Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Odoi kaanza mazoezi, tumemiss sana
1651834694659.png
 
Astaghfirullah..

Yan umenitukana tusi kubwa sana umeshindwa kuwataja Fulham, Everton au Newcastle mpaka unitajie huo uchafu? Bro hata hii timu iende wapi usije kudhani kutatokea huo umavi unaouaminisha wewe na wenzako. Blue forever men!!
Umefanya dhambi kubwa sana kuitusi Arsenal Fahari ya London
 
Odoi kaanza mazoezi, tumemiss sana
View attachment 2213823
Tuchel aliwahi kusema uwezo anaouonesha mazoezi ni balaa anashindwa kuelewa kwenye pitch huwa kinatokea nini?

Huyu ni kama kina Vini Jr, Adeyemi, Diaz n.k ila hawa watoto wa malkia sijui walishapewa kitu gani yan huoni potential yake halisi unayotegemea.
 
Ufahari wake uko wapi
Tubadilishe isomeka
"AIBU YA LONDON"
Arsenal ndiyo Timu ya kwanza kuitambulisha London kimpira.
Nakumbuka kuna mpaka Mtaa huku Tz unaitwa Highbury kwasababu ya Arsenal.
Chelsea ndiyo wamekuja kuifanyia Fraud London mpaka Serikali wanatamani life litimu lenu kwa kuitia Aibu London iliyong'rishwa na Arsenal.
 
Wewe unaongea kitu ambacho akitoki ndani ya moyo wako
 
Arsenal ndiyo Timu ya kwanza kuitambulisha London kimpira.
Nakumbuka kuna mpaka Mtaa huku Tz unaitwa Highbury kwasababu ya Arsenal.
Chelsea ndiyo wamekuja kuifanyia Fraud London mpaka Serikali wanatamani life litimu lenu kwa kuitia Aibu London iliyong'rishwa na Arsenal.
Wewe jamaa ni kigagura kabisa
 
Arsenal ndiyo Timu ya kwanza kuitambulisha London kimpira.
Nakumbuka kuna mpaka Mtaa huku Tz unaitwa Highbury kwasababu ya Arsenal.
Chelsea ndiyo wamekuja kuifanyia Fraud London mpaka Serikali wanatamani life litimu lenu kwa kuitia Aibu London iliyong'rishwa na Arsenal.
We inaelekea ulikuwa Arse kabla ya kuhamia Livakuku
 
Hata Liverpool St Helens ndio fahari ya Liverpool kwa sababu ndio timu ya kwanza kuitambulisha Liverpool duniani, hii livakuku takataka ya sasa imeiba jina la Liverpool FC kutoka Liverpool Football Club
 
We inaelekea ulikuwa Arse kabla ya kuhamia Livakuku
ili ujue huyu jamaa ni arsenal kacheki anavochambua arsenal kule kwenye jukwaa lao ,ni lijitu la arsenal sema tu basi kaamua kuvaa jezi ya liverkuku .....!
 
Arsenal ndiyo Timu ya kwanza kuitambulisha London kimpira.
Nakumbuka kuna mpaka Mtaa huku Tz unaitwa Highbury kwasababu ya Arsenal.
Chelsea ndiyo wamekuja kuifanyia Fraud London mpaka Serikali wanatamani life litimu lenu kwa kuitia Aibu London iliyong'rishwa na Arsenal.
Naona umejificha Sana hatimaye leo umeona uoneshe rangi yako halisi si useme tu wewe ni mshabiki wa Arsenal kule Liverpool umeenda kumfuata mataji
 
Timu inaweza kupanga kubeba kombe la ligi lakini UCL ni kubahatisha tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom