Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kila Mtu atarudi kwenye Timu yake ya asili kabla ya 2005 😂😂😂

Hivi huwa hamchoki na hizi porojo zenu? Mnatumia nguvu nyingi sana kujiaminisha upuruzi sana. We ulizaliwa nayo hiyo unayoshabikia? Ndugu zanguni acheni kujikuta kiivyo Chelsea hatoacha kuwapapasa

Mazingira ya kukupokea Timu yako ya asili Arsenal uliyohama 2005 kufuata Makombe ya hela za Uporaji yanaandaliwa.
 
Leo hii Consortium ya Toddy Boehly wanasaini mkataba wa kuinunua Chelsea wa Paundi bil 4,
Wanaoitakia mabaya Chelsea watafyata mikia leo hii

Tukupita hapa hawa inzi wanatusumbua hatutawaona tena

Chelsea takeover: First contract in £4billion deal to be signed on Friday
Todd Boehly is later today expected to sign the first contract ahead of his prospective £4billion takeover of Chelsea from Roman Abramovich.
 
Fainali yetu ya maana mwaka huu ni ununuzi wa timu
Ligi ilianza Tarehe 2 March 2022
Wanunuzi wengi wakajitokeza wengine na mbwembwe nyingi.
Mamluki nao walikuwemo lakini mwisho wa siku mshindi ni Todd Boehly Consortium kwa paundi bilioni 4
Michakato ya approval tu ndizo zilizobaki tena kwa serikali tu kwa sababu Premium League wameshmkubali mmiliki mpya
 
Official statement by Roman Abramovich on the sale of Chelsea Football Club. #CFC

“Mr Abramovich has not asked for any loan to be repaid to him – such suggestions are entirely false”.

Full statement View attachment 2212985
Hii taarifa nimeifuatilia kule kwenye website ya Chelsea ikanifanya nipumue kama vile nimeshinda bingo
 
Leo hii Consortium ya Toddy Boehly wanasaini mkataba wa kuinunua Chelsea wa Paundi bil 4,
Wanaoitakia mabaya Chelsea watafyata mikia leo hii

Tukupita hapa hawa inzi wanatusumbua hatutawaona tena

Chelsea takeover: First contract in £4billion deal to be signed on Friday
Todd Boehly is later today expected to sign the first contract ahead of his prospective £4billion takeover of Chelsea from Roman Abramovich.

Tutasubiri leo
 
Mazingira ya kukupokea Timu yako ya asili Arsenal uliyohama 2005 kufuata Makombe ya hela za Uporaji yanaandaliwa.
Astaghfirullah..

Yan umenitukana tusi kubwa sana umeshindwa kuwataja Fulham, Everton au Newcastle mpaka unitajie huo uchafu? Bro hata hii timu iende wapi usije kudhani kutatokea huo umavi unaouaminisha wewe na wenzako. Blue forever men!!
 
Leo hii Consortium ya Toddy Boehly wanasaini mkataba wa kuinunua Chelsea wa Paundi bil 4,
Wanaoitakia mabaya Chelsea watafyata mikia leo hii

Tukupita hapa hawa inzi wanatusumbua hatutawaona tena

Chelsea takeover: First contract in £4billion deal to be signed on Friday
Todd Boehly is later today expected to sign the first contract ahead of his prospective £4billion takeover of Chelsea from Roman Abramovich.
Wakina king ngwaba na wenzake watakalia leki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom