Premium League imeshamkubali mmiliki mpya wa Chelsea Toddy Boehly Consortium ila matatizo mawili yamebaki
- Serikali kumptisha mmiliki mpya na
- Deni la Abramovich
Tatizo la Serikali ni dogo kutatuliwa, tatizo kubwa ni deni na inavyoelekea hili deni litachelewesha ununuzi kwa sababu serikali haitakubali Abramovich alipwe pesa wakati kawekewa vikwazo. Serikali ikigundua kuwa bosi kalipwa hawatampitisha mmiliki mpya na uuzwaji wa timu utazuiwa. Saga litakalofuata litakuwa gumu kwa Chelsea kuliko lililopita kwa sababu leseni maalumu ya michezo iliyotolewa ili timu ifanye shughuli zake haitatolewa tena muda wake ukiisha Mei 31 2022 na hivyo kuiona Chelsea yetu pendwa ikijifia kifo cha Mende.
Ikitokea hivyo ndipo nitakapojua kuwa Wazungu ni wapumbavu kuliko viumbe wote duniani ikiwa ni pamoja na punda, nyumbu wa serengeti
Kwa maoni yangu Chelsea ingeuzwa na pesa zote zikawekwa kwenye akaunti maalumu ya mpito hadi hapo hizi saga zote za kisheria zitakapopatiwa ufumbuzi wa kudumu. Kwa mfumo huu Chelsea itakuwa imeepushwa kufa kifo cha mende
Reports
There are now two obstacles in their way of completing the takeover, one being the all clear from the government and the second being the all clear from Abramovich. The latter could be more of a problem than the former.
This is because, according to a number of reports, there are fears the current owner is looking to have his £1.6billion loan to the club repaid in restructured payments. This could hold up any potential takeover going forward, while the club’s status in the Premier League and Europe is under threat by that notion.