Si kama nyie tu mlikuja kumnunua Czech akawa pazia, mkaja tena kw Luiz akaflop, mkarudi tena tukawapga kwa Willian ...... mkija tena tunawapa Sarr wajinga wetu hahahahaha.Unamnunua Lukaku mara ya kwanza anaflop unamuuza.
Unamnunua mara ya pili anaflop kama mwanzo.
Wajinga wapo wengi.
Ukijumlisha pesa aliyonunuliwa czech, luiz na willian inafikia pesa mliyomlipia lukaku?Si kama nyie tu mlikuja kumnunua Czech akawa pazia, mkaja tena kw Luiz akaflop, mkarudi tena tukawapga kwa Willian ...... mkija tena tunawapa Sarr wajinga wetu hahahahaha.
Huyo teja umepa dozi ya wiki harudi tena humuSi kama nyie tu mlikuja kumnunua Czech akawa pazia, mkaja tena kw Luiz akaflop, mkarudi tena tukawapga kwa Willian ...... mkija tena tunawapa Sarr wajinga wetu hahahahaha.
Hahaa.. hapo akili yako ilikua inawaza tutapata sareMashuti 26.
On target 5.
Yaani machizi yaliingia kubutua mpira ili mradi yanatazamana na goli.
Sare kivipi?Hahaa.. hapo akili yako ilikua inawaza tutapata sare
Ila Chelsea akikutana na Liverpool hua unapigwa mpira mmoja wa kiume sana toka pande zote mbili.Chelsea tunasumbuliwa na winning mentality. Siku Chelsea wakicheza na Liverpool with low winning mentality tutafungwa mengi sana. Mara zote tulipocheza na Liverpool morale na mentality ilikuwa juu
Final ya FA Bado haijachezwa labda unasema carabaoIla Chelsea akikutana na Liverpool hua unapigwa mpira mmoja wa kiume sana toka pande zote mbili.
Mechi yangu bora kabisa ya msimu huu ni ile fainali ya FA, siku ile niliona mpira wenye ladha mpaka unatamani mechi isiishe.
Sasa ninyi mnataka kujilinganisha na matajiri wa London?Ukijumlisha pesa aliyonunuliwa czech, luiz na willian inafikia pesa mliyomlipia lukaku?
Na unajua kama hamjatupiga kwakua hatujalipia pesa
Kaza fuvu hata hiyo nafasi ya nne mnaweza kuitema mkarudi mid tableSare kivipi?
Nafikiri neno unalolitafuta ni 'Majinga ya London'Sasa ninyi mnataka kujilinganisha na matajiri wa London?
Mtapasuka msamba
Nafikiri neno unalolitafuta ni 'Majinga ya London'
Kepa for 72M.
Sorry ilikua ni fainali ya Carabao.Final ya FA Bado haijachezwa labda unasema carabao
Sasa wewe hela atoe Abrom kuumia uumie wewe, embu acha hizo.Nafikiri neno unalolitafuta ni 'Majinga ya London'
Kepa for 72M.
Mbona unaandika komedSasa wewe hela atoe Abrom kuumia uumie wewe, embu acha hizo.
Kwa hiyo hat Ozil alivyokua anakula mshara bure usikute ulikua pia unateseka?
Si kama nyie tu mlikuja kumnunua Czech akawa pazia, mkaja tena kw Luiz akaflop, mkarudi tena tukawapga kwa Willian ...... mkija tena tunawapa Sarr wajinga wetu hahahahaha.
Nafikiri neno unalolitafuta ni 'Majinga ya London'
Kepa for 72M.
Hata Manula angewapa Europa na Super cupKepa ametupa Uropa, Kepa ametupa Uefa SuperCup. Pole sana