lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Ununuzi wa Chelsea utachelewa tena kwa sababu wanunuzi wamelazimishwa kueleza wataendelezaje uwanja ulingana na viwanja vya timu kubwa ulaya
Taarifa za ndani ya mchakato zinasema kuwa wanunuzi wanaweza kupunguza dau hadi paundi bil 2.5 kama ukarabati italazimishwa kama sehemu ya hiyo bid. Ghrama za kukarabati ni kubwa ukichukulia wahusika wa kisheria kwenye mkataba wa umiliki wa uwanja au ujengwe sehemu nyingine ambayo nayo ina tricks nyingi zikiwepo za kisheria za ama kununua jina au kubadili jina
Wanunuzi chinichini wanasema kama watalazimishwa kwa kiwango hicho basi watalazimika kupunguza dau hadi bil2.5
Kwa sababu hii zoezi linaweza kucheleweshwa tena