lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,912
Huyo diaz sasa atakuwa kachokaNadhani TUCHEL amewaelekeza namna ya kumkaba Luis Diaz, vinginevyo atawaweka leo.
90 sio mchezo
Huyo diaz sasa atakuwa kachokaNadhani TUCHEL amewaelekeza namna ya kumkaba Luis Diaz, vinginevyo atawaweka leo.
AsaniAli huyo asikupe shida kabisa.Hivi wewe unazo timamu kabisa kweli? anaokicheza wamepata nini mpaka sasa ivi?
Usiwe na wasiwasi leo lazima mbebe ndoo.Tunaenda 120 [emoji30]
Navyoogopa sasa [emoji1787]
Liverpool wanawalea kama yai, ingekuwa Arsenal mapema tu tushawalaza na viatu.Chelsea ikikutaba na Liverpool wanakuwaga na energy kubwa na umakini wa hali ya juu
😂😃😃Tunazo dk15 za kumaliza hii game. Matuta hatutaki
Ndio maana juzi yamepigwa 3 bila…Liverpool wanawalea kama yai, ingekuwa Arsenal mapema tu tushawalaza na viatu.
Dua zetu zi pamoja nanyi.KILALAHERI THE BLUES KWENYE PENATI
Wapumbavu nyie Guardiola alistahili kucheza hii final mmetupotezea muda Fuc****POLE ZETU MSIMU UMEISHA BILA KOMBE, TUJIPANGE KWA MSIMU UJAO.
Kombe letu ni Todd Boehly ConsortiumPOLE ZETU, MSIMU UMEISHA BILA KOMBE LOLOTE, TUMEJITAHIDI KADRI YA UWEZO WETU. TUJIPANGE KWA MSIMU UJAO.