner na Lukaku ni wazuri kwa penalti hawakuandaliwa. Tactically TT bado sana ukimlinganisha na Klopp na PEP
Mount hajawahi kuwa mzuri kwa penalti. Generally TT alijiandaa kwa ushindi wa uwanjani ila kwa penalti hajafanya maandalizi
 
Liverpool na Chelsea zinapokutana fainali Basi game huwa ngumu Sana tofauti na liver angekutana na City au Spurs Basi mapema tu game ingeshaisha.

Hata kwa Chelsea endapo angekutana na City au Spurs Basi mapema tu game ingeshakwisha.

Kwa huu msimu hii liver imekuwa bora Sana tofauti na sisi ambapo mabalaa, plus majeruhi, matatizo yamekuwa sehemu ya club yetu lakini at least tumepambana Hadi kufika hapa siyo haba.
Tuwape pongezi Liver na tujiandae kwa msimu mwingine.

This is Chelsea na tutaziidi kuipenda hata iweje.
#CFC💙💙💙
 
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Mpira wenyewe umeangalizia livescore unakuja kubwabwaja utumbo huku jf [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wachezaj wamejitahidi ila shida ni moja tu kwenye matumizi ya nafasi tunazopata, huwa tunawacontrol liverpool vizuri tu ila tunashindwa maliza nafasi tunazopata.

Fainal ya 3 mfulilizo tunapoteza kwenye FA Cup, huku tukiwa na nafas nying za kufunga.

Tujiandae kwa msim ujao
Kinacho wakwamisha ni kukosa striker mwenye kujua kutumia nafasi vizuri, mechi ya leo mngekua na mtu kama Drogba au Hazard wala msingepata shida ya kucheza dakika 120.
Yote kwa yote hongereni sana, mmepiga kandanda safi, beki yenu imethibitisha kua ni miongoni mwa beki bora kabisa Uingeraza, msimu ujao ni wa kujipanga kutafuta mshambuliaji anaelijua goli vizuri muachane na Lukaku.
 
Werner na Lukaku ni wazuri kwa penalti hawakuandaliwa. Tactically TT bado sana ukimlinganisha na Klopp na PEP
Mount hajawahi kuwa mzuri kwa penalti. Generally TT alijiandaa kwa ushindi wa uwanjani ila kwa penalti hajafanya maandalizi
Alifanya sub ambazo hazina macho kabisa nilitegemea alivyotoka pulisic angeingia Werner
 
16 months, 6 Cup Final’s, 3 trophies.

Thomas Tuchel’s Chelsea are only just getting started… 𝐰𝐞’𝐥𝐥 𝐛𝐞 𝐛𝐚𝐜𝐤. [emoji170]
 
Werner na Lukaku ni wazuri kwa penalti hawakuandaliwa. Tactically TT bado sana ukimlinganisha na Klopp na PEP
Mount hajawahi kuwa mzuri kwa penalti. Generally TT alijiandaa kwa ushindi wa uwanjani ila kwa penalti hajafanya maandalizi
Squad ya Chelsea ina quality ila imeshindwa kuadapt Tuchel's tactics, so timu inakosa balance & at times timu inalose form, Chelsea squad inafit vizuri wakicheza 433 kutokana na profile walizonazo but wanakosa DM (an orchestra) kama Declan Rice, taarifa zinaonesha chelsea wanamtrack Sangare.
 
Kinacho wakwamisha ni kukosa striker mwenye kujua kutumia nafasi vizuri, mechi ya leo mngekua na mtu kama Droga au Hazard wala msingepata shida ya kucheza dakika 120.
Yote kwa yote hongereni sana, mmepiga kandanda safi, beki yenu imethibitisha kua ni miongoni mwa beki bora kabisa Uingeraza, msimu ujao ni wa kujipanga kutafuta mshambuliaji anaelijua goli vizuri muachane na Lukaku.
Chambuzi la nyumbu[emoji16]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom