Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na TT amesema tajiri mpya hawezi kuja na kutoa haraka £250M za usajili. Lazima kwanza aweke watu wake anaowaamini kwenye uongozi wa kusimamia pesa yake vizuri.

Kwahiyo TT amesema dirisha la usajili la kiangazi litakuwa gumu sana kwa hali ilivyo mmiliki mpya + mfumo mpya wa uendeshaji club + kikosi kibovu cha kuboresha
Kwa muktadha huu basi na msimu ujao tunaenda tukidena dema hivi Hadi mambo yakae sawa tusubiri misimu angalau miwili ipite ..si ndio mkuu?? Hapa naona Chelsea yetu ikipotea zaidi dah😭😭 tutarudi kama liverkuku ya kipindi klopp anaikuta jinsi ilivyo struggle Hadi Sasa tunaona imeiva haswa.

TT tunaamkubali sana lakini naona CV yake aliyojenga kwa muda mfupi unaweza kuchafuliwa na hii situation tunayoitia Sasa. Angalia Rudger anasepa, Christiansen na yeye mbioni kusepa, usajili kwetu ni kuzungumkuti ..hatuna hata jeuri ya kwenda sokoni sasa ..labda tuwarudishe akina Tammy, broja na madogo wengine tuanze nao taratibu huku tukitegemea matokeo mazuri mbeleni huko.
#CFC💙💙💙
 
1651209070460.png
 
Tulitegemea Chelsea kukutana na upinzani mgumu kwa timu dhaifu
Sasa tunaziogopa akina Norwich kuliko Liverpool
Bado tuna Everton, Wolves, Leeds, Leicester city na Watford
Hapa tukishinda game tatu tukatoa draw mbili siyo mbaya nafasi ya tatu bado itatuhusu TU.
 
Hapa tukishinda game tatu tukatoa draw mbili siyo mbaya nafasi ya tatu bado itatuhusu TU.
Kova akirudi kundini, na majeruhi yasipokuwepo kwa key players, hilo litawezekana of course. Ila tukipata majeruhi tu, God forbid
 
Hapo umechukulia kuwa Spurs na Arsenal watafunga mechi zao zote, imposible
Arsenal ana uwezo wa kubahatisha points 6 tu kwenye mechi zao zilizobaki
Spurs wanaweza nao kubahatisha point sita tu
Chelsea droo moja tu inaweza sio tu kutubakiza top 4 hata nafasi ya 3
Endelea kupiga ramli , yaan katika mech 5 point 15, Arsenal tuvune point 6?

Unatuchukulia poa sana, Tomiyasu,Partey, wanarud , Baada ya kushinda mfululizo ,tulipoteza mech 3, then tumeshinda 2 , tegemea katika point 15 ,tutavuna si chini ya point 9-12

Ulipiga ramli Chelsea vs Arsenal , bado hukomi
 
Tumetenga paundi mil 250 katika manunuzi msimu huu wa kiangazi
Haya vipaumbele ni vipi
Mabeki wanaofuatiliwa ni
  1. Sevilla's Jules Kounde,
  2. Paris Saint-Germain's Presnel Kimpembe
  3. Atletico Madrid's Jose Gimenez

Dah! Sasa hizo £250M zimetengwa kwa idhini ya nani wakati hata mmiliki hajapatikana? 😂😂
Nyie Watu! 😅
 
Hivi unaweza ukawa mwanaume kamili ukasimama mbele ya wanaume wenzako ukakaza na msuli wa matako ukamwambia mwanaume mwenzako kabaatisha? Wewe ulishindwa kubahatisha?

Kweli, kweli kabisa?

Di Mateo version 1.0
Mtakalia kusema alichukua UCL
 
Dah! Sasa hizo £250M zimetengwa kwa idhini ya nani wakati hata mmiliki hajapatikana? 😂😂
Nyie Watu! 😅
Plan hafanyi mnmiliki ndg. Scout team bado iko kazini, mipango yote bado inaendelea. Mmiliki mpya anaweza akaadjust lakini sio kufuta kila kitu hata yale mema
 
Timu yetu ina shida gani, Jana tuliupiga mwingi sana kama ile mechi na Liverpool lakini magoli hayaingii kwenye wavu wa mpinzani. Shida ipo wapi

Ila jana mimi sikupenda Havertz alivyocheza, kacheza kama kinda wa academy below 17yo
 
Plan hafanyi mnmiliki ndg. Scout team bado iko kazini, mipango yote bado inaendelea. Mmiliki mpya anaweza akaadjust lakini sio kufuta kila kitu hata yale mema

Ndugu hao scout sio wanaotoa hela wala wanaosajili, hao ni waajiriwa tu kazi yao ni kufanya Scouting kwa Mchezaji tu na kutoa mapendekezo kwa DOF na Kocha kuwa anafaa au hafai.

Kocha akirodhika ndiyo anapeleka mahitaji kwa DOF, DOF anapeleka kwa CEO, CEO anapeleka kwa Mmiliki ambaye ndiye last say kwenye kirelease hela.

Hakuna Budget inayoweza kutekelezwa kama haijawa proved na Bodi ya Wakurugenzi, na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ni yule Biggest shareholder.

Sasa Timu ambayo inatafuta Mmiliki ambaye atakuja kuunda Bodi ya Wakurugenzi hiyo Budget ya £250M unataka kuniambia imepitishwa na Scouting Team? 😂😂

Lembu you can do better kuliko hivi ndugu.
 
Timu yetu ina shida gani, Jana tuliupiga mwingi sana kama ile mechi na Liverpool lakini magoli hayaingii kwenye wavu wa mpinzani. Shida ipo wapi

Ila jana mimi sikupenda Havertz alivyocheza, kacheza kama kinda wa academy below 17yo

Class, Class, Class ndiyo shida ndugu! Huyo Kai sio Classy ni Mchezaji ambaye anakuwa na form kwa muda then anushuka that is why ni too inconsistent.
 
Ndugu hao scout sio wanaotoa hela wala wanaosajili, hao ni waajiriwa tu kazi yao ni kufanya Scouting kwa Mchezaji tu na kutoa mapendekezo kwa DOF na Kocha kuwa anafaa au hafai.

Kocha akirodhika ndiyo anapeleka mahitaji kwa DOF, DOF anapeleka kwa CEO, CEO anapeleka kwa Mmiliki ambaye ndiye last say kwenye kirelease hela.

Hakuna Budget inayoweza kutekelezwa kama haijawa proved na Bodi ya Wakurugenzi, na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ni yule Biggest shareholder.

Sasa Timu ambayo inatafuta Mmiliki ambaye atakuja kuunda Bodi ya Wakurugenzi hiyo Budget ya £250M unataka kuniambia imepitishwa na Scouting Team? 😂😂

Lembu you can do better kuliko hivi ndugu.
plan haijafika huko, sasa hivi ni kuidentify target tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom