Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

TT akiendelea kumuamini Lukaku
Wachezaji wenzake wakimuamini na kuacha uchoyo
Wakaendelea kumpelekea mipira mingi Lukaku msimu ujao atafikisha 20+ goals
Tatizo kubwa la Chelsea na kocha ni kutoacha tabia ya uchoyo na too much back passes
Naamini kwa jinsi Liverpool wanavyocheza Lukaku akienda huko atakywa goal scoring machine kubwa
 
Watakaoinyima Chelsea top 4 ni Spurs wakishinda kesho
Wakitoa droo au wakafungwa na Arsenal basi Chelsea automatically in top 4
Sasa Kwan Mzee si kuna games nyingine huko mbeleni bado zimebaki...kwahyo spurs wakishinda na Sisi top 4 ndo basi?
 
Back passes na wazee wa butua butu mnaenda kukutana.

Shots 18 on target 4
 
Sasa Kwan Mzee si kuna games nyingine huko mbeleni bado zimebaki...kwahyo spurs wakishinda na Sisi top 4 ndo basi?
Umenielewa vibaya au mimi nimeunda sentensi vibaya

Top 4 ya leo tu
Au kwa maneno mengine watakatucheleweshea kuwa na uhakika wa top 4 kwa leo tu ni spus kushinda, Spurs wakishinda leo itabidi tusubiri game za mbeleni, wakitoa droo au kufungwa automatically we are in top 4 hata tukifungwa game zilizobaki
 
TT akiendelea kumuamini Lukaku
Wachezaji wenzake wakimuamini na kuacha uchoyo
Wakaendelea kumpelekea mipira mingi Lukaku msimu ujao atafikisha 20+ goals
Tatizo kubwa la Chelsea na kocha ni kutoacha tabia ya uchoyo na too much back passes
Naamini kwa jinsi Liverpool wanavyocheza Lukaku akienda huko atakywa goal scoring machine kubwa
Nahisi kikubwa summer lukaku awe fit kwenye pre season, kama pre season ikaenda vizuri na kuweza kulinl up na wachezaj wote hopeful msim ujao atadeliver
 
OFFICIAL: The Amber Group will become #Chelsea’s official sleeve partner, with the logo of WhaleFin, from the start of the 2022/23 season.

WhaleFin wanaireplce hyundai kwenye sleeve ambae alijitoa baada ya vikwazo, deal la hyundai ilikuwa ni 10M per year ila sasa Amber group watatoa 20M per year
 
Nahisi kikubwa summer lukaku awe fit kwenye pre season, kama pre season ikaenda vizuri na kuweza kulinl up na wachezaj wote hopeful msim ujao atadeliver
Uchezaji pia ubadilike, game mbili za mwisho Chelsea wamekuwa wakimpelekea Lukaku mipira mingi, waendelee hivyo hivyo msimu ujao
 
TT akiendelea kumuamini Lukaku
Wachezaji wenzake wakimuamini na kuacha uchoyo
Wakaendelea kumpelekea mipira mingi Lukaku msimu ujao atafikisha 20+ goals
Tatizo kubwa la Chelsea na kocha ni kutoacha tabia ya uchoyo na too much back passes
Naamini kwa jinsi Liverpool wanavyocheza Lukaku akienda huko atakywa goal scoring machine kubwa
Binafsi nina amin kwenye uwezo wa lukaku,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom